Search results

  1. Tony Gwanco

    Ajali mbaya Kimara muda huu ikihusisha magari manne

    Fuso lililikuwa linatokea Mbezi mwisho limeacha njia na kugonga magari manne na kuumiza watu kadhaa mpaka sasa bado watu wanatolewa chini ya fuso. Ushauri . Kwa kuwa kuna foleni kubwa unashauriwa kutumia njia nyingine za pembezoni.
  2. Tony Gwanco

    Bella na Ommy Dimpoz, Ni kweli hamjui hili kosa kubwa?

    Wimbo wa mama ni kweli unapendwa sana tena na kila mtu kwa kuwa tu kila mtu anampenda mama yake hii ndio sababu jamii ikaukubali. Tatizo ni pale unaposema 'mama ulinitoa duniani' unaharibu maana pana ya wimbo ni kweli wapo wanawake huwatoa watoto wao duniani baada ya kuwazaa. Kwanini hamsemi...
  3. Tony Gwanco

    Nimeokota Kitambulisho cha Kazi cha Malangu Haule wa EATV

    Nimeokota kitambulisho chake cha kazi eneo la kupaki magari msingwa.075992001
  4. Tony Gwanco

    Kaunataka kuoa/kuolewa na mtu wa tarime pitia hapa

    huu ndio ukweli kama unaswali uliza
  5. Tony Gwanco

    CNN na mambo muhimu matano kuyajua ndani ya Tanzania

    nifurahishwa na habari ya kuitangaza tanzania kuhusu vivutio vitano vya kuona ukiwa tanzania ni habari iliyopewa kipaumbele (headline) tangu jana hongera mh.razaro nyarandu hongera bernad membe hongerw mh.rais kikwete
  6. Tony Gwanco

    Rais Kikwete awaalika Rais Salva Kiir na hasimu wake Riek Machar katika meza ya mazungumzo

    Leo jioni mjini Arusha mahasimu wawili rais S.Kiir na na waziri wake mkuu Machaar watakaa meza moja kwa mara ya kwaza chini ya usuruhishi wa comrad Kinana. Chama SPLA kiliomba msaada wa usuruhishi wa mgogoro wao baada ya kugundua ulikuwa ni mgogoro wa kichama zaidi. Taarifa zinasema kuwa...
  7. Tony Gwanco

    Mji wa Iringa katika mwonekano mzuri

    Nitarudi tena huku nimepapenda
  8. Tony Gwanco

    Msaada mwanangu hataki kulala

    Salaam wana JF. Poleni na majukumu kama kichwa cha uzi kinavyo someka. Nina mtoto mwenye umri wa mwaka na miezi minne hapati usingizi ikifika saa nne za usiku ndio michezo inazidi na anataka kampani mwanzoni tulihisi ni kawaida ila siku zivyosonga anaonekana tabia imekomaa Mimi na wife wote...
  9. Tony Gwanco

    Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) limetangaza maandamano kwenda Ikulu

    magazeti ya leo yamewanukuu viongozi wa BAWACHA wakiapa kuandamana hadi ikulu kwa rais kushinikiza bunge la katiba kuvunjwa hali hii ni baada ya makada wa kiume walio hamasisha maandamano ya kwanza nchi mzima kushindwa kwa asilimia 100 my take.chadema wameamua kutumia huruma za polisi kwa...
  10. Tony Gwanco

    nataji kiwanja eneo cha hekari mbili

    kiwe kama km 2au3 kutoka morogoro road kiwe mbezi lous hadi kimara nahitaji haraka 0752992001
  11. Tony Gwanco

    Hii nguo ya jokate sio

    Inafundisha nini jamii huu u supaster wa wapi huu
  12. Tony Gwanco

    Yoweri Museven afanya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri

    Amama mbabazi amefukuzwa kazi ya boss wake rais Yower Mseveni na hivi punde amemteua Mr.Ruhakana kukumata nafasi hiyo Mbabazi alikuwa barozi wa kudumu wa uganda UN aliteuliwa kushika madaraka hayo Mara baada ya uchaguzi uliopita Wadadisi wa siasa za Uganda wanasema imechangiwa na mbio za...
  13. Tony Gwanco

    Ogopa mchaga mweusi

    Ni ukweli wachaga wangu ni weupe na wazuri wawe wanaume au wanawake Akiwa mweupe na roho yake nyeupe ni raha sana katika maisha .biashara au hata mapenzi Akiwa mweusi na roho yake ni nyeusi hafai mkimbie haraka Hui ndio ukweli kama unabishi jaribu na ulete feedback Note.Mimi sio...
  14. Tony Gwanco

    Nimekutana na Lowassa asubuhi hii, jamaa yupo fiti

    Anapiga mazoezi si mchezo anaamini ili ufikili vema mazoezi ni njia mojawapo
  15. Tony Gwanco

    Tangazo tangazo wana jf

    Mwizi anatafutwa
  16. Tony Gwanco

    wanajeshi watatu wa jwtz wapoteza maisha nchini congo

    ni askari wetu walioko d.r Congo Leo wakiwa katika doria na kupata ajari ya gari r.I .p ndugu zetu chanzo.voice of America muda huu
  17. Tony Gwanco

    Mambo ya kuwatesa form one yaliishia wapi?

    ukipass tu unaanziwa mikwara ukifika tu shuleni kupiga simu chooni hasa ukiwa jeuri utakoma ubishi wasichana mpaka watoe penzi kwa wababe juingia form one kwa miaka hiyo ilikuwa tabu sukuhizi yameisha
  18. Tony Gwanco

    Mambo 10 ambayo usithubutu au kukubali mtoto wako kufanyiwa

    1.usimwadhibu wakati au kabla ya kula 2.usimshitaki kwa mzazi mwenzako .mfano amekosa na baba hayupo et unamwambi nitakusema kwa baba yako 3.mpe moyo kabla ya kufanya mtihani na msifie akifanya vizuri pia mpe hata zawadi kidogo yenye kimuwekea kumbukumbu. 4.akishindwa kuwa upande wa...
  19. Tony Gwanco

    Morogoro road: Gari la mafuta lapasuka koki maeneo ya Mbezi

    ni gari la mafuta baada ya kufunguka koki ya mafuta ilianzia kimwaga mafuta Kimara Suka na waligundua wakiwa kara Temboni. kama unatoka mjini nakuomba utafute njia mbadala tony gwanco .suka kimara
  20. Tony Gwanco

    George H.W.Bush ametimiza miaka 90 leo hii

    Askali huyu wa zamani wa jeshi la Marekani kwenye jeshi la anga ametimiza miaka 90 leo huku akiwa na afya nzuri .miaka mingi hii bandugu si mchezo.
Back
Top Bottom