Search results

  1. M

    Division 3 points 29,ndyo nn,maajabu ya Necta

    Mdogo wangu kapata division 3 ya points 29 kwa maelezo yake,mi nikamwambia hyo ni div 4,ananibishia,hii imekaaje?
  2. M

    Jinsi ya Kupangalia vyeti Katika Kutuma barua ya Maombi

    Nisaidien jaman, jinsi ya mpangilio maalum wa kutuma barua za maombi,je unaanza vyeti au barua, au CV pale mbele katka kuvibana? na kama unaanza na vyeti. Je unaanzia cha chuo, juu au cha la saba ndio kinakaa juu? Msaada kwa wataalamu wa mambo haya
  3. M

    Sasa hawa uhamiaji wanataka form 6 waliofaulu watapatikana vp,maana najua wote wamej

    Jaman naomba nieleweshe kuhusu nafasi za kazi za uhamiaji nafas ya koplo wanataka form 6 waliofaulu,sasa wanapatikana vp hao waliofaulu maana ninavyojua mimi waliofaulu wote wamejiunga na vyuo mbalimbali,au ni mbinu tu za kupunguza watu?
  4. M

    Huwa nacheka sana haya majina ya jf,eti kuna mtu anaitwa "pilipili kichaa"nacheka san

    Nikiwa na stress huwa naingia jf ili nicheke
  5. M

    Nimeokota begi lina mil 92.hapa maeneo ya segerea kma unaelekea kinyerezi

    Je?Nikatoe taarifa polisi,msaada wenu naombeni jaman
  6. M

    Usaili JKT

    Jamani kwa wale wanaofanyiwa usaili dar hapo wilayani wa jkt watupe info kamili,nini kinaendelea hapo,.tafadhali mwenye taarifa atujuze ukweli zaidi
  7. M

    Jkt

    Jamani mwenye taarifa za uhakika kwamba kuna ukweli wwte jkt wanataka watu wa3 kila wilaya?
  8. M

    Nahitaji marafiki wa kweli

    Aingie inbox 2pange michongo ya kimaisha
  9. M

    Sasa JKU

    Kuna mtu yeyote anayejua utaratibu wa kujiunga na JKU hapa
  10. M

    Jamani mbona watu wa degree 2metengwa kwenye post za JKT

    Jamani wadau sie wenye degree JKT ndo hatuna chetu?
  11. M

    hi,looking for a girl who want to be connected with me,a well behaved girl

    u may check me through this email ..junefifteen15@gmail.com
  12. M

    mapenzi

    niaje wazee na vijana
Back
Top Bottom