Search results

  1. B

    Natafuta kiwanja cha kufungia mwaka

    Nina bajeti ya 6m natafuta kiwanja dar es Salaam kigamboni, madale. Kiwe kimepimwa. Nahitaji kufunga mwaka kwa kishindo.
  2. B

    Mwaka 1 wa Samia: Zuhura Yunus umeitendea haki Kurugenzi ya habari Ikulu

    Nimesikiliza makala ya mafanikio ya Rais Samia tangu aliposhika hatamu kuongoza nchi iliyoandaliwa na kusimuliwa na Zuhura Yunus. Kiukweli huyu dada ni msimulizi mzuri hatetereki wala kujiumauma kanyooka kama rula na kiswahili chake maridhawa. Kwa kweli katika teuzi hapa mama aliramba jike haswa
  3. B

    Nina mtaji wa Milioni 4 natafuta banda/frame ya uwakala

    Kama kichwa cha mada mie mdau nimebangaiza kitaa nina 4m hapa nataka nifanye biashara ya uwakala wa pesa kwa simu na mabank, natafuta frame ya kufanyia biashara hiyo iliyopo maeneo yalochangamka iwe Kinondoni, Mwananyamala, Kigogo nk. Nikiipata nianze kufuatilia lines za miamala na leseni ya...
  4. B

    Natafuta kiwanja Kinyerezi ukubwa kiwe 30x25

    Wakuu natafuta kiwanja maeneo ya Kinyerezi kilichopimwa kwa size ya 30 kwa 25, bajeti yangu haizidi 10mil naomba mwenye kujua tuwasiliane
  5. B

    Naomba nijue ubora na udhaifu kati Toyota Kluger na Harrier new model

    Wakuu habari za leo, Nina mpango wa kuagiza gari Japan, ninafikiria zaidi Harrier New model au Toyota Kluger za mwaka 2004-2006, nahitaji kujua ubora na udhaifu kati ya hayo magari mawili, na ushauri wa lipi niweze kuagiza. Pia anaejua kuhusu calculation za mapato TRA na kulitoa gari...
  6. B

    Namtafuta rafiki yangu mzanzibar Wahida Mohammed (Entry UDSM 2006)

    Namtafuta dada yangu huyu na rafiki yangu kipenzi Wahida Mohamed alisoma pale udsm tulianza mwaka 2006 akisomea Chemistry, mara ya mwisho kuwasiliana nae 2013 alikuwa akifanya kazi/intern pale ZBS, zanzibar. Kama akiiusoma uzi huu tafadhali tuwasiliane inbox. Au yeyote mwenye kufahamu na...
  7. B

    Natafuta Tyres za Bridge stone size 215/45/R17

    Wadau tyre hizo zinatafutwa mwenye kujua pa kuzipata msaada please, PM kwa biashara haraka
  8. B

    One love wimbo wa Bob Marley ndio ulionikuna kwenye Uchaguzi huu, Lissu alifikiria nini?

    Wakuu huu wimbo Tundu Lissu alijifikiria nini kwenda nao katika kampeni? Kiukweli umenigusa sana hasa hiyo mistari niliyobold ina maana kubwa sana. Tundu una akili sana na napenda unavyojua kuucheza. One love One heart Let's get together and feel alright (hear the children crying) One love...
  9. B

    Natafuta kiwanja Dar es Salaam (Tabata au Kinyerezi)

    Habari ndugu, Mimi ni kijana niko katika harakati za kujenga maisha japo kwa kujitutumua sana natafuta kiwanja kisichozidi bei ya 5mil Tsh maeneo ya Tabata au Kinyerezi, kiwanja kilichopimwa na size ianzie angalau 600 Sqm kwa ajili ya makazi. Mwenye kujua kinauzwa au kipo anicheki DM Shukrani.
  10. B

    Natafuta mdada wa kufanya kazi ya saluni ya kike

    Natafuta mdada mfanyakazi wa salon ya kike awe anaweza kufanya makeup za kisasa kwa maharusi na sherehe mbalimbali, kusuka na kuset mitindo yote ya nywele na awe mkazi wa Dar maeneo ya Ukonga G/mboto mjii kuepusha umbali wa usafirii. Salon ipo Moshi bar kwa diwani Ukonga. Awe mkarimu kwa...
  11. B

    Kushika damu ya muathirika wa HIV; unaweza kupata maambukizi?

