Search results

  1. T

    Mfumo wa gpa kutumika kuchakata matokeo ya kidato cha nne 2014 na kidato cha sita 2015

    Mimi naona wana JF wengi wanaochangia humu siyo wadau wa Elimu! Nasema hivyo kwa sababu mabadiliko haya yalishatangazwa zaidi ya miaka miwili iliyopita sasa, na Wakuu wa shule zote walishapewa barua na vijitabu vya kuonesha mwongozo wa kutunuku kuanzia mtihani wa O-level 2014 na kuendelea kwa...
  2. T

    Freeman Mbowe ameliweka rehani jimbo lake la uchaguzi la Hai-Kilimanjaro

    Mleta mada sijakuelewa, ebu weka takwimu kama hizi za Vijiji na Mitaa/Halimashauri kwa mwaka 2009 ambapo mwaka uliofuata 2010 Mbowe alishinda. Mwaka 2009 kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitata hali ilikuwaje? Ebu wasilisha data hizo ili ku-justfy hoja yako!
  3. T

    Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini ?

    Wewe dogo umewahi kuona lini, mtihani umefanyika mwezi wa 11 halafu unaanza kuuliza matokeo mwezi wa 12? Tulia, subiri vipimo vya Dokta Msonde. Kama ni Komputa, nenda ukasome salama!
  4. T

    Nassari kortini kwa kuchoma bendera ya CCM

    Siku watanzania wote watakapopata akili ya kujitegemea (kujua mema na mabaya), Mungu atarudi wiki hiyohiyo! Inashangaza sana hata huyo Hakimu anayepoteza muda wake kushughulikia suala la kesi ya Bendera (Kaniki) ya CCM na kutoulizia wizi wa fedha ambazo zingeweza kusaidia hata ndugu yake kupata...
  5. T

    UKAWA tunahitaji kusherehekea ushindi uwanja wa taifa - dsm

    Wewe Lizaboni (Tezi Dume), unafuatilia matokeo ya chaguzi za marudio kweli? Unajua kilichotokea kwenye Ofisi zenu za Chukua Chako Mapema (CCM) mkoani Iringa? Tafakari, Chukua hatua!
  6. T

    UKAWA tunahitaji kusherehekea ushindi uwanja wa taifa - dsm

    Nadhani ni mapema sana kuita Mkutano Mkuu sasa hivi! Utakuwa na maana zaidi kama utafanyika baada ya marudio ya uchaguzi kukamilika (sehemu zilizoahirishiwa uchaguzi). Vinginevyo hakutakuwa na tofauti kati ya UKAWA na Nape aka MC (Msema Chochote).
  7. T

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Hapa Tukuyu, Mtaa wa Chuo cha Ualimu Mgombea wa CCM ameshinda kwa kura 980 dhidi ya kur 78 za mgombea wa CHADEMA.
  8. T

    PICHA: Tukio la DR Hamis Kiwangala alivyo tiwa mbaroni huko NZEGA

    :behindsofa:Imekula kwake! Mbunge sahihi katika jimbo hilo alitakiwa kuwa "Mr Mashili" wakamfanyia mizengwe kwenye kura za maoni. atalijua jiji.
  9. T

    Hawa ndiyo wenye CCM, wengine endeleeni kupiga domo!

    Ukitaka kumtawala maskini hakikisha hapati elimu ya kutosha, hapati cha kula cha kutosha, hana hela kwa miezi 12 kwa mwaka. Ila awe na karedio ka-band 2. Ikiwezekana kawe na uwezo wa kushika RTD, Radio Free Africa na Uhuru FM. Siku ya uchaguzi mletee 5000/=, Fulana na Kofia zenye picha ya...
  10. T

    Sijawahi kufikiria kuwa nina MAYOR kama huyu

    :peep:Kamekunywa viroba vingi saaaana wakati kanasoma Jitegemee Sekondari! Kaacheni kamalizie Umeya wake kwa Matumaini kiduchu!
  11. T

    Diwani wa CCM - Nduli Iringa aliyemtishia maisha Mh. Msigwa afariki dunia ghafla

    :llama:Akalale pasipo pema Jehanamu, Amen!
  12. T

    Diwani wa CCM - Nduli Iringa aliyemtishia maisha Mh. Msigwa afariki dunia ghafla

    :llama:Hiyo imekaa vizuri, ili liwe fundisho kwa Magamba yote!
  13. T

    Wananchi wa Kawe walia na upinzani

    Mtoa mada alitegemea Mbunge Mdee awe anagawa; Kofia, Kanga, Chumvi, Gongo na Mataputapu kama wanavyofanya Magamba wakati wa uchaguzi kwa imani kwamba wananchi ni mazezeta watagawana Sh. 5000/= familia nzima kwa miaka mitano! Watu sasa wanafahamu tofauti kati ya Unga na Bange, unapoteza muda...
  14. T

    Tafadhali soma hapa!!!

    :llama:Dogo Mtihani wa Kidato cha Pili hautolewi wala kusimamiwa na NECTA, ni Mtihani wa Kanda za ukaguzi chini ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Tofautisha kati ya Gongo na Konyagi!
  15. T

    Kufutiwa matokeo

    :peep:Dogo Baraza la Mitihani hawana mamulaka ya kisheria kuchukua hatua dhidi ya mwalimu/waalimu. Mwenye mamulaka ni mwajiri wa Waalimu ambaye ni Katibu Mkuu Wizara ya Elimu au TAMISEMI.
  16. T

    Images: Pres Barack Obama in Senegal

    :llama:Naamini atakapofika hapa hakuna atakayeruhusiwa kupiga picha maana vibaka wamezidi mno Bongo!
  17. T

    CCM yazoa viti vingi vya udiwani

    :llama:Taarifa zilizopo mpaka saa sita usiku wa kuamukia leo ni kama ifuatavyo: Chadema wameshinda katika kata zifuatazo; Nyamulukano Lugata Iyela Bashnet Dongobeshi Iseke Ifakara CCM wameshinda katika kata zifuatazo Genge Minepa Makuyuni Dalai Mbalamaziwa Mianzini Tingeni...
  18. T

    IGP: Tutamhoji Mwigulu, mwenye kujua wahusika wengine wanitumie ujumbe 0754785557!

    :llama:Kwa kadri ninavyofahamu, hiyo namba ya Simu imetolewa ili mtume ujumbe ambao hautafanyiwa kazi. Badala yake mutaambiwa leteni ushahidi hata kama utasema waziwazi kwamba ulikuwepo "live". Hii ni funika kikombe mwaharamu apite, Mmepewa nafasi ya kuondoa upepo tu! Chezea CCM wewe! Unadhani...
  19. T

    Wizi wa mitihani

    :llama:Inasikitisha kuona kwamba mleta mada hana kumbukumbu sahihi! Mwaka uliopita St. Mary's na Green Acres zilikuwa nafasi ya ngapi? Au metumwa ili kupoteza muda wa watu? Shule hizi ziliwahi kuvuma enzi walizokuwa wananunua Mitihani, na tangu mwaka 2008 hawajawahi kuwemo hata kwenye 40 bora...
Back
Top Bottom