Search results

  1. pinno

    Tanzia: Prof. Euphrase Kezilahabi amefariki dunia

    Rosa Mistika, nakumbuka kazi yake hii adhimu
  2. pinno

    Marehemu Lwajabe anatajwa katika sakata la Kabendera; Kuna nini?

    Ukisema uchumi unavyoshuka, sema na ukipanda pia, huo ndio uandishi wahabari, Bro alikuwa kakomaa na ukishuka tu! ukipanda ana kuwa blind.
  3. pinno

    Marehemu Lwajabe anatajwa katika sakata la Kabendera; Kuna nini?

    Binafsi Ninaguswa na matatizo ya Kabendera, kama binadamu, kama Mtanzania, na kama mtu wa kawaida, Ila nilishasema humu ndani, mwanzoni, kuwa Kabendera, alinikosea hata mimi kama Mtanzania wa kawaida, Siku zote kama nchi tunatafuta kupata milleage kwenye international media, ziongee mazuri...
  4. pinno

    Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

    Hii Point wameikataaje? Gharama au? tupo tayari kuchangia mafuta
  5. pinno

    Mtu mwenye degree anapoenda kujifunza kazi ya waliokosa Elimu ni ujumbe gani tunapata kuhusu Elimu yetu?

    Ufikiri wa jamii, na wewe ukiwemo ndio shida, hakuna kazi za walioelimika na wasioelimika, shuleni huwa tunaenda kusoma ili kupanua mawazo yatakayo tusaidia katika kuendesha maisha yetu. Sasa hizi degree tunasomea, mengi ni mambo ya utawala, ndipo unajikuta umesomea, utawala wa biashara, au...
  6. pinno

    Mfahamu Reinhard Bonnke: Mhubiri aliyetikisa dunia

    Kiufupi ni kuwa amemrithisha kazi mkwe wake. Daniel kaoa binti yake
  7. pinno

    Google Translate ina Kiswahili kibovu

    Anza wewe mwenyewe, wanaotafsiri google individuls kama mimi na wewe, Tatizo Wakenya na kiswahili chao kibovu ndo wanaandika sana
  8. pinno

    Ukubwa wa kisanaa wa Justin Bieber ulisababishwa na nini? Je, kuna namna tu au kipaji?

    JB, alitoka akiwa Teen, na fans wa mziki ma craxy dunia nziam wanakuwaga ni teens, sasa wakirelate nae, huyo mtu anakuwa mkubwa sana. sasa as he grows, wale die hard fans wake nao wanagrow, ndo hapo uwezo wake wa kubaki relevant kwenye game, kwa kuhamasisha generation mpya ya teen wapya...
  9. pinno

    Diamond/WCB, tuzo za muziki na tatizo la Watanzania kuridhika mapema

    Tuzo zinakuwaga na category nyingi, lakini sote tunajua kuwa baadhi ya category ni sindikiza category, watu wote huangalia zile main category na ndizo jina la zinazobeba tuzo. EG. Best artist of the year, song of the year, collabo of the year, video of the year, Producer of the year,Video...
  10. pinno

    Diamond/WCB, tuzo za muziki na tatizo la Watanzania kuridhika mapema

    Takribani mwezi au wiki mbili tatu mfululizo, Clouds Fm wamekuwa wakiendesha mjadala redioni unaoangazia mambo kadha wa kadha ya game ya muziki wa Bongo Fleva, tangu kuasisiwa kwake. Mijadala hii, iliyopewa jina la Bongo Fleva Round table, inayofanyika jumamosi kwenye kipindi cha Bongo Fleva...
  11. pinno

    Waimbaji wa kike wa injili mnazingua ndoa na kuuchafua ukristo

    N'yadikwa, Hiv kuchafua ukristo ndo kufanya nini? kama wenyewe ndio umewalea hivyo, wao kuuishi ni kosa? Labda inabid ukristo ukiri kuwa kuna mahali unakosea katika malezi.
  12. pinno

    Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

    Uchaguzi wa ndani wa chama cha Demokrasia na Maendeleo ni jambo linalofuatiliwa kwa ukaribu sana, na makada wa CCM, ndani na nje ya serikali, jambo ambalo wana CHADEMA wamekuwa kama hawaelewei elewi kwa nini hili jambo ni muhimu kwa wana CCM. Wapo wana CHADEMA wanaodhani kuwa CCM wanafuatilia...
  13. pinno

    Naumwa, nataka kuandika wosia, wananishauri niache eti ni uchuro

    Kuna jambo moja tu ambalo binadamu ana uhakika nalo hapa Duniani, nalo ni kuwa, kuna siku atakufa. ushahidi wa kisayansi, kihistoria, kigeografia, kibiolojia na had kikemia,wote unathibitisha kuwa, mwanadamu kufikisha miaka 150 ni mtiti. So wote tutakufa siku moja, wosia sio uchuro wala sio...
  14. pinno

    Cecil Mwambe: Sihitaji mtu anichukulie fomu, nitaenda kuchukua mwenyewe ila tuwe pamoja kwenye kampeni kama mnanikubali

    Go Mwambe Go Cecil Wapenda Demokrasia nchini kote, bila kujali vyama, tupo nyuma yako
  15. pinno

    Kanye West's My Beautiful Dark Twisted Fantasy (2010) ndiyo album bora ya 'decade'

    Hapa jamaa hata mimi nimeona wamezingua, hivi wanaijua MMLP2 Kweli hawa?
  16. pinno

    Kanye West's My Beautiful Dark Twisted Fantasy (2010) ndiyo album bora ya 'decade'

    Nimesikiliza Ye ya last Year, nimepick 3 songs, kama Wouldnt leave, Ghost town etc, na nimesikiliza hata hi mpya kabisa, Jesus is King. kuna nyimbo nyingi nzuri, ila Use this Gospel,Sellah, Closed on Sunday are my favourite. Ntazitafuta albu,m karibu zote za huyu mwamba, zile za zamani nyingi...
  17. pinno

    Kanye West's My Beautiful Dark Twisted Fantasy (2010) ndiyo album bora ya 'decade'

    Wick, s are dope, sema Graduation si before 2010. hii list ni ya Album ya miaka 2010 to 2019.
  18. pinno

    Kanye West's My Beautiful Dark Twisted Fantasy (2010) ndiyo album bora ya 'decade'

    Billboards Charts, wametoa list ya Album bora 100 za muongo wa 2010-2019. Na at the top ni Album ya Kanye Omary west My Beautiful Dark Twisted Fantasy (2010). Disclaimer: Binafsi mimi mwenyewe kama Pinno nilikuwa nimeshaipa hii Album hii tuzo, kimoyomoyo, kama tu ambavyo nimeshatoa tuzo hizo...
  19. pinno

    Hili la maiti kulipishwa madeni Hospitali za Serikali limekaaje?

    Hela za kulipa hospitali ndo hamna, ila hela za kupika wali, msibani, na kununua vitu vingine vihusivyo msiba inakuwepo? Au ishu mnaona shida kulipa hela ya matibabu wakati tayari mgonjwa kafariki? The thing ni kuwa gharam za kuuguza zilikuwa zimeshafanyika, kama ni ile panadol aliyotumia jana...
  20. pinno

    Kazi za Tanzania Airports Authority (TAA) nafaso ya Internal Audit II and Accountant II, alidhapatikana Mtu?

    Wakuu, hawa jamaa walitangaza hizi kazi mwezi wa nne Hivi walishaita watu kwenye usaili, maana nimejaribu kufuatilia sijaona tangazo lolote likiita watu kwa usaili na muda umepita sana au mimi ndo sina taarifa? Asante.
Back
Top Bottom