Search results

  1. D

    Leo nimemkumbuka Nape wa 2015. Alidai CHADEMA wanataka kupeleka marehemu Ikulu na kumuacha mzima

    Hata kama ni siasa, wasemaji wawe na kauli zilizo na utu na staha jamani..mmh..
  2. D

    Video ya utupu ya Drake yasambaa mitandaoni

    Kwani na matanga yalishakaliwa eti.....joke
  3. D

    Video ya utupu ya Drake yasambaa mitandaoni

    Sijawahi kuwaelewa wachukuana picha kwenye issue hizi...should be a big no hata kama mahaba yamekolea nazi kwa kiasi gani...ni silaha ya kijinga sana when things get sour..
  4. D

    Kenya yafuta 50/50 baada ya talaka, unachukua ulichochangia

    Ni kweli, kuna support isiyopimika kwa macho, kuna provision yake kwenye hayo mabadiliko?
  5. D

    Kila nikikumbuka visa vya Mama Mwenye Nyumba, Kanyenye (Tabora) sirudi tena

    Kuna mahali nilipotea nikasahau kilichompeleka Tabora kama ilikuwa kazi au nini...
  6. D

    Nimeibiwa milioni 5 Stendi ya Mabasi ya Magufuli

    Kama mtu ataiona briefcase?
  7. D

    Askofu Gamanywa: Hamas ni cha mtoto, Waarabu wote wataungana kutaka kuifuta Israel lakini Watashindwa kwa mujibu wa maandiko!

    Bottom line, watu ndio wanapoteza maisha kutoka pande zote mbili. Unfortunate we only have one life..sad kwa kweli
  8. D

    Operations Al aqsa flood Vs Operation Iron Sword, nani ataibuka kidedea?

    Ninachokiona ni roho zisizo na hatia zinazopotea kutoka pande zote mbili, sad...
  9. D

    Soma kisa hiki cha utapeli, ujifunze kitu

    Labda wakiangalia pori hata wasiwasi wa kukimbiwa hawauoni..
  10. D

    Imekuwaje The Cask Bar waombe radhi kwa wateja wao kuwa na ujumbe wa kuokoa bandari?

    Ni kweli... mambo ya kuunganishwa na kesi ya msingi...
  11. D

    Ni zipi sababu za upendo kutoweka kwa wanandoa siku chache baada ya harusi?

    Kushindwa kuhimili matarajio (manage expectations)
  12. D

    Mahusiano ya hivi kitaalamu yanaitwaje?

    Asante....kakutana na mtu stable anayepambania yake, anaona mtego...
  13. D

    Ushauri wa leo kwa kaka zangu

    Asante...
  14. D

    Ushauri wa leo kwa kaka zangu

    Povu litatoka kwetu kweli, sio kwao?
  15. D

    Sheria Inasemaje kuhusu Mirathi, Mjane akizaa mtoto nje ya wale wa Ndoa?

    Hapa tumeangalia upande wa wazazi wakitoweka, bado kuna ndugu pia, maana kwenye mada hii ndugu kama washapita nazo pia...
  16. D

    Sheria Inasemaje kuhusu Mirathi, Mjane akizaa mtoto nje ya wale wa Ndoa?

    Nawaza ingekuwa mwanaume usingekuwa ni uzinzi?
  17. D

    Sheria Inasemaje kuhusu Mirathi, Mjane akizaa mtoto nje ya wale wa Ndoa?

    Mstari uliosema kuwa hata mali iliyoachwa kwa watoto imeshauzwa, umenifanya niamini kuwa wamefuata hiyo nyumba. Hayo ya kuzaa ni chagizo tu...
  18. D

    Wanaume matajiri wanawaoa maroboti ya kike

    Na bila kuwa na hofu ya kugawa mali..eti eeh?
  19. D

    Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

    Khaa...si ubadilishwe mpango tuachane na daraja, mambo gani kutwishana mitusi hivyo...labda sio kipaumbele kwao...
Back
Top Bottom