Search results

  1. W

    Serengeti: CCM yajifukia kaburini

    Kebwe asahau ubunge Serengeti, na huyo bwana mdogo Vicent ni mchumia tumbo tu.
  2. W

    Dkt. Shein afanya mabadiliko ya Mawaziri na Wakuu wa Mikoa Zanzibar

    Sisi watanganyika bana, ya kwao hayatuhusu.
  3. W

    CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

    Machale yananicheza, kuna jambo baya hawa watekaji wanataka kumfanyia Dr Slaa halafu story ipachikwe kwa Mtoi. Hivi kuna mtu anaijua sura ya Ludovick aipachike hapa?.
  4. W

    John Mnyika: Uchaguzi wa CHADEMA Kitaifa ni Baada ya Uchaguzi Mkuu 2015!

    Heko CDM, haya ndio maamuzi sahihi katika wakati sahihi.
  5. W

    Mapinduzi Yaliyoshindwa ya DARUSO 2002/3

    Ni miongo takribani miwili ZZK anaukumbatia USALITI. Hajajifunza tu!.
  6. W

    Kenya, Uganda na Rwanda waweka makubaliano ya ulinzi

    Hawa maraisi ni wachapa kazi, huyu wakwetu kazi yake ni kuzurula tu kila kukicha. Hana mpango mkakati hata sifuri.
  7. W

    Ombi la Zitto kutembelea SAUT-Mwanza lakataliwa na uongozi wa tawi

    ZZK njoo SAUT unitafutie kesi ya MURDER, nina machungu nawewe. Watu kama wewe huwa wanatupwa kwenye kundi la mbwa mwitu wenye njaa kama yule uncle wake raisi wa North Korea!
  8. W

    Mpango mzima wa kuihusisha CHADEMA na ugaidi mpya huu hapa

    ZZK wakala wa TISS ni bingwa wa mkakati wa kuwateka na kuwatesa watu. Akina Kibanda, Mwangosi na Lwakatare walishamjua siku nyingi.
  9. W

    Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm!, Keep Quite!, Don't Ridicule Them!.

    Hivi kesi gani ambayo Zitto ameshinda? Mbumbumbu wa sheria bana!
  10. W

    Mwenyekiti CHADEMA Temeke adai alitekwa na mwanaCHADEMA mwenzake, CHADEMA yataka Polisi ichunguze

    Kova huyu ndiye alisema wamemkamata aliyemtesa na kumng'oa kucha Dk Ulimboka. Wenye akili zetu tukajua yule ni chizi na ni dili limepangwa.
  11. W

    Hongera HALIMA MDEE umeonyesha ukomavu

    Tatizo Halima ana mahaba binafsi na Kabwe, ni upofu tu tusimlaumu!
  12. W

    TUNDU LISSU: Kwa uzito wa msiba wa MANDELA barani AFRIKA kwa nini BUNGE lisiahirishwe?

    yeye ni waziri kivuli wizara ya katiba na sheria, na muswada uliokuwa mezani unamhusu. Pia kulingana na uzoefu wake ktk nyanja hii, kukosekana kwake ni pengo kubwa. Ndio maana hata spika amekiri kwamba wamemmis sana.
  13. W

    TUNDU LISSU: Kwa uzito wa msiba wa MANDELA barani AFRIKA kwa nini BUNGE lisiahirishwe?

    Katika muswada wa kura ya maoni unaendelea hakika bunge limepwaya, hapa ndipo tunapoona umuhimu wa Tundu Lissu. Leo hii mapema asubuhi amesimama na kuomba mwongozo wa spika, katika mwongozo huo huku akionekana mdhaifu Tundu Antipas Lissu amesema tangu jana anaumwa hadi leo bado ana homa kali...
  14. W

    Dkt. Slaa ziarani: Mikutano ya Desemba 5, Kakonko, Kigoma

    mkuu vipi kuhusu gesi, inakuja Dar au haiji?.
  15. W

    Serikali isipotoa ripoti ya mabilioni ya uswisi, bungeni patachimbika~wabunge.

    Hivi Zitto siku atakapokanyaga bungeni atakaa kiti kipi?. Isijekuwa anaona aibu kuingia bungeni coz atakaa nyuma.
Back
Top Bottom