Search results

  1. M

    Kama mahakama za Tanzania hazitoi haki, Watanzania nao wasikubali kesi zao kuamuliwa na Mahakama hizo?

    Viongozi wa juu wa serikali kama ni kweli wajua kwamba "mahakama hazitendi haki" mpaka wakazikwepa ktk mikataba. Sasa hizi mahakama zetu kwanini ziendelee kuwepo na zikiendeshwa kwa gharama kubwa na zikiwa zinaumiza watanzania kwa kutowapatia haki zao? Ama ina maana watanzania siyo...
  2. M

    Huu Mkataba siyo Intergovernmental, Dubai siyo Nchi

    Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu. Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa. " Can Dubai on its own enter the intergovernmental...
  3. M

    Mkataba wa IGA kati Tanzania na Dubai una uhalali?

    Hivi mkataba kati ya Tanzania na Dubai una uhalali wowote wa kuitwa ni IGA? Yani una uhalali wa kuitwa mkataba kati ya nchi na nchi? Inaonekana waliosani ni Dubai na Dubai ni mkoa tu katika UAE. Je mkoa wa Geita unaweza saini na Ujerumani huo mkataba ukaitwa IGA na kama siyo huu mkataba...
  4. M

    Usahihi wa Takwimu za Mikopo Awamu ya 4, 5 na 6

    Watu wanapotosha sana kuhusu mikopo hasa kwenye awamu ya 5 u sahihi wake ktk source ya uhakika uko hivi. Magufuli aliacha deni la $24,652M Alilikuta deni ..... $15,261M Samia amelikuta deni .. $24,652M Kwa miezi hii kalifikisha..$28,054 https://www.bot.go.tz/Publications/Filter/1
  5. M

    Tanzania ili iendelea Yapasa Vyama vyote vya siasa Vifutwe

    Ili Tanzania isonge mbele inabidi kutokee namna fulani vyama vyote vya siasa vifutwe na wanasiasa waliopo sahivi wote kwa ujumla wao wazuie kujihusisha na siasa wala kuteuliwa ama kuchaguliwa. Pili wafanyakazi wa umma wafutwe wote, waajiriwe wapya tuanze upya. Wafanyakazi wataobaki wawe...
  6. M

    Uongozi mbovu ndo unasababisha bidhaa kupanda bei na Kukosa maji na Nishati

    Tatizo la uongozi liliopo(vaccum of power) ndo linasababu bei ya vitu kupanda na nishati pamoja na maji kukosa. Tusingizie eti sijui awamu ya tano sijui blah blah. Tatizo liliopo sahivi na ndo chazo ya yote haya ni uongozi legelege usiosimamia kinachopaswa kusimamiwa.
  7. M

    Ukweli Kuhusu Deni la Taifa kwa awamu kuanzia ya Tatu.

    Huu ndo ukweli wa mitiririko wa deni la Taifa watu wasiwadanganye. -Awamu ya tatu deni lilikuwa milion 4$ USD. -Awamu ya nne ikatlitoa kutoka milion 4$ mpaka milion 18$ USD -Awamu ya tano imelitoa kutoka milion 18$ USD mpaka 25$ USD _awamu ya Sita imetoa 25$ USD mpaka 28$ USD bado...
  8. M

    Kero za Muungano: Ni wakati muafaka kwa Wazanzibari kufanya Referendum

    Nafikiri niwakati sasa umefika Zanznibar wafanye referendum kwamba wanataka muungano Ndio/Hapana. Baada ya hapo ndo tutakuwa na jibu sahihi la kupata ufumbuzi wa kudumu wa hiki tunachoita muungano.
  9. M

    Njia ya Kuwatimua Machinga ni Serikali Kutengeneza Ajira Mpya

    Njia rahisi ya kuwatimu wamachinga ni serikali kutengeneza ajira mpya. Haina maana kabisa kuwa na mji msafi halafu watu wanakufa na njaa, watu wanashindwa kuhudumia familia zao. Tatizo liliopo siyo machinga kuteka mitaa, tatizo liliopo ni hakuna ajira mbadala. Tengeneza ajira umachinga utakufa...
  10. M

    Ni nini hasa kinachochunguzwa ktk ugaidi wa juzi?

