Mwl Nyerere alikuwa kichwa haswa,nashindwa kuelewa ilikuwaje akauza Tanganyika nchi kubwa kwa Zanzibar.
Yaani mzanzibar ruksa kututawala,mtanganyika haramu kutawala Zanzibar.
Rais anapomteua mtanzania katka nafasi fulani anakuwa kapelekewa taatifa zake zote kwa ukamilifu.
Nina uhakika katika hili la Kiiza aliingizwa chaka na watendaji wake.
Tunaweza kumlaumu Rais kwa uteuzi wa Paul Makonda kwakuwa alishafahamu matatizo yake mengi lakini bado kamteua sijui kwa nini...
Fikiria mimi si mtu wa system na nina taarifa zake nyingi chafu ambazo kama taratibu za vetting zingefuatwa vizuri jina lake kamwe lisingefika kwa Mama.
Kumlaumu Mama nadhani tunakosea sana,wanaostahili lawama ni mfumo mzima wa utawala umeshindwa kufanyakazi ipasavyo.
Umewahi kujiuliza...
Ni kweli Kiiza ana mashamba makubwa sana mkoa wa Katavi.Mazao eg mahindi,maharage....anapeleka Rwanda siju kwanini au labda kuna soko kubwa na bei nzuri kwa kweli sijui.
Kuna tuhuma nyingine za kuwasaidia wanyarwanda kupata ardhi huko Katavi na madereva wa malori yake wengi ni wanyarwanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.