Search results

  1. S

    #COVID19 Kwanini Taifa Halisisitizi na Kuhamasisha Tiba ya Corona badala ya Chanjo?

    Mkuu huo unaouita utaalamu mpaka sasa haujatupatia majibu ya maswali hapo juu, jaribu kufuatilia kwa hao wataalamu watakuthibitishia. Lakini ujue swala la afya linatuathiri mtu mmoja mmoja na kama taifa bila kujali utaalam kuanzia kwenye mipango, mapato, matumizi, na maisha ya kila siku. Tukikaa...
  2. S

    #COVID19 Kwanini Taifa Halisisitizi na Kuhamasisha Tiba ya Corona badala ya Chanjo?

    Kuna watu wengi wanapona kwa kutumia dawa za hospitalini pamoja na mitishamba kwa gharama ndogo (ya kawaida) lakini dawa hizi hazisisitizwi popote, yaani dunia imeamua kwenda na chanjo badala ya tiba huku wengi wakiangamia wakati tiba ipo. Je, ni kwamba hizi dawa hazifai? Msaada wa chanjo...
  3. S

    Ndoto na uhalisia katika Mahusiano

    Wapo sana, ila ukimkuta atakuwa siyo wako
  4. S

    Ndoto na uhalisia katika Mahusiano

    Sawa, ila vipengele vyepesi kuelewa.
  5. S

    Ndoto na uhalisia katika Mahusiano

    Mahusiano ni mazuri pia ni matamu, mke mkarimu na unyenyekevu usioshaka, anayeheshimu na kujali mwenye upendo na huruma, asiye mpinzani wala mshindani anayeridhika na kushukuru, akijishusha na kujidunisha mahusiano kuyaboresha. Mpewa zawadi na kushukuru asiyekosoa kabla ya kushukuru, maana kwake...
  6. S

    Updates kuhusu BOT

    Nilifanya interview mwaka huu na nilitokea Mara ila hawajanirudishia nauli. Siku hizi hawarudishi, ilikuwa zamani.
  7. S

    Nauza line ya Tigo Pesa

    Ni kwa bei ya promotion, laki nne na nusu tu. Niko Dar es salaam. 0715 265 008
  8. S

    Nauza line ya Tigo Pesa

    Ni kwa bei ya promotion, shilingi laki nne na nusu tu, niko Dar es salaam. 0715 265 008
  9. S

    PPF Aptitude Test

    Sitegemei, kwana anahusiana vipi na kazi?
  10. S

    PPF Aptitude Test

    wametuma e mail, ni nafasi za operations trainee. Interview inafanyikia mlimani (udsm)
  11. S

    PPF Aptitude Test

    Naomba mwenye uzoefu wa APTITUDE TEST za ppf anisaidie.
  12. S

    Nauza line ya Tigo Pesa

    Shilingi laki tano na nusu, niko Dar. 0715 265 008
  13. S

    Line ya TIGO PESA inauzwa

    Laki sita
  14. S

    Line ya TIGO PESA inauzwa

    Bei maelewano
  15. S

    Line ya TIGO PESA inauzwa

    Nauza line ya Tigo Pesa, niko Dar Mawasiliano 0715 265 008
  16. S

    Uhamiaji na CV

    Hawajasema uandike barua hapo lakini utaiandika, hivyo CV pia ni muhimu.
  17. S

    TPSC Dar Es Salaam Examination Results December 2013

    Habari zenyu? naomba mwenye matokeo ya TPSC(Tanzania Public Service College) anisaidie nimejaribu kufungua kwenye web yao lakini hayafunguki. plz!!!!!!!!!!!!!
  18. S

    Siku chache baada ya kutuma maombi ya kazi nikapokea sms hii

    Najaza nafasi za x, Am Mr. Ibrahim from YOUTH PROGRESS au atakuambia from TROPICAL LTD (mimi amenitumia meseji mbili kila mmoja na kampuni yake) Namba 0754 962052, na hiyo ndo namba yake. SO BE CAREFUL
Back
Top Bottom