Search results

  1. Y

    Je wajua kuwa unaweza kupima ujauzito kwa kutumia dawa ya meno ?

    Wanawake baadhi hawapendi kununua “pregnancy test” kwenye maduka ya dawa, wengine pia mara nyingine hawamudu kununua kipimo hicho, na wengine wanapenda tu kujihakikisha vipimo vyao hasa kwa kutumia njia za kawaida nyumbani. Kutumia dawa ya meno kwa ajili ya kupima ujauzito inaonekana kuwa njia...
  2. Y

    TUNASHOOT HARUSI, SENDOFF KITCHEN PARY

    JAMANI MAISHA YENYEWE NDO HAYA HAYA mnao oana msitifanyie hivi,,, kumbukumbu muhimu sana sisi kama vijana tuna kampuni yetu inayo jihusisha na sherehe mbalimbali kwa bei inayoendana na kazi 065551912
  3. Y

    Kama wewe ni wa kiume na hujawahi tumia hii, basi we bado mtoto

    kuna vile vimsemo viwili vya wanaume huenda kuvitumia saanaa NTAKOJOA NJE NAINGIZA KICHWA TUU Hii misemo hua inawacost sana wanawake
  4. Y

    MIMBA NA NDOA ZISIZO TARAJIWA.......

    MIMBA NA NDOA ZISIZO TARAJIWA....... Habari... leo naomba tuangazie hili swala japo sio kwa undani lakini litaweza kukufungua ama kukufikisha pale unapotaka... ndoa ni kitu cha kuheshimika kwa dini zote na hata wale wasio na dini ndio zinweza kua na maana kubwa kwenye maisha yao.. kuna baadhi...
  5. Y

    Smartphone zinadumaza mapenzi

    Kuna kale kamfumo ka kutumia picha za uchi hii kwa kiasi kikubwa imepoteza thamani ya tendo la ndoa kwa vijana ambao hamjaoa/kuolewa. Sijawahi jua kametoka wapi alafu haka kamchezo.
  6. Y

    a bad excuse is better than nön at all

    >> Msamaha ni neno dogo sana lakini linabeba uzito zaidi ya tani mia moja ......... kusema samahni kunaweza kukuon gezea thamani kubwa isiyo elezeke... samaahani yaweza rudisha mahusiano yaliyo potea kwa muda mrefu saana... samahani inaweza kuunganisha wewe na wale wanao kuchukia.... wengi...
  7. Y

    Wanawake ni watu shupavu, wanaweza fanya mengi ambayo wanaume anafanya

    mwanamke ni mtu mmoja na NUSU.... women are strong more than.. wanaweza hifadhi vitu for years.. they can do what man do
  8. Y

    Utampata akupendae kwa dhati

    kuna muda unaweza ona kama kwenye mahusiano unaonewa lakini hapana, mahusiano mpaka yasimame huchuku muda mwingi sana, ni sawa na binadamu au mnyama kunenepa unaweza konda kwa wiki moja lakini kunenepa itakuchuka muda kidogo,, mahusiano ni kitu kisicho hitaji hasira bali werevu wako ndio nguzo...
  9. Y

    Mahusiano na hasira

    Kuna muda unaweza ona kama kwenye mahusiano unaonewa lakini hapana, mahusiano mpaka yasimame huchuku muda mwingi sana, ni sawa na binadamu au mnyama kunenepa unaweza konda kwa wiki moja lakini kunenepa itakuchuka muda kidogo. Mahusiano ni kitu kisicho hitaji hasira bali werevu wako ndio nguzo...
  10. Y

    Caring na kujipendekeza

    Caring na kujipedekeza ni mstari mdogo sana unaotofautisha mtu anaejipendekeza hufanya vile kukupa attention na mtu huyo hutaka kitu toka kwako mtu anaekujali. Ni yule anaejua thamani yako na unaumuhimu gani kwake unaweza mjali akaona unajipendekeza, unaweza jipendekeza akaona kama unamletea...
  11. Y

    Kwanini wanaume hupenda kuangalia makalio?

    Kila siku najuliza sijui makalio yana uhusiano gani na macho utamkuta mtu yupo na mkewe nae anatako kubwa tu ila kakipita kabinti kengine kana kijikalio mtu lizima ageuke upo kwenye daladala mdada kakatisha lizima ugeuke. Naombeni kujua uhusiano kati ya makalio na macho.
  12. Y

    Mh. Makonda anajisafisha na kashfa ya kufeli kwa kidato cha nne

    Haya mambo yote yanayoendelea Dar yameletwa na wanafunzi wa kidato cha nne mwaka jana 2016 kufeli katika zile top ten sijaona Dar kuwepo. Mh. anataka kusafisha mji kwanini asianze na waliofeli? Atafute sababu haoni kama angetatua elimu ingekua bora zaidi then aje na hizi ishu za madawa siju...
  13. Y

    Udukuzi Wa Marekani

    Inasemekana Kuwa Udukuzi Wa Marekani Upo Hadi Ikulu Ya Tz Hv Kuna Umuhimu Gani Wa Kuwa Na Urafiki Mataifa Yanayo Wachunguza Ki Siri?
Back
Top Bottom