Taarifa rasmi toka Tanesco Mkoa wa Ilala.
@TANESCO ata Dar es Salaam inategemea mabwawa ilihali Dar kuna Songas, Kinyerezi 1 &2 na matumizi ya umeme kwa % kubwa yako Dar es Salaam!
Licha mvua kunyesha kiasi cha kuleta maafa huko mikoani ila mpaka leo Tanesco wanatumbia mabwawa yao hayana maji.
Ndiyo nahitaji kioo cha Samsung S10+ Super Amored chenye frame yake kabisa.
Atakama ni used fresh ilimradi kiwe kimenyooka tu.
Ofa yangu ni Tsh 200,000/=
Location ni Dar es Salaam - Ilala -Kariakoo
Namba ya simu 0622 901670
Baada ya kufatilia kwa utulivu issue ya migogoro isiyoisha kati ga Palestina na Israel, nimejilidhusha pasi na shakha kuwa Umoja wa Maitafa chini ya azimio lake la mwaka 1947 la kuigawa Palestina ya Uingereza na kutoa nchi mbili yaani ya Wayahudi na Waarabu ndiyo ilikuja kutengeneza tatizo zaidi...
Ndiyo, licha ya kwamba Palestina ilitawaliwa na auingereza tangia mwaka 1920 baada ya kukabidhiwa na shirikisho la umoja wa mataifa (League of Nations) baada ya vita ya kwanza ya Dunia ila bado Palestina haijapata uhuru mpaka leo.
League of Nations ilipitisha Azimio la kuiweka Palestina toka...
Gharama nafuu za umeme ni sababu muhimu inayoweza kuwavutia wawekezaji wa viwanda. Gharama za umeme zina athari kubwa kwa uendeshaji wa viwanda, na viwanda vinavyotumia umeme kwa wingi vinaweza kuwa na gharama kubwa za nishati. Hivyo, gharama za umeme zinapokuwa chini, nchi inaweza kuwa marudio...
NATO, au Shirika la Mkataba la kujihami Kaskazini, lilianzishwa mnamo Aprili 4, 1949, kwa sababu ya hali ya kisiasa na kijeshi iliyokuwa ikijitokeza baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Sababu kuu zilizopelekea kuanzishwa kwa NATO ni:
1. Tishio la Ukomunisti wa Kisovieti: Baada ya Vita Kuu ya...
ChartGPT anasema hivi
Ushindi wa Marekani dhidi ya Japani katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia unaweza kuonekana kuwa maarufu zaidi kutokana na sababu kadhaa:
1. Mabomu ya Atomiki: Shambulio la Marekani kwa kutumia mabomu ya atomiki juu ya Hiroshima na Nagasaki lilikuwa tukio la kipekee katika...
Dar es Salaam. Mgodi wa North Mara, moja kati ya migodi miwili inayomilikiwa na kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick Gold nchini Tanzania, umekadiriwa kupoteza kati ya Dola za Kimarekani milioni 11.6 na Dola za Kimarekani milioni 31.65, kwa mwaka, kutokana na vitendo vya kihalifu...
UPATIKANAJI WA KATIBA YASASA (1977)
Historia inatunesha Katiba hii ya tuliyonayo ya mwaka 1977 ilipatikana kutokana na tume ya Rais iliyokuwa nawajumbe 20, kwa idadi sawa toka pande zote za muungano ikiongozwa na Sheikh Thabit Kombo akisaidiwa na Pius Msekwa kama katibu wa tume hii ya Rais. Hata...
Ki ukweli nimesikiliza hotuba ya Mh Rais Samia leo kwenye mkutano na wadau wa Demokrasia nimekosa jibu la moja kwa moja kuwa licha ya kuwa Rais Samia aliwahi kuwa makamu mwenyekiti wa Bunge la Katiba mwaka 2014 bado haikulitumia kama funzo bunge lile!
Maswali ninayo jiuliza leo hii!
1. Rais...
Bado naendelea kutafakari nia na malengo mahususi yakutenganisha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi!
Nafikiri ni ngumu sana kutenganisha hivi vitu viwili yaani Ujenzi pamoja na Uchukuzi! Sijui nini kinakusudiwa ijapokuwa naona bado Waziri ni yuleyule Makame Mbalawa na Katibu wake ni yuleyule Ally...
Masaa kadhaa yaliyopita baada ya Mdude kutoa taarifa za kufuatiliwa akiwa aa Wakili Mwabukusi Mkoani Arusha, kwa takribani lisaa sasa wote wawili hawapatikani kwenye simu zao na haijulikani walipo.
Tumefanya Mawasiliano na Watu waliokuwa nao Mahakamani kucheki kituo vya Polisi Arusha kama wapo.
Unguja. Wakati wanyamapori hususani simba na chui wakivushwa kwa mara ya kwanza kwenda kisiwani Zanzibar katika maonyesho ya tamasha la Kizimkazi, Ofisa Utalii kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (Tawa), Lusajo Nsweve, akisemani mpango katika kutanga utalii.
Wanyama hao ambao...
Serikali na Bunge imeonekana mna nia kabisa na ili dubwasha la DP World mliendeleze bila kujali wananchi wanasemaje!
Basi mimi nawaomba kwa dhati kabisa Rais Samia Suluhu uondoe kinga ya kutoshtakiwa kuanzia kwako mpaka kwa wasaidizi wako na spika wa bunge na Jaji Mkuu wote wawajibike.
Hata...
Nimeona taarifa ya Tanesco kuwa kumetokea hitilafu ya mfumo katika kituo chake cha uzalishaji umeme kwa njia ya gesi cha Ubungo na kusababisha upungufu ya uzalishaji wa umeme kwa jumla ya megawati 268 kwenye mfumo, hivyo baadhi ya maeneo kwenye mikoa yanakosa umeme nyakati tofauti.
Nimempigia...
Leo kupitia Email ya Kamati Bunge nimetuma maoni yangu kupinga marekebisho ya sheria ya ulinzi wa rasimali za Taifa.
Ndugu wana Jamii Forums, ikumbukwe mabadaliko haya yatapelekea kupoka mamlaka ya Wananchi ambayo yanatolewa na Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ibara 27 (1) (2) ambayo...
Habari ya mchana ndugu Mtanzania!
Ndugu Mtanzania, nimekuja hapa leo kukukumbusha kwamba ni takwa la Kikatiba kwa kila Mtanzania kulinda mali asilia ya Jamhuri ya Muungano.
Takwa hili linapatika katika ibara ya 27 (1) (2) katika katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ndugu Mtanzania...
Maamuzi ya kesi ya kupinga mkataba wa IGA yanayotarajiwa kutolewa kesho nayaona yakienda kubadilisha upepo wa kisiasa, ni Maamuzi mazito ambayo yataenda kubadili Katiba na Sheria zetu nyingi na kupelekea viongozi kushtakiwa kwa jinai na kuliingiza Taifa katika hasara kubwa kwa kuingia mikataba...
Wachambuzi wa mambo wamejikita katika upatikanaji Uranium huko nchini Niger kwa kusema France atalazimika kuingiza jeshi kusuport ECOWAS kuipiga NIGER kama jeshi la nchi hiyo halitomrejesha Rais aliyepinduliwa.
Licha yakuwa Niger ni mzalishaji mkubwa mmojawapo wa Uranium dunian ila bado Ulaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.