Search results

  1. Ushirombo

    Ni yapi madhara ya Shisha?

    Mi mshamba wa Ushirombo, nimekuja mjini hapa nimekuta hii inatrend sana kila mahali shisha shisha, mbaya zaidi naona mabinti wanazitumia sana. Nataka tu kujua yapi madhara ya hii kitu.
  2. Ushirombo

    Mapigano/vurugu zatokea Mlandizi na kusababisha barabara ya Morogoro kufungwa

    Wakuu hapa Mlandizi nahisi kuna ajali, so kwa wanaopitia barabara hii bora mpitie barabara nyingine hasa ya Bagamoyo, sisi tumesimama saa na nusu mpaka sasa Leo trh 13.03.2023 saa 17:57 -- UPDATE --
  3. Ushirombo

    Hadhari video inatisha: Hawa bodaboda waliopata ajali ni wapi?

    Ila hawa watu hawajihurumii kabisa,najiuliza imetokea wapi hii? Tahadhari,picha ni mbaya sana
  4. Ushirombo

    Utapeli/ wizi mpya wa kuunga bando

    Wakuu heri ya mwaka mpya. Twende direct; ninawaasa tu kuna hawa watu wanajitangaza huko insta kwamba tunaunga bando za internet,msgs na airtime.Kiufupi hao jamaa ni wezi,mi nimepigwa na watu wawili tofauti,ofcoz niliamua ku risk kuona how are they,nikatuma wa kwanza 15k na wapili 22k wote wakala...
  5. Ushirombo

    Kwa wenye matatizo na mifumo ya majitaka

    Nitangulize shukrani zangu na heri ya Christmas na mwaka mpya kwa wanajukwaa. Kwa kawaida watz wengi tumekua tukijenga au kuplan kujenga bila kuwa na plan ya management ya majitaka.Kiukweli majitaka yana nafasi kubwa sana katika ubora wa makazi na afya kiujumla. Nipunguze maneno, kwa wewe unplan...
  6. Ushirombo

    Tujikumbushe matukio makubwa ya mwaka 2021,tunapoelekea 2022.

    Habari zenu,napenda kwa pamoja tujikumbushe matukio makubwa yaliyoitikisa Tz kwa mwaka 2021 tunapoelekea 2022.Najua ukubwa wa tukio wakati mwingine inategemeana na mapokeo au mtu mwenyewe,lakini kuna yale matukio ambayo yaligusa au kushtua watu wengi,mi naanza na 1.Kufariki kwa Rais wa JMT Dr...
  7. Ushirombo

    Natafuta Web Designer

    Ninamuhitaji tufanye kazi pamoja, awe Dar na awe anaweza kudizain website vizuri. Awe na Diploma ya Information System au Equivalent Tuchekiane 0742 266 266
  8. Ushirombo

    Karibuni huduma ya wastewater treatment kwa kiwango ku recycle maji na kuyatumia

    Tuna experience katika majitaka ya majumbani,viwandani n.k
  9. Ushirombo

    Natafuta mdau tushirikiane, mimi ni mtaalam wa majitaka

    Kama heading inavyosema, kwa mara ya kwanza kabisa nilipost hapa kuhusu njia mbadala wa septic tank na soakpit ilikua mwaka 2016,17 niliuza idea yangu ya kutumia BIODIGESTER badala ya kuchimba hayo mashimo,ninashukuru mliipokea vizuri sana na kweli nimewawekea watu wengi tangu mwaka huo...
  10. Ushirombo

    Natafuta suluhisho, maumivu ya mgongo na mwili mzima

    Habari ni dada ana miaka 29 ana kg 65 na alijifungua kwa operation mwaka 2018 December, alianza kupata maumivu ya mgongo mwaka huu mwezi April, hadi leo anaumwa sana, vipimo (MRI) vinaonesha ni dislocation ya pingili za mgongo. Nakuja kwenu wadau naamini naweza kupata ushauri mzuri kwenu au ni...
  11. Ushirombo

    The way I met my wife today (Jinsi nilivyokutana na msichana, ambaye ni mke wangu leo)

    Habari zenu. Niwatakie maandalizi mema ya uchaguzi mkuu hiyo siku. Mungu akatupatie viongozi bora. Mada: Niliugua sana na dalili zote ilikuwa ni maralia, ila sikutaka kwenda dispensary kupima kwani naogopa sana kale kasindano ka kutolewa sampuli, ilikuwa ni third yr wakuu nahesabu baso mwaka...
  12. Ushirombo

