Search results

  1. F

    C

    is 7 7 e hmm 7 I .it cm uje x hm8m.
  2. F

    Kilimanjaro na Arusha kina dada karibuni pm

    Natafuta rafiki wa kike anayejitambua,umri miaka 20 mpaka 32. Mimi nina miaka 33,nimeajiriwa na naendesha maisha yangu kawaida. Urafiki huu utatupeleka kwenye mahusiano ya kudumu pale tutakaporidhiana. Karibuni pm.
  3. F

    Looking for an international Exposure

    I'm a Tanzanian man,35yrs old,i have worked in Tanzania with a local company as a junior manager for 6years. I have a good experience on irrigation and mechanisation. Am looking for chances outside Tanzania that will expose me to the world. am good in building the working team. whoever is...
  4. F

    Engine ya Subaru Forester TA-SG5 inahitajika

    Wakuu, Nahitaji Engine ya Subaru Forester TA-SG5,used au mpya. Mwenye nayo au kujua popote napoweza kupata naomba tuwasiliane inbox. Asante
  5. F

    Miaka miwili ya mradi wa mwendo kasi, tunalo la kujifunza?

    Saa 6.40mchana, kituo cha gerezani,kijana mmoja anaonekana akikata tiketi na kwenda kusubiri basi la Kimara liingie. Mabasi mengi yamepaki ilihali abiria wengi wakiwa wamesimama wakisubiri. Hawana wa kumuuliza,wamekata tamaa na wananung’unika chini chini. Basi linatokea saa saba na nusu,tayari...
  6. F

    S8 plus au note 8 inahitajika

    WanaJF,nahitaji S8 plus kwa 1.1milion au Note 8 kwa 1.6milioni original samsung product mwenye nayo tuwasiliane inbox.
  7. F

    Rais mstaafu Benjamin W.Mkapa

    Wadau,naomba msaada wa wa kupatiwa mawasiliano ya Raisi mtaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Benjamin W.Mkapa,nina ujumbe wake muhimu sana. Yaweza kuwa anuani ya Posta,barua pepe au simu yake. Asanteni
  8. F

    Diploma ya pharmacy

    Kwa matokea haya kidato cha nne mwaka jana aweza kusoma diploma ya pharmacy?Physics-D,Chemistry-D,Biology-C,Basic Mathematics-B plus,History/kiswahili-C,Geography/English/Civics-D
  9. F

    Lara 1

    ..uko wapi..Ray C
  10. F

    Siku 14 ndani ya kanda ya ziwa....

    Siku 14 kanda ya Ziwa! Mwanza: hoteli na chakula safi,gharama nafuu,mazingira yanavutia,machinga makoroboi bado wapo....,daladala sumbufu,vituo vya foleni ya kupakia zaidi ya vitatu(kishiri-buhongwa) mamlaka husika fuatilieni;chato stendi yenu aibu,magufuli uko wapi! Muleba stand,choo kichafu...
  11. F

    Njia ya mafanikio kimaisha ni ipi?

    Habarini ndugu zangu! Mimi ni mwajiliwa kampuni x,kipato changu kwa mwezi ni 1.5m,nina mke na mtoto! Katika maisha kuna plan tofauti A-Nyumba,gari,vitegauchumi; B-Vitega uchumi,nyumba,gari(au gari,nyumba) Niliamua kufuata plan B,nikawekeza kwenye kilimo na ufugaji ili kuzalisha milioni 30...
  12. F

    Natafuta s4 mini/s3 mini used!

    Mwenye nayo/anayejua zinapopatikana naomba tuwasiliane kwa pm! asanteni
  13. F

    Mashine ya umeme kwa ajili ya kusaga na kukoboa

    Habarini wana Jf! Nafikiria kununua machine ya kusaga na kukoboa ili kuweza kupata pumba kwa ajili ya mradi wa ngurue utakaoanza baadae. Machine hizo zitafungwa Chunya vijijini(Mbeya). Wazo ni kukoboa bure kama mtu atakubali kuacha pumba na kusaga kwa pesa. Wenye uzoefu,gharama ya mota(Mbili)...
  14. F

    Natafuta kazi-Agricultural Engineer!

    Nina uzoefu wa miaka miwili nafasi ya meneja msaidizi wa kitengo katika kampuni kubwa ya sukari tanzania,nahitaji changamoto mpya za kikazi,watu wapya na mazingira mapya! naweza maji na umwagiliaji,mechanization na any engineering related job! nipm!!
  15. F

    Kijana 22yrs,kazalisha wanafunzi watano,afanyweje!

    Kijana miaka 22 wa Lupa wilayani Chunya aliyemaliza form 4 2010 kazalisha wanafunzi watano akiwemo mdogo wangu,jamani afanyweje huyu mtu,sheria inasemaje??
  16. F

    Ulimaji wa vitunguu swaumu!

    Wadau nisaidieni a,b,c za uzalishaji wa vitunguu swaumu,vinalimwaje,na majira yepi na inachukua muda gani mpaka kuvuna? mbegu zake zinapatikana wapi kwa moshi! asanteni!
Back
Top Bottom