Search results

  1. M

    Waraka wa Prof. Mark Mwandosya, kuhusu Demokrasia

    ni kitabu kaka, mimi ninayo copy yake, la bado havijasambaa sana
  2. M

    Mkapa ni Sawa na Ungo Kwa Majirani, Kibeku Kwa Watanzania

    Tumlaumu Mkapa kwa mambo mabaya aliyoyafanya. Lakini pia tunastahili kumpongeza kwa mazuri aliyoyafanya. mabaya ya mkapa hayatakiwi kuyafundika mazuri yote aliyoyafanya.
  3. M

    Kikao cha NEC Zanzibar: Karume hataki kuongezewa muda!

    SHINIKIZO lililokuwa likitolewa na Chama cha Wananchi (CUF), kutaka Katiba ya Zanzibar ivunjwe ili Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Amani Abeid Karume aongezewe muda wa kuongoza limegonga ukuta baada ya Rais Karume kuikataa hoja hiyo na kuwasihi Wazanzibari wote kumuunga mkono...
  4. M

    Kulikoni Sitta na Makamba?

    Kwa jinsi hali ilivyo mbaya jamaa alisahau hata kama kuna mfungo wa ramadhani
  5. M

    Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

    Ndugu yangu barabara zetu nyingi, zilizojengwa zamani zile hazina standard zinazokubalika kwa sasa. design life ya barabara ya lami ni miaka ishirini pia inatakiwa iwe inapata matengenezo ya mara kwa mara lakini ni bahati mbaya hizi barabara zetu huwa hazifiki hiyo miaka ishirini kwa sababu...
  6. M

    Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

    Mtanzania usijali mkuu nitakushirikisha vingi katika hii shughuli ya consultancy services ni mambo ya technical evaluation za mambo ya barabara na madaraja, design za water supply, design and supervision of civil works( barabara, madaraja na maji) pamoja na design and supervision of building...
  7. M

    Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

    Ndugu yangu engineer si kwamba sisi tuko mjini hatujui kinachoendelea ndugu yangu mimi ni engineer wa Civil na naishi Mbeya nafanya kazi MIST kwa hiyo habari za kuwa mjini hapo umeteleza na hivyo vijiji vya mkoa wa mbeya mimi huko huwa nazunguka kote, hiyo kyela nimepita kila kijiji kufanya...
  8. M

    Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

    wewe unayejiita Engineer nataka kukueleza kuwa kutembea na bastola siyo makosa ndugu yangu labda unogeshe habari zako kwa vitu vingine, pili suala la mwakyembe kuwa na alikuwa na pessure siyo sababu za msingi kuzielezea, katika yote uliyoyaongea sijaona kitu ndugu yangu. samahani ndugu yangu...
  9. M

    Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

    Ndugu yangu pitia vizuri maelezo, au soma habari ya jamaa wa Iringa kwenye blog yake wametoa link, ameelezea yaliyotokea. Baada ya hapo ndiyo uanze haya maelezo yake si vizuri kuhukuma kama hujafanya utafiti wa kutosha. Ajali ni kitu cha kawaida kabisa katika nchi zetu ambazo barabara zetu ni...
  10. M

    Lipumba NI CCM ?

    Safi sana Zito kwa majibu yako mazuri, nimeyapenda. mtu anaacha kujadili kilicholetwa anarukia habari nyingine, suala linalojadiliwa hapa ni Lipumba habari ya Zito imetoka wapi. Swala la Dowans lilishaisha sasa tuangalie mambo yaliyo mbele yetu ndiyo tuyajadili. Naona si vema kuendelea...
  11. M

    TETESI: Serikali yatishia gazeti la KULIKONI

    vipi mzee mbona unaonekana unaweweseka, tulia hutakiwi kutishia watu. kwa sababu humjui yeye ni nani sikujui wewe ni nani hunijui mimi ni nani na nafanya nini.
  12. M

    Sitta, Makame tangazeni uchaguzi Biharamulo kabla ya Mei 15

    Ninachoelewa mimi ni kwamba Kabuye hakuwa mbunge baada ya mshindani wake pwana Choya kumpeleka mahakani kuwa alitumia lugha ya matusi na mahakama ikaamua bwana Choya apewe ubunge. Lakini Marehemu Kabuye alikata rufaa ambayo mpaka mauti yanamkuta ilikuwa haijaamuliwa. tuendelee na mjadala sasa...
  13. M

    Uchaguzi Busanda: Majigambo, Uteuzi na Kampeni kuelekea uchaguzi

    sema CCM wanajua kuiba kura hapo nitakuelewa. ndiyo maana sasa hivi wanajiandaa kufanya huo umafia. Lakini jamaa wamewadhibiti kikamilifu.sasa Busanda lilikuwa jimbo la CCM, lakini naamini watalipoteza kabisa hilo halina ubishi. CCM kwisha habari yao, wajue kwamba watanzania wamechoshwa na...
  14. M

    Uchaguzi Busanda: Majigambo, Uteuzi na Kampeni kuelekea uchaguzi

    yes, sasa zinaonekana vizuri. Du kweli Busanda wana hasira, sasa inabidi wakaipigie kura chadema, siyo wafike kwa wingi kwenye mikutano halafu kura waipe CCM. Hapo itakuwa haina maana. Sasa CCM kwisha habari yao. ama kweli ngoma mdundo.
  15. M

    Kubenea kashindwa kumzungumzia Rostam mbele ya Waandishi!

    acha utani wewe, Kubenea ni mmliki na mhariri wa gazeti la Mwanahalisi. nafikiri tuendelee na mjadala sasa
  16. M

    CCM si BABA wa CHADEMA

    Mkuchika ni naibu katibu mkuu wa chama. John Chiligati ndiye katibu mwenezi wa chama, naomba nikusahihishe katika hilo. baada ya hapo tuendelee na mjadala
  17. M

    Kubenea kashindwa kumzungumzia Rostam mbele ya Waandishi!

    Ni kweli huyu jamaa hana tofauti na Lyatonga.
  18. M

    Nini Nimejifunza kutoka Ze Utamu na RM/RA Saga

    ndiyo kulikuwa na new post mkuu
  19. M

    Nini Nimejifunza kutoka Ze Utamu na RM/RA Saga

    mie nipo Ireland, haipatikani tokea jana jumamosi. kazi ipo
  20. M

    Update Liyumba's case

    UPANDE wa mashitaka umekiri katika kesi inayowakabili mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba na Meneja Miradi wa benki hiyo, Deograthias Kweka kuwa hati ya mashtaka inayowakabili washitakiwa hao ina makosa. Hayo yalifahamika jana mara baada ya...
Back
Top Bottom