Search results

  1. N

    Ndugu wa Naibu Waziri wa Uchukuzi, Charles Tizeba waswekwa lupango

    Kumbe wakara!!! Miaka hiyo insemekana wslikuwa wanakula ma. V. I na ni wakorofi kweli!!!!
  2. N

    Msaada: Ulanga iko wapi?

    Mtuwa karibu tutereke somba na mseri!!!! Udia Ndili????? Namaanisha; karibu tupike samaki na wali. Karibu kweli saaaana.
  3. N

    Msaada: Ulanga iko wapi?

    Nakashina!!!!!karibu mtuwa udie ubaga na somba, pepeta Na kalubwagila!
  4. N

    Wamakonde nnipwawa

    Maana wamanyite sinu! Nangu natereka sidudu na bada!!!! Muide mdie valongo😍😍😍😍😍☝️
  5. N

    Wamakonde nnipwawa

    maah!!! Nakukanyola wako!!! Mwana u we na Adabu wako!!!!!
  6. N

    Wamakonde nnipwawa

    numbugwe kutama ku Pemba(msumbiji)
  7. N

    Wamakonde nnipwawa

    Andibanga mwiu
  8. N

    Wamakonde nnipwawa

    Anyo kutama kwachi???
  9. N

    Wamakonde nnipwawa

    Nangu kutama ku makumbusho njomba
  10. N

    Wamakonde nnipwawa

    Nang'olo u we kwasi?
  11. N

    Wamakonde nnipwawa

    . Nangu nauka pa kazi, naida lunduno.
  12. N

    Baby Madaha anapika na kupakua nyumbani kwa Juma Nature Mbagala

    baby analipa fadhila kwa kolabo aliyomshirikisha nature kibla! Hii ndo bongo bana! Ukitaka kula lazima uliwe ati!
  13. N

    Niwadhibitije mende na wadudu wengine watambaao chumbani kwangu?

    CHAKUFANYA NENDA MADUKA YA DAWA ZA PEMBEJEO ULIZIA DAWA INAITWA AKHERI POWDER HALAFU UNYUNYUZIE KWENYE PEMBE ZOTE ZA CHUMBA, HAKIKISHA HAUWEKI MABAKI YA VYAKULA NDANI MAANA YENYEWE YANASASABABISHA UWEPO WA MENDE. Halafu usisasahau dawa ya mende ile kama chaki uchore kwenye njia zao inasaidia...
  14. N

    Nini unakumbuka katika maisha yako na ugumu wa maisha?Kwa watoto wawakulima tu

    umenikumbusha jambo, mama akienda safari mm na kaka yangu tunakaa mlangoni na kuimba mama njoo, mama njoo,mama rudi tukiamini huko alipo anakuwa anatusikia na kurudi hme fasta, muda mwingine ilikuwa inafanya kazi ati.
  15. N

    baba yangu amelogwa na mke wa pili, naombeni ushauri.

    baba huyo anahitaji ukombozi wa damu ya yesu! Mchungaji ana nafasi kubwa hpo kuliko huyo sangoma.
  16. N

    Msiba mzito wamkumba mwenzetu: KOKUTONA apoteza mtoto wake!

    pole dada! Mungu akupe faraja ktk kipindi hki kigumu
  17. N

    Mke wa mtu huyu

    kila nafsi ifanyayo uovu itaonja umauti!
  18. N

    Kubali wewe ni X tu. Usiwe shetani ktk ndoa za watu.

    hta hku ofisini kwetu kuna jamaa anatoka na x-wife wa best yke bila kificho na mwanamke anadai anamkomesha mzaz mwenziye! Upuuzi na uchafu mtupu.
  19. N

    Kubali wewe ni X tu. Usiwe shetani ktk ndoa za watu.

    sawa sawa kbsaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
  20. N

    Kubali wewe ni X tu. Usiwe shetani ktk ndoa za watu.

    huyo binti anajidanganya kuharibu utu wake! Akae chini aangalie wapi aliteleza ajirekebishe! hta hku ofisini kwetu kuna jamaa anatembea na x- wa mfanyakazi mwenzetu bila kificho kwa maelezo ya binti anadai kuwa anamkomesha mzaz mwenziye! Upuuzi na uchafu mtupu!
Back
Top Bottom