Shida yako unafuata msafara wa chama fulani bila kuhoji. Ukiwa na tabia ya kuhoji, ni ngumu sana kuwa na msimamo na chama chochote Tanzania, vyote vimejaa ujinga ujinga tu.................
Wakati nafanya BCom UDSM kulikuwa na muhindi mmoja ambaye aliomba admission ya degree ya education ili iwe rahisi kupata nafasi, lakini chuoni alichukua course zote za accounting na finance kama electives zinazotolewa na FCM (siku hizi UDBS), sasa hivi ni banker mkubwa sana.
Catherine, kipindi hicho tukisoma wote alikuwa maarufu kama "Nyakao" ni mwanaharakati mzuri tu, pia ni mjanja sana. Amemaliza chuo mwaka 2007, BCom pale Mlimani. Nakumbuka mara baada ya kumaliza chuo alipata kazi NBC. Alijindeleza pia na kupata MBA with distinction. Ni kitambo kidogo lakini mara...
Kama lengo ni kuwa mchumba na baadae umuoe, na huna mkwanja kiivile, nunua nyanya, pilipili hoho, nazi, karoti, vitunguu, mchelele/viazi, matunda, nyama ya ng`ombe/kuku/samaki etc. Pika chakula hapo unapoishi, tengeneza juisi na andaa matunda, umkaribishe mpate chakula. Akipenda anaweza kuja...
Most likely jina la Patel halitarudi kutoka juu......... kuna faida pia ya "Ku post picha zake na viongozi wakuu huko Instagram na Facebook". Tuhuma za rushwa zitamuangusha Patel. Si unakumbuka 2010 Kigwangala alikuwa mshindi wa tatu kwenye kura za maoni?
Zitto ni noma sana.......yaani anajitekenya mwenyewe, halafu anacheka! Mwenzie Mrema ilikuwa hivihivi, akajitekenya na kujichekesha mwenyewe mwishoe kaishia kujamba mbele ya hadhara; leo hii Mrema amebaki kulia lia tu akimuogopa hata Mbatia, kijana aliyemlea yeye mwenyewe.
Kaka na wewe ndio umekurupuka na kushindwa kufikiria kwa makini. Toka lini adui yako akahuzunika na kusikitika juu ya anguko lako? Zitto alivyowaunguza kwenye sakata la ESCROW wangepata wapi moyo wa kulia nae msiba huu? kuna jambo hapo. CCM lazima wasikitike ili kumsaidia Zitto apate public...
Una wakati mgumu sana kujenga jina la Makamba. Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Hivi nyie watetezi wa Makamba ni kwa lipi hasa huyu mtu atatushawishi sisi kumkubali awe rahisi wetu? Ana ajenda gani mahususi aliyoisimamia? Hizi sarakasi zake za kukopi mbinu za Obama kuandika vitabu hapa...
The National Assembly has thrown weight behind its committee over the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) officials' saga, saying the constitutional law surpasses all binding laws of any contract.
Speaking in an exclusive interview with The Guardian on Sunday Deputy Speaker, Job...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.