Search results

  1. K

    Wanajeshi wamenipiga mbele ya mke wangu

    Wanajeshi wetu wajinga na hawana nidhamu....wanajifanya wababe lakini wakati wa mabomu ya mbagala na g/mboto walikimbia.....hakuna tofauti kabisa na interahamwe na wabakaji wa kawaida....pole ndugu yangu...nafikiri mishahara yao imechelewa sbb ya sikukuu ndio maana walikupiga wapumbavu wakubwa...
  2. K

    Msiba kwa wafugaji wa kuku wa mayai -- Mayai yamefurika bei chini toka Mombasa!

    Hatuna ujanja kwani tayari nchi yetu ni mwanachama wa WTO na tayari tumesain SPS and TBT agreement. Hapo maana yake ukiwa mwanachama hautakiwi kuzuia chochote kiingiacho nchini mwako kama hautathibitisha kuwa kina madhara kwa binadamu. Cha kuwashauri Wajasiriamali wetu: Wayapime hayo mayai...
  3. K

    Tfda tulidhani mmebadilika!!!!!!!!!!! Utumishi angalia hili

    Acha UJINGA na MAJUNGU wewe hata huyo dogo anayo haki ya kupata kazi.....kuwa na supplimentary au kuwa mdogo kiumli haimaanishi mtu ni mbumbu....Acha kuzarau wenzako.....TFDA ni mamlaka makini ndio maana wajinga kama wewe hawapati kazi pale......
  4. K

    Jumba linauzwa bei powa

    WImana hebu kuwa kidogo.....hiyo nyumba bei yake ni chini kulinganisha na 85m....Naamini anayesema 85 m ni bei ghali hajui gharama za ujenzi.......Numba nzuri mkuu
  5. K

    Nini husababisha hili????

    ...Acha kula vipolo asubuhi....kanywe PEPSCOLA...
  6. K

    Natafuta Mchumba Muislam

    ....mwajiriwa? je akifukuzwa kazi?..
  7. K

    ........duh nimeisha....mwili unamtaman sana huyu

    .....ulivyo mbishi....hilo ni pepo....kwani kila kizuri lazima ukipate?....kumbuka huwezi kupata kila kitu....nenda kaoge mto msimbazi mara saba....ili pepo langono likutoke.....bila aibu...unakiri una mmasai.....pia...ulimtamani preta.....WANAUME HATUPO HIVYO......
  8. K

    ........duh nimeisha....mwili unamtaman sana huyu

    Uwiiii hilo ni PEPO KEMEA...
  9. K

    Bikira inanitesa

    pumbavu..............
  10. K

    Natafuta mume jaman

    Mume/ mke sio bidhaa.Nashauri indo kigezo cha elimu na "kumpenda Mungu". Kuna wanaume wengi hawana Digrii kama mimi lakini ni watu wazuri tu. Pia swala la imani ni la mtu mwenyewe...wangapi tunawaona kwenye nyumba za ibada lakini wanaishi maisha tofauti?......Ukiondoa kigezo cha elimu na...
  11. K

    ni nani hawa??

    Ni Mh. Stephen Wassira na Haruna Masebu wameenda kutembelea watoto wao shuleni mojawapo ya nchi kusini mwa Bara Africa...
  12. K

    Mume wa mtu kaning'ang'ania......

    Usitudanganye.......mnapendana nyie....Kama ungekuwa humpendi usingeleta stori hapa...wewe ni mtu mzima....mbona wengi waliokuchomokea hukuwaleta hapa.....
  13. K

    Kwa hili, secretariet ya ajira Tanzania nimewakubali! Hongera sana!

    ....wewe ni mwehu...inaonekana siku ukikubaliwa na demu utatujulisha pia...acha majigambo...
  14. K

    Kutokwa uchafu kama maziwa sehemu za siri tiba nini?

    Ni kawaida....wala si ugonjwa...kuna baadhi ya wanawake wengi huwatokea. Ningekushauri ni vyema ukaenda hosptal ili upate uhakika zaidi. Humu kwenye JF watu wengine hufanya mzaa
  15. K

    Nashukuru Mungu sijapangiwa IFM !!!!

    ....Kweli siku hizi kuna machizi na si wasomi....Mwehu huyu ananikumbusha hadith ya .."sizitako mbichi hizi...
  16. K

    Naitafuta gari yangu

    acha kusumbua watu. Lete maelezo kama ulivyoambiwa na mkwe21
  17. K

    Papaa Msofe akabiliwa na kesi ya mauaji

    nimaamini hili fashisti lina uhusiano na ndama. Ninamfahamu vizuri sana ndama. Ndama shaabani amepata utajiri wa ajabu. Ndama alimaliza shule ya msingi ubungo n.h.c mwaka 1989 na akasoma tambaza sec 1990 - 1993. Ndama alikuwa karibu sana na lile jangili puzza (william jackson)janafunzi la...
  18. K

    MSAADA.. Course ya WATER QUALITY AND LABARATORY TECHNOLOGY.

    Nenda DIT ndugu yangu. Ukisoma hapo Chuo cha maji utaji-limit kweye uchunguzi wa maji pekee. lakini ukienda DIT utapanuka katika chunguzi za vitu mbali mbali. Utaweza ajiriwa na sehemu kama TFDA, TBL, viwanda vya vyakula pamoja na viwanda na wizara ya maji. ILA USHAURI WANGU: UNGEACHANA KABISA...
Back
Top Bottom