Search results

  1. M

    Tuhuma za mbunge J.Selasini alizotoa bungeni dhidi ya RC Gama siyo za kweli.

    Wa Rombo wote hatutarudia tena makosa ya 2010 .... Hatutadanganyika tena kuchagua tena wanywa gongo na viroba wa Chadema
  2. M

    Tuhuma za mbunge J.Selasini alizotoa bungeni dhidi ya RC Gama siyo za kweli.

    Mrema, Mdee na huyo Selasini wote wanatapatapa tuuu hali zao ni mbaya hawatoboi Oktoba 2015
  3. M

    Tuhuma za mbunge J.Selasini alizotoa bungeni dhidi ya RC Gama siyo za kweli.

    Acheni kukurupuka nyie ma Chadema mmevurugwa kinoumaa tulieni oktoba dawa itawaingia tuuu
  4. M

    Tuhuma za mbunge J.Selasini alizotoa bungeni dhidi ya RC Gama siyo za kweli.

    Ndugu yangu Kichwa cha Nazi... Hongera Sana kwa kuleta huu uzi hapa jamvini kiukweli hawa Chadema hapa Rombo wameshikwa pabaya ndiyo maana wanatafuta mtu wa kwenda naye kaburini..... Hali yako ni mbaya sanaaaa
  5. M

    UCHAMBUZI: CCM yasoma alama ya Nyakati, UKAWA waendeleza status quo

    Kuitetea CCM ni lazima uwe na akili kama ya mwendawazimu....... Source JK.Nyerere 1989 Mbeya.
  6. M

    UCHAMBUZI: CCM yasoma alama ya Nyakati, UKAWA waendeleza status quo

    Kichwa cha Nazi yaani maneno na hoja zako ni sawa na Msumari wa inchi 6 katika utosi wa CCM.. Hatariiii Sana CCM inatwangwa kotekote.... Mbele nyuma kushoto na kulia.. Ni aibu mrembo kama JS kutumika kama condomu
  7. M

    Mpaka sasa CCM imelazwa chali mkoa wa Mara

    Huku ROMBO CCM wameshapigwa tobo la nyuma.......
  8. M

    Sumaye: Vijana kuleni pesa za mafisadi ila kura wanyimeni

    LAKINI CHA NAPE NNAUYEE kinaenda lesi zaidi
  9. M

    Picha na Maelezo: Mkutano wa CHADEMA Arusha - Tar 08.10.2014

    Kitchen Party Ya Mafisadi Na Majangili Wenye Magamba Imeisha Pale Dodoma, Tumeambulia Vijembe,ngonjera, Misemo Na Ngojera Za Mpoto Mnafiki
  10. M

    Shikamooni UKAWA Tanzania Kwanza Hamjambo!! Hizi Ndizo Siasa Za Tanzania.

    Shikamoo Hayati Dr.Sengondo Mvungi !, Mungu Akupumzishe Mahali Pema Na Patakatifu Mbingini Amina. Huko Uliko Twakuomba Uwasamehe Wauaji Wako Ambao Hawakupenda Mawazo Yetu Mliyoyakusa Yatumike Kuandaa Katiba Mpaka Wakachukua Uamuzi Wa Kukua, DAIMA TUTASIMAMIA FALISAFA NA MISIMAMO YAKO SI...
  11. M

    Shikamooni UKAWA Tanzania Kwanza Hamjambo!! Hizi Ndizo Siasa Za Tanzania.

    Shikamoo Mh; Mwenyekiti Wa Tume Jaji Warioba, shikamooni wajumbe wote wa tume ya warioba.
  12. M

    Shikamooni UKAWA Tanzania Kwanza Hamjambo!! Hizi Ndizo Siasa Za Tanzania.

    shikamoo CUF, CHADEMA NA NCCR, CCM Hamjambo wadogo zangu..... MARAHABAAAA
  13. M

    Shikamooni UKAWA Tanzania Kwanza Hamjambo!! Hizi Ndizo Siasa Za Tanzania.

    Mafisadi wa tanzania kwanza mmevurugwa, CCM Hovyoo, Vichwa Ngumu ukoo wa panya wote ni mazuzu.
  14. M

    Mwana CCM mwenye ushahidi wa maisha bora kwa kila Mtanzania auweke hapa

    Maisha Bora Ni Ufisadi Na Ujangili Wa Mali Za Umma Uliofanya Na Makada Na Viongozi Wa MaCCM Through EPA, Escrow And Richmond Scandals. Pesa Hizi Zimefichwa Huko Ulaya Na Ma.CCM, Zingine Hutumika Kuwahonga Wapiga Kura Ili Waichague CCM Iendelee Kutawala Na Kutuibia Raslimali Zetu.
  15. M

    Mwana CCM mwenye ushahidi wa maisha bora kwa kila Mtanzania auweke hapa

    CCM Ni Wahuni Na Wezi Hata Kiongozi Wao Hamnazo.
Back
Top Bottom