    Sheria ipite wauza maduka ya madawa wote wavae mask (barakoa)

    Wakuu nimekaa nikatafakari sana, kuwa tabia zetu Watanzania huwa hatuna tabia sana za kwenda hospital hadi mambo yazidi unga, sasa basi ninachokiona hapa maduka ya madawa inaweza kuwa mahali ambapo virus wa corona watakua wanapatikana sana hasa ukizingatia kuwa virusi wenyewe ni airborne, na...
  13. Ushirombo

    Wakuu nimeibiwa laptop 2 kwenye gari

    Habari zenu, jioni hii nilipaki gari maeneo ya africana mbezi beach, wamevunja na kuiba laptop mbili lenovo, na vitu vingine na pesa, nimekuja kwenu kwa yeyote atakaefuatwa kuuziwa naomba kwa msaada wako u nitaarifu Na pia nauliza hivi naweza pata mganga wa jadi atakaeweza kunisaidia kumpata...
  14. Ushirombo

    Mafundi umeme wa gari, seat ya gari langu haisogei mbele

    Wakuu habarini, Nina gari ambayo seat orientions zake ni za umeme, sasa asubuhi niliisogeza sana mbele naijaribu sasa hivi hairudi nyuma. Kwa wenye uelewa naomba msaada nifanye nini au kama fundi yupo nimuone asubuhi kesho. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Ushirombo

    Suluhisho la majitaka kutoka manyumbani na viwandani

    Teknolojia mpya USIHANGAIKE KUCHIMBA MASHIMO KWA AJILI YA CHOO Kwa watu ambao wamejenga maeneo ambayo ya maji mengi (high water table level-HWTL) kila ukichimba mashimo kwa ajili ya majitaka yanajaa maji na hivyo umeshindwa kuyajengea au huna eneo la kutosha kuchimba hayo mashimo au unataka...
  16. Ushirombo

    Naona kama Moshi - Kilimanjaro imesahaulika kuhusu miundombinu

    Wakuu nimefika Moshi jioni hii, kama tunavyojua mikoa mingi unakuta miradi mingi ya ujenzi hasa barabara lakini nimekuta Moshi pako cool hakuna ubize wa construction sana. Mfano hii barabara kuu toka Dar, foleni imeanzia bakery hadi mjini. Barabara imezidiwa kabisa na sioni hata basi masaveya...
  17. Ushirombo

    Nigeria wawajibu wazulu mauaji

    Wakuu huko Nigeria na wenyewe wanajibu mashambulizi.
  18. Ushirombo

    Natafuta incubator

    Wakuu habari Wakati wa nane nane dodoma mwaka huu kulikua na wauzaji wa incubator ndogo ya mayai 8 kama sijakosea na walikua wanauza 80,000 tafadhali kama kuna supplier humu wa hizo incubator au zinazofanana kwa bei naomba nisaidiwe,au kama kuna yeyote anaweza kunielekeza ni wapi nitapata alike...
  19. Ushirombo

    Tumeingia Dodoma pia; Usihangaike kuchimba mashimo kwa ajili ya choo. Tumia hii hutanyonya,haina harufu na inadumu miaka 50

    Tunakuwekea system ambayo ni ndogo na bei rahisi,tunakupa guarantee 10yrs na ni uhakika system inafanya kazi zaidi ya miaka 50. Tumekufikia Dodoma pia baada ya kuwa Dar na Mwanza. Karibuni,ushauri na kuona site yako popote Dodoma ni bureeeeee. Kuna nyumba za mfano ambazo tumeweka maeneo ya...
  20. Ushirombo

    Tumeingia Dodoma:Kwa wanaojenga:Usihangaike kuchimba mashimo kwa ajili ya majitaka

    Tunakuwekea system ambayo ni ndogo na bei rahisi,tunakupa guarantee 10yrs na ni uhakika system inafanya kazi zaidi ya miaka 50,tumekufikia dodoma pia baada ya kiwa Dar na Mwanza. Karibuni,ushauri na kuona site yako popote dodoma ni bureeeeee Kuna nyumba za mfano ambazo tumeweka maeneo ya...
Back
Top Bottom