Search results

  1. J

    Tanzia: Shekh Nassor Bachu amefariki!

    bwna ametoa na bw ametwa roho ya marehemu ilazwe mahali pema peponi.amina
  2. J

    Wahisani wamegoma kutoa misaada

    Tanzania ni nchi iliyojitosheleza ni aibu kuona nchi hi inategemea wahisani.ebu tujitahidi kutumia lasilimali zetu kama ardhi,gesi,mafuta na misitu ktk kuendesha nchi yetu tukianza na mradi nafuu hadi ghari taratibu kwani hata MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA
  3. J

    Job Ndugai na Tundu Lissu uso kwa uso kwenye 'Kpima joto' ITV

    bw.ndungai anasadikiwa kuwa na matatizo ya akili kutokana na majibu yake mabovu yasiyo na ushawishi wa kifikra.
  4. J

    Wanaoishi Masaki Vs Manzese, Mbagala n.k

    baba nani ucxhau kuja na utumbo wa kuku
  5. J

    Mlinzi kipofu

    kwli bure aghr mchz katolewa silld xaxa
  6. J

    Mtoto wa mfalme

    Mchz nux
  7. J

    Zawadi kwa mama

    nothing more than respecting her
  8. J

    Waziri Wassira agonga mwamba sakata la uchinjaji nyama Mwanza!

    hapo ndipo tutakapoona hasara za kuwa na mawaziri ambao akili zao zimeexpire. BABA WA TAIFA MWENYEWE ALISHAXEMA UDINI NA UKABILA NI WAPINZANI WA AMANI NA MAENDELEO KTK NCHI.Kwa nn yeye anaendelea kuukumbatia udini na kuendlea kugawanya nchi ktk vpnde vya dini ivyo
  9. J

    Kikwete Sikiliza.... mawazo, mashauri, maoni, na manung'uniko kwa utawala wa CCM

    nn wasiwasi kuwa we2 n 1 kati ya watu wanaofaidi vipande vikubwa vya nchi hi kuliko haki yao na kuwanyima kabisa wananchi wengine hasa waliopo vijijini
  10. J

    Kikwete Sikiliza.... mawazo, mashauri, maoni, na manung'uniko kwa utawala wa CCM

    You are right na kama yeye ameshindwa kujirekebisha bas wananchi tuanze kumrekebisha ktk katiba na badae wenzake ktk uchaguy wa 2015
  11. J

    Nukuu ya Mwana-Mtwara

    hao jama wanachosha ndugu.picha wanayoleta hapo n kwamba wameshndwa kazi waliyopewa.kwa iyo wananchi kazi kwenu 2015.tshirt,kofia,kanga,chumvi na elfu tatu za mwaka 2010 vimeisha ila maisha bado magumu tufumbuke wtz
  12. J

    sheria ya mirathi msaada please

    even myself i dont lyk 2 believe on what have happened although its past
  13. J

    sheria ya mirathi msaada please

    Thats the situation even myself i wonder i ddnt espect such situation to occur.
  14. J

    sheria ya mirathi msaada please

    nashkuru xana kwa msada wenu tatizo ni kwamba baba yetu alifariki na bada ya hapo wakaja watu wa2 1 wa kiume na mwingine wa kike 2kaambiwa kuwa wao n watoto wa baba ingawa both of them are above age of18 yrs na m1 wa kike ana watoto wa2.Tulipokwenda mahakamani hakimu wa kwanza wa mahakama ya...
  15. J

    sheria ya mirathi msaada please

    Pale hakuna wosia lakini mali zote kama nyumba alishzgawa na tena kuthibitisha ilo alibadilisha hadi hati za nyumba.cha ajabu mahakamani walikataa kuwa hakuwa sahihi kufanya ivyo na wakatengua mgawo huo
  16. J

    Wachaga wazidiana ujanja.

    Masawe n jeneous
Back
Top Bottom