Search results

  1. N

    DED nsimbo ongoza kwa mfano

    Kifupi DED hatoshi, anaishi kwa kubebwa na dc na Kamati yake ya ulinzi na usalama. Kwani Hawajui Kama zile nyumba hazikaliwi na watumishi, tena wakuu wa idara! Analala zile nyumba Siku Akita na mchepuko wake maarufu aliouhamishia shule jirani na ni mwalimu mkuu. Leo hii watumishi wa Halmashauri...
  2. N

    Mh. Rais wetu, tunaomba angalia Halmashauri ya Wilaya Nsimbo-Katavi

    Inashangaza sanaa. Badala ya kujiangalia wapi mnateleza mnatajana majina humu. Hivi jumuia ya wana Katavi mna akili sawa kweli? Angalia kilichokuangusha sio ulipoangukia meen!! Natamani kujua uwiano wa kijinsia huko labda naweza pata chanzo cha mihemko inayoonekana hapa jamvini.. Simbachawene...
  3. N

    Ukaguzi unaofanywa airport wa mizigo uende sambamba na tabia ya abiria

    Nalazimika kusema hayo baada ya hali ya isiyo tulivu kutokea katika uwanja wa ndege wa Mwanza leo asubuhi majira ya saa 2 asubuhi. Abiria mmoja aligeuka kero wala sio kituko kwa sauti ya juu kuzidi hata ile ya matangazo ya airport, kutumia muda wote wa kupiga kampeni za Urais pale aiport. Kama...
  4. N

    Kimenuka mbaya: Shehe amtolea uvivu Jaqueline Wolper Gambe

    Ndugu daima unapoandika Mungu anza na herufi kubwa!
  5. N

    Marrystela afisa utumishi moshi(manispaa) na ombwe la uongozi.

    Aibu zako kwa kweli. Mtu kuhama anatafuta cheo? Utoke Halmashauri uwanie mkoa? Mkoa kazi ya kuandika barua za maelekezo ktk halmashauri basi, sana kuwa mkoani ni kijiweni.UMBEA HAUNA POSHO
  6. N

    Kishoka maarufu wa Kike Jasmin Anaswa Bukoba na TANESCO

    Habari hizi ni kweli kabisa. Na tunaomba shirika lichukue hatua stahiki. Hivi meneja akiwa likizo hajui watumishi wake? Kuna namna hapa. Jibu lilikuwa ndio au hapana. Kitendo cha kukwepa kujibu swali kinatia mashaka. Lakini ni wakati wa Tanesco na taasisi nyingine kuangalia upya nafasi za...
  7. N

    Uozo wa bodi ya wakurugenzi wa bima ya afya (nhif)

    Mkuu huna tofauti na mtu anaesimama kona ya uhuru na msimbazi akijaribu kuhubiri kwa wapita njia.UNAMPA Nani USHAURI. Umeandika tumesoma. Na ni kawaida yenu watumishi wa NHIF mkiona luck is not in your favour. Mnaleta vioja vyenu hapa kutukera tu si si wanachama. Hapo ni kuwa tu haupo katika...
  8. N

    Mke wa Henry kILEWO(cHADEMA)Awapa SOMO MBOWE NA SLAA KUHUSU UONGOZI NA KUTUNZA FAMILIA

    Joyce, ngoma ikilia sana hupasuka. Huo usaliti na machozi ya wanawake unayoyasema hausababishwi na wanaume pekee. Kuna michango ya jinsi zote mbili. Harakati zako za kumkomboa mwanamke hebu ziwe na muelekeo fulani, km vile wa uchumi, nasio kulazimisha ndoa zisivunjike. Hilo hata mababu zetu na...
  9. N

    jackline wolper arudi kanisani

    . Heri wao wenye akili kama za watoto wadogo. Kuliko wenzao wanaodiriki kubaka vichaa na kuwazalisha. Sijawahi sikia hawa wenye akili km watoto wadogo wamezaa na vichaa
  10. N

    Huu upagazi kwa wanawake utakoma lini?

    Haaa haaa, unawaza na kuandika. Sio kuwaza tu.
  11. N

    EATV ni bora ila hawa wanaiharibu

    Haaaa haaa kama panya!!!
  12. N

    Mnasema mmesoma elimu yenu imetufikisha wapi?

    Tena apeleke huko kwenye nyumba yake ya ibada,
  13. N

    Siasa kali wadaiwa kumchoma kisu shekhe wakati akiswalisha swala ya idd

    Wacha watiane adabu wenyewe kwa wenyewe, mwana umleavyo ndivyo akuavyo!
  14. N

    Katie Gee, "A Muslim woman just hit me in the street for singing on Ramadan. Is that normal?

    Dola??? Imewahi wafanya nini watu wa zanzibar? Wale waliumbwa kuumiza wenzao tu, na wao ndio wasimamizi wakuu wa uislam. Over my dead body zanzibar nitapita tu kwa flight km route itaelekeza hivyo, mji gani huo wa watakatifu wakorofi? Dubai ina waraabu ila haina shida. Makoko ndo yamejaa roho za...
  15. N

    Epiq Bongo Star Search (EBSS) sasa kuoneshwa na TBC1

    Kweli kabisa, kwa tbc hatutapata uhondo ipasavyo,
  16. N

    62 yrs old anataka kuongezewa muda kazini- NHIF

    Dawa ni kuinama upepo upite,
  17. N

    62 yrs old anataka kuongezewa muda kazini- NHIF

    Maneno yatawatoka sana, ..ando, ....zar, ..hani kazi mliyo nayo ni kubwa sana
  18. N

    62 yrs old anataka kuongezewa muda kazini- NHIF

    Mmm unadhan hakuna watu wa kufanya kazi hiyo? Ofisi nyingine wanaofanya kazi wamesoma wapi? Yaan nhif nzima hakuna alokuwa anaweza kuongoza ofisi. Hy jamaa alikuwa anang'ang'ania tu.
  19. N

    kama ni demu sikiliza

    Bonge la wimbo
Back
Top Bottom