Search results

  1. M

    Uchaguzi 2020 Mbeya: Joseph Mbilinyi(Sugu) akamatwa na Polisi wakati akichukua fomu ya Uteuzi

    Ooooh, uchaguzi utakuwa huru na haki... woga tu!
  2. M

    Namba ya tanesco

    Tanesco wana matatizo gani Sinza, Mbona umeme unakatika siku zote? Sinza maeneo ya Saroi Hotel (Karibu na Sinza Deluxe) Chimwaga Road. Hakika wananchi wanaoishi maeneo haya wanateseka kwakweli. Sijui ni mgao ama tatizo ni nini? Toka tarehe Moja mwezi wa pili 2018 umeme haujawahi kuwaka siku nzima.
  3. M

    Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

    Dose yake ipoje ya hivyo vidonge?
  4. M

    Dawa za Kulevya: Yusufu Manji afikishwa Mahakamani Kisutu, aachiwa kwa dhamana

    ...hivi wanapozungumzia utumiaji wa dawa za kulevya hupunguza nguvu kazi ya Taifa, wana wajumlisha watu aina ya Manji pia?
  5. M

    Nini tafsiri ya serikali kusambaza tani milioni 1.5 za chakula?

    imeweka mpira kwapani...
  6. M

    Mbunge wa Kilombero(CHADEMA) Mh. Lijualikali, afungwa jela miezi sita

    May be wanatest zali...kuona kama wanaweza fanya hivyo kwa yule wa Arusha.
  7. M

    Mbunge wa Kilombero(CHADEMA) Mh. Lijualikali, afungwa jela miezi sita

    Alishawahi kufungwa mbunge wa Songea mjini enzi hizo kwa kukutwa na meno ya tembo...
  8. M

    Mtunza bustani ashtakiwa kwa kumtusi Magufuli, kwamba anaendesha nchi kinyume na maumbile

    Labda alimaanisha... Kuminywa kwa uhuru wa habari na kujieleza Cyber crime Law Matumizi yasiyoidhinishwa na Bunge Hali ngumu ya maisha nk
  9. M

    Kupotea kwa Ben Saanane: Hoja za wananchi, kinachoendelea na maoni ya Waziri Mwigulu

    Binafsi naamini maneno uliyoyasema kiongozi. Kwa wananchi wa Tanzania Ben ni Msema ukweli, ni mtetezi wa haki na mpigania maslahi ya Nchi. Lililomtokea, katika hali yeyote ni rahisi kuhusisha na msimamo wake usioyumba dhidi ya maovu. Na kama unayosema ni kweli, basi tumwachie Mungu.
  10. M

    Ajabu ya karne, Wakenya wamuweka Magufuli wetu juu ya Raisi wao!

    Tusizungumzie mambo madogo madogo. Tuzungumzie wale watoto waliokosa mikopo ya kuingia na kusoma vyuo vikuu, watasaidiwaje ilhali sifa wanazo?
  11. M

    KUTOKA VIKINDU: Polisi wapambana na majambazi, askari mmoja adaiwa kuuawa

    Ili kuwazima watu wengine ambao wangeleta fyokofyoko, hiyo operation ilipaswa kuchukua muda usiozidi dk.30 tu. Zaidi ya hapo hayo ni majadiliano....
  12. M

    DAR: Jenerali Ulimwengu apata ajali, alazwa Muhimbili

    Pole sana Generali...Nakuombea uponyaji wa haraka.
  13. M

    Kigogo wa Wema anaswa akiuza Mishikaki

    Usisite kuniambia na mimi...sawa eeeh?
  14. M

    Yaliyojiri: Uchaguzi wa Marudio visiwani Zanzibar - Machi 20, 2016

    Uchochezi wa Zanzibar unafanyika leo...
  15. M

    Smarttz App

    Huyu jamaa ni mwizi, na hii application ni ya utapeli. Nawashangaa Ridhiwan Kikwete na Mbunge wa Mbeya Mjini Mr. Sugu, kumsifia mgunduzi wa application hii, wakati wakijua ni ya kitapeli na inatumika kulaghai watu ili kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu. Shame on Sugu na Ridhiwan...
  16. M

    Magufuli soma vitabu hivi vitakusaidia

    Discipline ya kusoma vitabu ni mbovu kwa waafrika...ndio maana hatujui vitu tunabaki kulalamika tu. Tusome!! Na muheshimiwa pia asome...cheo chake ni dhamana yetu...
  17. M

    Serikali yatangaza Operesheni Kamata Makahaba na wateja wao

    Sasa huyu waziri mbona hivi? Hivi hajui wakati mwingine mtu unashikwa hadi unatamani kubaka kuku? Ngoja vitendo vya uharamia wa ubakaji viongozeke, ndipo watakapojua kuwa biashara hii ilikuwepo kabla wao hawajakuwepo. Wao badala ya kuelimisha watu watumie kinga...wanaleta vitisho. Na huenda...
  18. M

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    I just love Jamii Forums... Big up Viongozi, na Hongereni Nyote kwa kutimiza Miaka kumi.
  19. M

    INTELIJENSIA: Ziara ya Waziri Mkuu Bandarini

    Na kuna ile barabara inayopaswa kutembelewa na mabasi yaendayo kasi...Hivi tarehe 10 Januari 2016, haijafika tu?
  20. M

    VIDEO: Waziri Muhongo atajwa kuvujisha ziara ya Waziri Mkuu kwa meseji

    Muhongo anavumiliwa tu..lakini hatoshi nafasi ile..he has to go. Ana madudu mengi tu..uwiiiii kanikumbusha machungu ya Escrow...
Back
Top Bottom