Search results

  1. Almeda

    Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    Lost, 24hrs, prison break,
  2. Almeda

    Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    Maximum risk, cyborg, scarface
  3. Almeda

    Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    Yawezekana nikawa typing errors ila ipo
  4. Almeda

    Kumbe Kakobe ni CHADEMA muda tu, ndio maana anaishambulia serikali ya CCM

    Tatizo si kakobe wakisifiwa , wakiombewa sawa, ila wakikosolewa ndio shida du!!!
  5. Almeda

    Nimeota ndoto kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo

    Yasije yakakuta yaliyomkuta lema
  6. Almeda

    Ni hali ngumu au uchoyo?

    Huo uchoyo ndugu
  7. Almeda

    Nyumba zateketea kwa Moto jirani na Mwananyamala Hospitali

    Mwananyamala a' kona ya kuelekea hsp na mny b' ndpo moto bado unawaka
  8. Almeda

    Nini faida ya ushirikina na uchawi?

    Hakuna faida zaidi maisha ya mashaka na kubaki maskini ktk maisha yako yote
  9. Almeda

    Wabunge CCM wamlilia Tundu Lissu awe waziri wa Katiba na Sheria nchini

    Ni kweli kama wajumbe wa ccm wataacha ushabiki basi hakuna shaka tutapata katiba nzuri kwa rasimu iliyopo
  10. Almeda

    Sijaona tanzania kwenye hii list

    Mm nafikiri wamesahau katika list maana wameishia namba tisa ss namba kumi
  11. Almeda

    App ya jf ktk iphone4

    Hbr wana jf, naomba kujuzwa jinsi ya kuitumia maana kila ninapoifungua nashindwa kulog in maana inafunguka moja Kwa moja ktk forum na ndiyo maana napata SMS kutoka Kwa admistrater kuniuliza ww ni nano sb najua siku sign in
  12. Almeda

    Tuwataje Wabunge wetu 75

    Abasi mtemvu, mama rwakatare, Juma mkamia,
  13. Almeda

    HAMIS Kigwangalla: Jana Rais Kikwete aliniachia kiti, nikakaa na marais wengine. Can u belive that?

    Nafikiri alimisi kiduku alitoka kidogo akacheze si mnajua kwao ndio desturi
  14. Almeda

    Wakuu nina nguo ya ndani ya mke wa mtu nashindwa kumrudushia

    Mtumie Kama zawadi Kwa njia ya posta ila mla vya wenzio na vyako huliwa
  15. Almeda

    "Akaunti yangu ina more than billion"- Diamond Platnumz

    Duh mm napita tu biashara gani hiyo?!
  16. Almeda

    Kwanini napinga mchakato wa Katiba Mpya ulivyo sasa na kwanini wewe pia yakupasa uupinge

    Mm mkuu umesomeka sana, nafikiri chama wameshaliona hili nataraji watachukua msimamo mkali kuhusu mchakato unavyoendelea na ikishindikana wahamasishe wtz kuupiga wakati wa kura ya maoni.
  17. Almeda

    Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

    Watashindana lakini hawatashinda, mungu bariki CDM
Back
Top Bottom