    Nini hasa kinachopaswa kuchunguzwa ktk ugaidi wa ule uliofanyika mchana kweupe ktk ubalozi wa ufaransa: 1. Ni je kuchunguza chanzo cha ugaidi ule? 2. Ni je kuchunguza chain ya ule ugaidi? 3. Ni je kuchunguza uwezekano wa ugaidi ule kutokea tena? 4. Ni je kuchunguza ule ugaidi wa mchana...
  11. M

    Mtindo wa viongozi kushitakiana si dalili njema kama Taifa, tujirejebishe

    Mimi ni mawazo yangu binafsi na nawatakia yaliyo mema kama Taifa. Warnings: Hii tabia iliyoanza kiongozi akiachia madaraka, basi mnaanza kushitakiana ni dalili mbovu kabisa kama Taifa. Mambo mengine kama kiongozi yalishapita ni busara na hekima kuyaacha yapite. Kumbuka uongozi siyo suala la...
  12. M

    Magufuli’s great crime was that he decided to test the testers

    f black lives matter, then why are African leaders with a different take on Covid-19 being taunted? Neil Clark is a journalist, writer, broadcaster and blogger. His award winning blog can be found at www.neilclark66.blogspot.com. He tweets on politics and world affairs @NeilClark66 24 Jun, 2020...
  13. M

    A long lockdown will be catastrophic for developed nations – but a ‘biblical’ disaster for the developing world

    Hivi ndo wengine wanavyoingelea lockdown. Wewe wasema je? ===== The looming deep and probably long-lasting global recession caused by the shutting down of our economies will hurt us all – but it will be much, much worse for those already living on the brink of starvation. A report by the UN...
  14. M

    Hivi Locust zimeishia wapi?

    Locust zimeachiwa uwanja ama zimeisha? Ila ni kama man made haya matukio mara locust mara corona ili ituelemee tu.
  15. M

    Kuna kila dalili Coronavirus haidumu kwenye nchi za joto

    Kutokana na viashilia vya kisayansi vinaonesha hivi virus vinapunguzwa kasi sana ktk nchi za kitropical. Kwahiyo dawa yake yawezekana kukimbilia nchi zenye joto. Because flus and colds tend to retreat in the summer, many people — notably President Donald Trump — have expressed optimism that...
  16. M

    Tanzania na Rais wake wametegeshewa Uchaguzi wa Zanzibar

    Rais Magufuli na serikali yako hapo mtego ndiyo umetegeshewa kama ule tu ulipotegeshewa uliopita wa kuufuta uchaguzi. Waliufuta kwa kukutupia chambo sema ulikuwa mpya mpya na hukuhusika na kuufuta ule uchaguzi. Sasa safari hii watakuwa wamejipanga vilivyo. Dawa ni rahisi mshindi wa Zanzibar na...
  17. M

    Balozi wa Marekani ama Pompeo atumiwe hii

    Naomba mnisaidia kumtumia Pompeo katika Twitter yake hii picha chini ama Balozi wa Marekani.
  18. M

    Usomi wetu hewa wa Historia na Ubeberu

    Hivi mtu unasoma historia shule ya msingi degree hadi PhD kwamba mzungu alinyanyasa babu zetu, aliwachapa viboko, aliwanyima uhuru babu zetu , aliwapa masilahi madogo na tulimpiga na kumfukuza sababu ya uenezi. Harafu sasa, ktk practacality, unamfuata mzungu ili akusaidie kuondoa dhuruma na...
  19. M

    Serikali/Magufuli Ili Wazungu wasiwasumbue Suala La Ushoga Itisha Kura ya Maoni

    Ili Serikali ya Tanzania iachwe kusumbuliwa na wazungu na viongozi wake kuandamwa, itisheni kura ya maoni kwa wananchi kwa swali moja tu. 1: Je unakubali ushoga? a. Ndiyo b. Hapana. Mnajua wazi halitapita wananchi watalikataa, hivyo wazungu wakiwa wanawafuata mnasema mnaheshimu demokrasia, na...
  20. M

    Serikali Nendeni Mkakope kwingine hata kwenye Riba Kubwa

    Ningewashauri Serikali kama wanahitaji huo mkopo wa elimu wakakope kwingine hata kwenye riba kubwa.Mkopo utawekewa je masharti namna hiyo? Mie naamini mkopo ni unakidhi matakwa ya mkopo unapewa ama hukidhi unanyimwa, full stop. Nendeni mkakope kwenye riba kubwa kama hizo pesa zinahitajika...
Back
Top Bottom