Habari zengu wenzangu wanaJF.
Kwa staili tumekuwa tunazugwa kuhusu ukraine ni cha mtoto kulinganisha na hili nnalowaletea wenzangu. Nivumilieni mapicha mengi ila nataka mtambue picha halisia - na wenye hisia wapingane na ushahidi.
Naomba sote tuzingatie na tukumbuke kwamba warumi...
Habari wanaJF.
Siku hizi matangazo ya biashara kwenye kurasa nyingi za mitandaoni yamezidi - hadi kufunika ulichofungua kurasa kusoma. Matangazo mengine yanafunguka katikati ya shughuli. Iko njia ya kusoma hizi kurasa bila bugudha kwa kutumia mfumo wa browser READER'S MODE. Browser ni...
WENGI wetu hata humu jukwaani wanameza kirahisi sana taarifa za habari za uongo na elimu za uongo, espesheli, historia. Ili mradi zimeletwa na mzungu... afu Cha kusikitisha, ndo wanakuwa wabishi wakubwa. Historia za uongo wa mzungu tunazijua sana sana, ila sielewi kwa nini kila kukicha akatoa...
Habari wanaJF.
Majuzi wenzetu Kenya walikumbwa na janga pichani hapo chini.
mjadala wa hili tukio wajiolojia wanatuambia ni ishara ya mgawanyiko utakaotokea mbeleni. Ukiangalia ramani, wanatuambia bonde la ufa ni kama mipaka ya mapande mawili ya ardhi yanayoonyesha kusogea, kila pande...
NCHI ZENYE VINU VYA NYUKLIA (angalia Ukraine)
NCHI ZENYE VINU VYA NYUKLIA
NCHI ZENYE SILAHA ZA NYUKLIA
Yaani nahisi ajali ya nyuklia ni tishio zaidi ya vita vya nyuklia
Vikwazo vya kiuchumi na kufungia pesa imekuwa ni silaha ambayo imetumiwa mara kadhaa na mmarekani na wenzake. Hii silaha ilianza miaka ya 1950 hivi na Korea kaskazini.
Wakaja Iraq, Iran, Venezuela…hata Zimbabwe wamo. Nchi wenza wa mmarekani hazijawahi kuwekewa vikwazo hata zikitenda madhambi...
waUkraine na waRus wameishi pamoja kwa amani hadi mshinikizo wa mmarekani na wenzake wa ulaya magharibi - wakaanza kubeza na kuwaonea waRus tokea 2014 kiukatili sana... waUkraine (viongozi) na washinikizaji hadi wakaruhusu kundi la NATIONALIST (wabaguzi wenye itikadi za hitler) kuchochea...
Habari zenu wanaJF wenzangu.
Kiujumla watu weusi tumeishi 'gizani' kwa karne nyingi. Tumeishi katika mifumo kadhaa iliyolenga kutupeleka huko 'gizani' na kutubakisha huko. Mifumo hii imepitia marekebisho ya kila aina - tokea mifumo ya kutumia nguvu hadi leo kutumia mifumo ya kutufumba macho na...
mazao hayo ni hatari hasa kama hayatahifadhiwa vizuri
Utafiti: Karanga, mahindi husababisha saratani - Siasa
KARANGA na mahindi vinaweza kusababisha saratani ya ini kama havitahifadhiwa vizuri, utafiti umeeleza.
Utafiti huo uliofanywa na Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA)...
BIG RASPEKT TO ALL MAMAZ, ESP. THE AFRIKAN MAMA WHOSE MAJORITY OF WORK IS TOUGH AND YET SHE LOVINGLY CARE AND CARE AND CARE MUCH LUV
* Wimbo kwa ajili yenu (bonyeza kitufe play apo chini)
SIZZLA THANK YOU MAMA http://k003.kiwi6.com/hotlink/n6eglfr8hu/Sizzla_-_Thank_You_Mama_Fxd.mp3
Maria hakuwa mwanafunzi bora darasani Sunday school. Kawaida yake, husinzia darasani.
Jumapili moja, mtawa mwalimu aliamua kumuuliza Maria maswali, bila kutambua Maria keshasinzia.
Swali la kwanza, Maria, ni nani alieumba ulimwengu?
Joji chizi aliyeketi nyuma ya Maria alikuwa na sindano...
An Irish daughter had not been home for over 5 years. Upon her return, her father cursed her.
Where have ye been all this time? Why did ye not write to us, not even a line? Why didn't ye call? Can ye not understand what ye put yer old mum thru?
The girl, crying, replied, "Sniff...
Double Dipping Votes Delays Tanzania Election Results
Jakaya Kikwete checks off one more tally as officials arrest Daudi Gindishi for double voting
Jen Hoskote | Tue Nov 2, 2010
TAGS: Chadema Party, Civic United Front, Daudi Gindishi, President Jakaya Kikwete, Tanzania Election Results...
Tanzanian Election Closes, Likely to Hand President Kikwete Second Term
By Sarah McGregor and Wilfred Mwakalosi - Oct 31, 2010 10:07 AM ET
Tanzanians held a peaceful election that will probably hand President Jakaya Kikwete a second and final five-year term to implement policies aimed at...
Camilla bought a new pair of shoes for her wedding which got increasingly tighter & tighter as the day went on.
That night after the festivities were finally over, she & Charles had retired back to their room. Camilla flopped on the bed and said Please remove my shoes darling. Ones feet are...
Anna had lost her husband almost four years ago. Her daughter was constantly calling her and urging her to get back into the world.
Finally, Anna said shed go out, but didnt know anyone. Her daughter immediately replied, Mum! I have someone for you to meet.
Well, it was an immediate hit...
In a trial, a Southern small-town prosecuting attorney called his first witness, a grandmotherly, elderly woman to the stand. He approached her and asked, Mrs. Jones, do you know me?
She responded, Why, yes, I do know you, Mr. Williams. Ive known you since you were a boy, and frankly, youve...
The Pew Research Center has just released one of the biggest ever studies on attitudes to religion and morality in Africa, which has revealed a host of interesting facts.
Here are 10 things we have learnt from the study, which surveyed 25,000 people in 19 countries.
1. 75% of South Africans...
The Citizen (Dar es Salaam)
Tanzania: Mineral Revenue Secrecy Fails Dar es Salaam in Global Ranking
Alvar Mwakyusa
19 October 2010
Tanzania has scored poorly in an international survey on mining revenue transparency.
The Revenue Watch Index 2010 places Tanzania 37th among 41 countries...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.