Search results

  1. S

    Togolese Ambassador In Nigeria Dies With Girlfriend In Sea Accident

    Mi sijaelewa kwa undan lugha ya #kiingereza imenitoa
  2. S

    Naomba kusaidiwa jinsi ya kutafuta cm iliyo ibiwa

    Pia cm kwenye mtandao wako,waambie tatzo lako ksha watakuulza hzo SN utawapa na hzo cm ztafungwa na haztafanya kaz tena
  3. S

    je, unawakumbuka hawa?

    Abuu omar,sekilojo chambua,akida makunda,deo mkuki,ramadhan lenny,rifat said,steven nemes,wily mtendawema,wazir mahadh,peter manyika,kasim isa,atupele mapugilo,gerad hilu,idifonce amlima,oraf mwamlima,ngade chabanga,kipanya malapa,tomas kpese,said mwamba kzota,lubgsa madata lubigisa,primus...
  4. S

    Mzee Dude wa FUTUHI afariki dunia

    Msanii wa kundi la Futuhi Mzee Dude amefariki dunia Leo mida ya saa kumi na moja jion. Habari zinasema Inauma sana 2po pa1 ktk kpnd hk kgum
  5. S

    Kila munu ave na kwao

    Naskuru sana mdau nimeishaudownload,nmefurahi sana naamini furaha yang itaniongezea siku
  6. S

    Kila munu ave na kwao

    Habari zenu wana-JF, naomba msaada wenu kwa yeyote mwenye audio ya wimbo wa kimakonde 'kila munu ave na kwao' anielekeze jinsi ya kuupata au aniwekee hapa niweze kuu download. Natangulza shukran zangu kwenu, ASANTENI
  7. S

    Je unataka kumwoa binti wa Kimakonde? Soma hapa!

    Aisee umenikumbusha mbali huo wimbo enzi hzo ulikua unapgwa RTD, Naomba niwekee audio yake hapo nii download niweze kukumbuka mbali enzi hzo.
  8. S

    WIVU WAKIJINGA WA TBC Vs ITV

    Halafu wanachukua matangazo wanashndwa kumudu mfano ktendo cha kuatsha matangazo ya mpira kat ya tz na moroko ili 2one ujio wa rais xi jimping wa chna,kwa ufupi ni wakorofi
  9. S

    Historia ya Wimbo wa Taifa wa Tanzania na mtunzi wake

    Ni kweli hata mimi nilijiuliza sana swal hili,nikiuckia wimbo huo kwenye AFCON; Zambia na South Africa wakiimba tune ya wimbo huo bila kua na majb kamili. Binafsi nashkuru kwa kupata hii elimu.
  10. S

    Huyu aliyekuwa mtangazaji maarufu Radio Deutsche Welle Swahili Service yuko wapi?

    Mbona hamumzungumzii mwanamama mkongwa Frema Martin wa kipindi cha jifunze kijerumani
  11. S

    Huyu aliyekuwa mtangazaji maarufu Radio Deutsche Welle Swahili Service yuko wapi?

    Ni Wajih Sheh nikiwatakia afya njema. Nilimpenda sana huyu mzee,nasikitika kuambiwa alishatangulia mbele ya haki
  12. S

    NMB tuanzishieni dirisha linalotoa huduma kwa kufuata misingi ya uislam,riba ni kero

    Ukiaka misingi ya uislam nenda NBC ndo kuna uislam hii NMB ni benk ya wote na ndo maana % kubwa ya watumish wanapitshia mishahara yao,hiv kwanza lengo lako ni nini hasa
  13. S

    Ubishi mtaani kuhusu tecno mobile

    Nshawapata kosa kubwa la TECNO ni kwamba imeandikwa made in China, na pia ina instruction za kiswahili, mf.gotoka,simu inapakua,ujumbe umetumwa,huduma za intanet,meneja ya faili,media ya sauti na kadi ya kumbukumbu ndo vitu vnafanya ionekane feki mmh
  14. S

    Ubishi mtaani kuhusu tecno mobile

    Tusidanganyane jaman, TECNO ni kampun makini sana kama kampun nyngne za cm, Kampun zote znaingiliwa na wahun ambao hukopi kama zile orijno mf ukiangalia sm za NOKIA,SAMSUNG uknunua aina fulan toleo la 1 baada ya 6miez utapata tu fek yke, be care
  15. S

    Je, ni kweli kinyonga hupasuka na kunguru hana damu?

    Jamani nazidi kupata changamoto nyingi na majibu mazur ya wadau,na nazidi kutafakari hawa viumbe wanavyozd kuchanganya umma wa walimwengu.
  16. S

    Je, ni kweli kinyonga hupasuka na kunguru hana damu?

    Popo sio ndege yeye tupo nae ktk kundi la mammalia na anazaa kama binadam na hatagi mayai ana vnyweleo
  17. S

    Je, ni kweli kinyonga hupasuka na kunguru hana damu?

    Habari wana JF, Nina maswal mawili yanayonichanganya kchwa chang ktk maisha yangu: 1. Nimesikia kwamba kinyonga anapozaa huwa amapanda kwenye mti mrefu na kujiachia na tumbo kupasuka watoto kutoka na mama hufa. 2. Ni kweli kuwa kunguru hana damu?
Back
Top Bottom