Search results

  1. W

    Je twaweza shinda vita ya ukombozi wa Tanzania dhidi ya mkoloni mweusi wa ndani bila uwepo wa Mungu?

    Ndugu watanzania wenzangu haitaji elimu ya chuo kikuu kusema serikali ya CCM imeshindwa kuongoza nchi ya Tanzania ambayo imejaliwa utajiri mkubwa kama vile madini,mbuga za wanyama,misitu,bahari,maziwa ,mito,mabwawa,mabonde,ardhi yenye rutuba na watu wenye vipaji vya kila aina swali muhimu la...
  2. W

    Mufindi na umaskini wa kutupwa

    Awali ya yote namshukuru mungu kwa kunijalia afya njema na kunipa fursa ya kupata elimu ambayo bila shaka ninalo deni kwa wananchi wa Mufindi,mimi nimezaliwa kijiji cha kihanga,wilaya mufindi,mkoa wa Iringa leo nitagusia kwa ufupi mambo matatu ambayo yapo mufindi lakini bado watu wake ni...
  3. W

    Manispaa ya Tabora tabaani

    Ndugu watanzania wenzangu kwa muda mrefu nimefanya utafiti kuhusu uendeshaji wa halmashauri zetu hasa kupitia manispaa ya Tabora ambayo ina jumla ya kata ishirini na tano japo kutokana upeo mdogo wa madiwani wetu wanampango wa kugawa kata zaidi ya tano lakini kata zilizpo kwa majina ni kama...
  4. W

    Kanda ya Magharibi makao makuu CHADEMA mmetukwaza

    Watu tumekuwa na hamasa kubwa tangu utaratibu wa uzinduzi wa kanda ya magharibi ambayo inaundwa na mikoa ya TABORA,KIGOMA,RUKWA NA KATAVI ulipotangazwa lakini leo ni mara ya pili kuhahirisha mkutano wa uzinduzi ndiyo maana tumekwazika sana kwa athari zake ni kama zifuatazo(1)Viongozi wanapewa...
  5. W

    Kanda ya Magharibi makao makuu CHADEMA mmetukwaza

    Watu tumekuwa na hamasa kubwa tangu utaratibu wa uzinduzi wa kanda ya magharibi ambayo inaundwa na mikoa ya TABORA,KIGOMA,RUKWA NA KATAVI ulipotangazwa lakini leo ni mara ya pili kuhahirisha mkutano wa uzinduzi ndiyo maana tumekwazika sana kwa athari zake ni kama zifuatazo (1)Viongozi wanapewa...
  6. W

    Uzinduzi wa M4C kanda ya Magharibi yaiva...

    Nimeona ni busara kujibu kwani kuna mwana jf haelewi tofauti ya ufunguzi wa kanda na mikutano mingine ambayo imewahi kufanywa na CHADEMA kwa ufupi ni kwamba huu ni mkakati mpya ambao tunalenga kumalizia kazi ya kumzika marehemu CCM
  7. W

    Taifa makini haliwezi kupuuz Elimu

    Kwa masikitiko makubwa Taifa letu la Tanzania kwa makusudi tumeamua kuwaachia viongozi wahuni na wapuuzi wa serikali ya CCM wachezee akili za watu, ndugu watanzania wenzangu naomba tufanye yafuatayo: (1)Serikali ilete mitaala yote ya elimu ili tuhakiki uhalali wake. (2)Mfumo ambao inatumia...
  8. W

    Lema ailiza tena CCM: Mjumbe wa kamati kuu Wilaya na kamati yake yote wahamia CHADEMA

    Hongera sana watanzania ambao mmetambua kuwa mmeonewa vya kutosha na sasa mliunge mkono jeshi la ukombozi ili tuiondoshe ccm.
  9. W

    Uwanja wa Nyamagana~ Mwanza CCM sasa wanafanya mkutano mkubwa sana wa kitaifa..

    wadau tupeni update na namba za magari yanayosomba watu kutoka vijijini pliz maana magamba yanachezea kodi za walimu
Back
Top Bottom