Search results

  1. T

    Wanafunzi wa kike watumia mtandao kujiuza

    Mwandishi baada ya kuwasiliana na hao mabiti haujamlizia ulifanikwa? Au na wewe ni walewale wateja fake?
  2. T

    POST Walimu Ajira mya 2013 mpaka mwezi APRIL.

    Hawana utu na utashi kwa kuwaelimisha wa Tz kwani wao si wananafasi tayari na watoto wao wanasoma wapendako. Ila yana mwisho wake hayo. Walimu wapo mtaani na kunashule hazina walimu. Nenda Mpanda ndogo, Namanyere, Mwese, Kasulu, Muleba, Ngara, Geita, Buziku, Butundwe, N'nkome, Magu, Shirati...
  3. T

    ajira za walimu wapya 2013

    Serikali ya mshua Fastjet kichwa cha -----. Ahadi bila utekelezaji.
  4. T

    Mwanza: Nyama zakosa wanunuzi machinjioni!

    Ole wao wafanyao ibada za kuchinja. Nyama hiyo haifai kwa kuliwa na mwanadamu maana imesha tolewa sadaka kwa mashetani. Si wamechinja wao wale sasa.
  5. T

    Kikwete na viwanda vya uongo - Mwanahalisi, gas Mtwara etc

    Kiwanda kingine ni reli toka Arusha hadi kwa ndugu zake Warioba.
  6. T

    Waalimu wanasabisha wenyewe wadharauliwe!!

    Mitaji. Na ukiangalia sana walio nafasi za juu kwene serikali na mashirika ni walimu tena walio jiendeleza. Hivyo huku kwene ajira ni starter tu.
  7. T

    Mishahara ya january 2013 kunani?

    Tatizo lenu walimu mkiambiwa kugoma hamtaki. Na hata mkigoma inakuwa wakati wa likizo. Gomeni wakati wa mitihani ya kidato cha 4. Mbona madaktari waligoma tibu wagonjwa? Mtapata vi mishahara kiduchu na kwa kuchelewa hadi basi.
  8. T

    Lulu (Elizabeth Michael) kuachiwa kwa dhamana

    Eti alionekana viwanja vya mkuu wa kaya ndo wakagombana na kanumba kuwa alifuata nini kule. Kalikurupukia kuliwa wacha mapredeshee wazidi kagonga.
  9. T

    CCM na Kinana wana hisa kwenye Makampuni yanayochimba Mafuta na Gesi Mtwara

    Kinana angekuwa chadema nafikiri ccm ingepata pa kupumulia kuwa sio raia ila kwa vile yuko kwao basi ni raia. Shame of you ccm magamba.
  10. T

    Kulikoni bunge haliko live?

    Mama kilaza kiongozi wa mjengo yuko juu kama chuma cha pua.
  11. T

    Unajua namna ya kudumu muda mrefu ktk mechi?...

    Jamani mie huwa nachelewa sana yani goli la kwanza ni dk 30. Hapo nakuwa nimesha fanya romance ya kutosha huku mwenza wangu njia ikiwa inateleza tayari kwa kupokea. Mie nafikiri ni jinsi ya kutumia akili. Ukiona inataka kutoka vuta kumbukumbu ya jambo lilo kuogopesha hapo haitoki kwani akili...
  12. T

    Picha: Rais Kikwete arejea jijini Dar es Salaam

    Mwacheni Dr wangu sijui wamitishamba vile maana hata Loliondo alikwenda. Au ni Dr kwa kusafiri sana. Welcome home Dr Dhaifu a.k.a Fastjet.
  13. T

    Serikali kutumia nguvu ikibidi suala la gesi Mtwara

    Mr Dhaifu kesha rejea ngoja tumsikie gesi itakwenda kwa Riz1 au la!
  14. T

    Serikali na ajira za walim 2013

    Kwani tar 31 mbali? Itafika na watajuta huo uongo wao. Na hili ndo sababu hata walimu hawafundishi kwa moyo na kufelisha huku watoto wao wakijitahidi waende shule nzuri. Serikali iamke na ahadi zake sasa.
  15. T

    Ajira za walimu za yeyuka

    Ajira zipo ila gesi imekwamisha mipango hiyo.
  16. T

    Kilewo: Rais Kikwete anastahili kuingia kwenye kitabu cha Guinness , Kwa kuweka Rekodi Duniani

    IQ yako ndogo sana hebu kuwa mtu na sio kama dhaifu.
  17. T

    Swali;yanayotokea nchini ni mwanzo wa mabadiliko au upepo upitao?

    Hebu mwulize Mr dhaifu kama ni upepo.
  18. T

    Waziri Wassira agonga mwamba sakata la uchinjaji nyama Mwanza!

    Tena mie nitakuwa nanyonga na msije kula kabisa. Waganga wa kienyeji waislamu ndo wengi na kuchinja mwataka. HAPANA.
  19. T

    Suluhisho gesi ya Mtwara hili hapa... Mradi lazima usitishwe!

    Masikini hafilisiki. Kwani tiyari ni masiki hivyo wao kugomea haina athari kwao.
Back
Top Bottom