    Hi all napenda kuuliza hivi karibuni ilitokea rafiki yangu ameshika damu ya muathirika wa ukimwi aliyekuwa akimuhudumia ikamgusa kwenye mkono hakuwa amevaa gloves na wala hakuwa na michubuko. Anaweza kupata maambukizi kwa njia hii? Naomba kwaslilisha
  12. B

    Adhabu ya kumkimbia traffic police

    Habari wanajamvi, Jana katika pita pita zangu maeneo ya Ilala dar Dereva wa gari ndogo akapita katika barabara kwa kuvunja sheria, alipita no entry road ambayo hairuhusiwi. Bahati mbaya kuna polisi alikuwa anavizia akamsimamisha, jamaa akajifanya kama anafunga breki asimame ghafla akaongeza...
  13. B

    Mbuzi dume wawili wanahitajika

    Natafuta mbuzi wawili dume wenye afya bajeti yangu ni elfu 60 kila mmoja, nipo dar. mwenye kuwa nao anipm tufanye biashara.
  14. B

    Memory devices na office furnitures zinahitajika

    Nipo dar natafuta vifaa vya bei ya jumla kama flash, memory cards, card treaders, photo printer, USB, memory card adoptors n.k. pamoja na fenicha za maofisini used (office chair used, meza yenye droo). Kama kuna anaeviuza namba anipm.
  15. B

    Mdada wa kuuza duka la vipodozi anahitajika

    Natafuta dada anayejitambua kuuza vipodozi kinondoni mkwajuni, awe anaishi karibu kiasi anaweza kutembea tu kwenda dukani, mtu wa mbali hatakiwi. Pia awe anajua kusoma na kuandika, awe tayari kufanya kazi saa mbili aaubuhi mpaka saa nne usiku kila siku. Mwisho awe mchangamfu na kauli nzuri kwa...
  16. B

    Photo printer inahitajika haraka

    Iwe na uwezo wa kuprint A4 size na chini ya hapo. Mwenye nayo ani-pm
  17. B

    Ili uwe bingwa lazima uwafunge mabingwa

    Hili ni wazo langu kwa Taifa stars, mabingwa wote huwa mabingwa kwa kuwafunga mabingwa, msitegemee timu za ki-chadi chadi, sasa imejitoa na group limebaki na Nigeria na Egypt na Tz, point zimepunguzwa kwa kila timu ilomfunga chadi. Tukomae tuwafunge hao waliobaki
  18. B

    Natafuta mtu wa Tigopesa, Mpesa na Airtel Money wa kushare nae pango la frame

    Kama wewe una line za huduma hizo na hujui wapi ufanyie biashara hiyo, mie ninamiliki stationery Kinondoni na biashara ya Miamala ya pesa kwa mitandao wapo wateja wengi ila mimi sina mtaji wa kuweka biashara hiyo, kama wewe unazo line hizo na huna mahali pa kufanyia biashara ni-pm tuweze kulipia...
  19. B

    Mdada wa stationery anatafutwa

    Ofisi ipo kinondoni na mfanyakazi awe anaishi maeneo ya karibu, awe anajua program za ms word, excel, publisher,power point n.k Please awe anajua kweli sio kubahatisha kuna kipindi nilitoa tangazo mtu anapatikana lakini namfanyia interview hata kuchapa barua inamshinda, kama mtu hana uhakika...
  20. B

    Natafuta set up ya MicroSoft Office 2007 haraka

    Nipo hapa kariakoo mwenye nayo plz anipm au anielekeze zinapouzwa.
Back
Top Bottom