Mna uthibitisho kuwa wamelinunua?. polisi kumiliki hilo gari haimaanishi wametoa fedha kulinunua. What if limetolewa zawadi na mtu kwa polisi??
Je kama limetaifishwa?
There might be another story behind that car.
nna uhakika kwamba hunifahamu hata kidogo labda unamfaham kitomari2 na sio mimi.
jamani namba ya simu ya huyo kitomari2 si mnayo? uthibitisho wa meseji za kutuma pesa zenu si upo? na wengine mnamfahamu kitomari2? mkamateni na mfikishe mahala panapohusika sio mnakurupuka na kuita watu...
you are very wrong, i am not a criminal and never was i.
do you know me out of jamii forums?
don't judge me as if you know me while you don't have clue of who i am.
HIYO SIYO NAMBA YANGU YA SIMU wala sijawahi kuwa na namba kama hiyo, kilichotokea ni kuwa account yangu ya jamiiforums ilikua merged na account nyingine( sijui kama bado iko merged au vipi kwa sasa).
nime andika complains nyingi kwa mods kuhusu hilo but cdhani kama limesharekebishwa, wapo watu...
someone is messing with my jf username and password.
1 MIMI SI KITOMARI YOYOTE SIO 1,2,3,..............,
2.SIJAWAHI KUPOKEA FEDHA YA MTU YOYOTE YULE NLIEFAHAMIANA NAE KUPITIA JAMII FORUMS KUFANYA NAE BIASHARA,
3. HUYO KITOMARI SIMFAHAMU
4. SIFANYI BIASHARA YA KUKU NA BATA, MI NI MUAJIRIWA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.