Wanajamvi mwenye kufahamu kitabu au jarida la historia au lugha ya Kiswahili linalozungumza juu ya asili ya shikamoo, atupie jina la kitabu na mwandishi.
Wanajamvi habari zenu! Kwa wale eanaojua kipimbwe, lugha inayozungumzwa wilaya ya Mpanda sehem iitwayo Mpimbwe atokako Mizengo Pinda. Ninataka kukusanya msamiati wa vyakula vya aina zote vinavyoliwa na wapimbwe. Lengo baadae nitengeneze kamusi ya kipimbwe_kiswhili, lakini kwa msamiati wa...
Ndugu wana Jf naomba kujuzwa juu ya hili, unakuta kunamjumbe walati anachangia hoja katika tread mwisho anasema nitaku 'PM' mim binafs sielewi huwa wanamaanisha nin...tafadhali naomba kujulishwa
Bigbro nashukuru kwa ushaur wako, ni kweli kabisa hata mim blood group langu ni o japo sijui kama ni o+ au vinginevyo, jambo nalotaka unisaidie pia mkuu ni wap tampata Dr wa alergy?
Kaka nashukuru kwa ushauri, lakini katika hatua zangu kabisa za matibabu kabla ya kwenda hospitali nilikuwa natumia mafuta ya brake tena kwa kupaka mwili mzima coz nilikuwa naletewa na kaka zangu, yalikuwa yananisaidia kwa muda zinarudi tena, possibly kama ulivyosema itakuwa aleji....lakin wapi...
Wanajamvi habari zenu? Kwa takribani miaka 15 ninasumbuliwa na mba mwilini, tiba hospitali nimepata mara kadhaa ikiwemo kupewa dawa ya mba ile ya maji ya kijani, dawa ya tube ya kupaka na vidonge vya kumeza, hivi mara ya mwisho oct 2012 nilienda hospitali nikapewa tube ya kupaka na nikaambiwa...
Yan wewe daraja la kuwa mjinga umevuka na sasa uko katika daraja la upumbavu kabisa...shenzi wewe mvivu wa kufikiri, yani kama ungekuwa kuku basi mawazo yako hayapenyi zaidi ya kufikilia pumba unazopewa. Nan kakwambia kuna combntion ngumu? Na nan kakwambia ukisoma comb za sayans utakujasoma...
Kijana unakera sio siri..hata kama ni ndoto bac hayo ni maluweluwe, kuomba ushauli ni facult gani usome kama ulisoma hkl si dhambi, lakn unafkia hatua ya kupanga matokeo wakati hujui hata mtihan utakujaje? Baba ako ndo katunga? We unadhan B zinakuja kiholela namna hiyo? Embu subir matokeo kwanza...
Acha ujinga wewe ualim sio dampo kama unavyofkir...unadhan wote tuliopo kwenyeualim tuna 3 au 4? Mi binafs nina 1 o-level na 1 A-level lakn npo kwenyeprofsn hii...badili mtazamo na usiwe mvivu wa kufikir.
Ninamashaka na kama unakijua ulicho kisema, kijana maendeleo yoyote yale hutokea kwa hatua moja baada ya nyingine na pia huitaji muda, kijilinganisha wewe na baadhi ya nchi za ulaya kama Uingereza ni sawa na kuruka hatua ya makuz na ustarabikaji, kumbuka kwamba mataifa ya ulaya ndio yalikuwa...
world with no marals is likely putting it to an end, we are rational beings capable to think and decide our destiny not like animals does, let the world not be led by money and irretional people,lets decide as people who are to live in the flesh of generation to come.....honestly gay marriage is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.