Search results

  1. Kamawewe

    Anahitajika mtu wa mauzo anayeweza kuendesha guta na pikipiki

    Habari wakuu anahitajika mtu wa mauzo anayeweza kuendesha guta mpya kabisa na piki piki wa kutafuta wateja na kusambaza bidhaa za vyakula ikiwemo brand ya unga wa sembe inayojulikana Mtwara (gas city) na iliyo kwenye soko kwa zaidi ya miaka saba. Sifa i. Awe na leseni ya kuendesha guta na piki...
  2. Kamawewe

    Tashriff Luxury Coach acheni utapeli

    Hebu fikiria joto lilivyo kali unaenda kukata tiketi wanakwambia bus lao luxury lina AC. Lakini unasafiri Tanga hadi Mtwara hakuna AC na hata baadhi ya vioo havifunguki ovyo kabisa basi letu si la kupanda pia muwe wakweli mtoe mnachoahidi wacheni utapeli kama vipi bakini huko kwenu Tanga...
  3. Kamawewe

    Anahitajika mfanyakazi wa bookshop & stationery

    Habari members Anahitajika mtu muaminifu mwenye uzoefu na ufahamu wa shughuli za stationery au bookshop kwa ajili ya kufanya kazi Mtwara mjini. Mwenye sifa na aliyetayari kufanya kazi Mtwara mjini tafadhali tuwasiliane kwenye inbox.
  4. Kamawewe

    Accounting Package for Travel agent

    Habari great thinkers Kuna sehemu ninatakiwa kutoa maoni yangu kuhusu mapendekezo ya mfumo bora wa kihasibu kwa ajili ya travel agent company ambayo inanunua tour packages kutoka kwa other tour operaters, inauza kwa customers with additional cost(commision). Ninaomba mawazo yenu ya mfumo mzuri...
  5. Kamawewe

    UTAJIRI NI MAARIFA NA TAARIFA

    Habari wakuuu Kutokana na changamoto za ajira na biashara leo nimeona ni Vema nikaongelea ni mambo gani yanatukwamisha na jinsi ya kujikwamua. Inaaminika ili kuwa tajiri lazima uwe na vitu vitatu: i. Uwe na mtazamo wa kitajiri Ii. Uwe na maarifa na taarifa za kukuwezesha kuwa tajiri. iii...
  6. Kamawewe

    Fastjet ni walaghai, kwanini idara za serikali zinaacha wananchi watapeliwe

    Habari Wana JF Kama umewahi kusafiri na ndege za makampuni mbalimbali hapa Tanzania ninadhani utakuwa unaujua utapeli huu kuhusu nauli za fastjet. Sishangai kampuni mbambali kutangaza nauli ambazo nitofauti na uhalisia lakini si kwa kiwango hiki cha fastjet kwani nauli wanayotangaza fastjet...
  7. Kamawewe

    Wanawake wanavyochangia wanaume kuwa na wapenzi wengi

    Habari wana JF Kwanza nikiri mtu kutokuwa muaminifu ni tabia binafsi lakini pia lazima tukubali tabia huathiriwa na mazingira, hivyo basi pamoja na kwamba wanawake mmeumbwa na asili ya kubembelezwa sana inapotokea kutoelewana au wakati mwanaume anataka kuanzisha mahusiano jaribuni kupunguza...
  8. Kamawewe

    Unemployed person or Business patner required.

    Hi JF members I think everyone knows the prevailing unemployment disaster in our country and its not bad to share whatever can help us. From that point of view a person with ten million business idea is required with expectation of capital addition depending on performance. Below are...
  9. Kamawewe

    Ni sahihi Dr Ndalichako wa NECTA kuondoka, ameharibu

    Habari wana JF Leo kupitia vyombo vya habari ikiwemo clouds fm wamedokeza matokeo ya tume iliyoundwa na Waziri mkuu kuhusu matokeo mabaya ya kidato cha nne. Baadhi ya mapungufu yaliyobainishwa na tume ni pamoja na (1)Wanafunzi kupewa alama (marks) kwa kufanya maswali ambayo hayakwepo kabisa...
  10. Kamawewe

    Wazazi wanapokataa mkwe kwa sababu ya kabila

    Habari Wakuu, kwanza ninawapa hongera kwamba pamoja na JF katika siku za karibuni kuvamiwa kwa posts za hovyo hasa kutoka kwa wadogo zetu amboa nina imani hali itapungua wakianza kusoma vyuoni October kama sikosei bado JF is good for knowledge and entertaiments. back to topic: Ni mara nyingi...
  11. Kamawewe

    Mapenzi yanapokuwa uchafu

    Habari wana JF, ninaomba ufafanuzi au ushauri wa hali ninayokuwa nayo katika maisha yangu ya kimahusiano,kifupi mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 30 na nina Mwenza. Kabla ya Mwenza niliyenaye nilikuwa na mpenzi ambaye chanzo kikubwa cha kutengana ni kwamba Mimi nilikuwa mara kwa mara...
  12. Kamawewe

    Nini dawa ya malalamiko ya dhuluma isiyosikilizwa

    Habari wana JB, Leo hii ninaomba tujadili tatizo kubwa linalotusumbua Tanzania la dhuluma za kila mara inayofanywa na kundi moja la Watanzania dhidi ya jingine lakini malalamiko yake hayasikilizwi mbaya zaidi Watanzania hao wanyonge wanapambana ili dhuluma hizo zipungue kama si kuisha lakini...
  13. Kamawewe

    Hodi great thinkers

    Habari wanajamii? ni kipindi kirefu nimekuwa msomaji wa kila siku wa jamii forum bila ya kuwa member, ninakiri ndani ya jf unapata kila kitu. Ninaomba ridhaa yetu as a new member!
Back
Top Bottom