Search results

  1. G

    Ushauri: Tanzania iige Malaysia kupambana na Dengue fever

    Hilo ni wazo zuri sana lakini cyo kwa serikali ye2 hii inayotanguliza maslai yao mbele kwanza.. Labda hili janga lingeanza kuwatafuna vigogo kwanza ndiyo wangechukulia maanan wazo kama hilo la msing
  2. G

    Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

    Kwanza kabisa nakupa hongera kwa kuibua mada nzuri na yenye kutufanya 2we watu wa kusoma biblia na kuielewa kwa undan. Laki kwa uelewa wako ambao umeupata kwa kusoma biblia naomba nirudishe swali kwako tena, je kuna mahali ambapo biblia imetaja mwezi na tarehe ya kuzaliwa Yesu kristo.
  3. G

    Elimu ya Tanzania ni tete

    Kiukwel 2nakoelekea watanzania sio na 2cpokuwa makin 2takuwa 2nazalisha jamii ya wa2 wajinga mana matokeo ya form 4 kurudiwa kuchunguzwa tena kuna uwezekano wa baraza kufanya hujuma ya kuongeza idad kubwa ya waliofaulu kwa lengo la kujipatia cfa kubwa sana. So watanzania yatupasa kuwa makin sana
  4. G

    Matapeli sugu wa mtoni Mtongani akina ntunyungu

    Yaan tanzania hii ya sasa 2naish kama 2naigiza maana viongoz hawapo sensitive and by da way police nao wameluz control
  5. G

    ajira za walimu wapya 2013

    Kiukwel kitaa kugumu sana mpaka inaboa amakwel serikal ya ccm imeshindwa kaz mana walimu wachache skonga lakin kuajil wanachelewa
  6. G

    Crdb hq walinzi wanauza receipt.............

    Hicho unacho kizungumzia kina ukwel ndan yake
Back
Top Bottom