Search results

  1. R

    CPA siku hizi bado ina advantage?

    n vzur kuisaka hiyo CPA...nadhani mtoa maada alikuwa akiuliza kwa vzur na hakuwa na maana hiyo ya eti nikaichukue ama nikaiokote...maadam mmemwelewa basi n vzur mkamjibu kama inavyostahili na cyo kumjb kwa kumkebehi...by the way, kama kwako CPA kuipata n ishu basi kwa wengine n rahisi tu mbona...
  2. R

    Lini nafasi za kujiunga na jeshi la wananchi wa tanzania(jwtz) zinatoka kwa mwaka huu 2013

    hapa kila mtu analo lake..mwingine atasema hawaajir kwan wamesitisha mzima uku mwingine atasema subirieni mwez wa pili n.k. hakuna mwenye uhakika ktk ilo...kama vp nikushaur uende 1 kwa 1 hadi makao makuu ukaulizie, then ndo utapata uhakika
  3. R

    Tra interview

    bado hawajaita, kuwa mvumilivu ndg..
Back
Top Bottom