Search results

  1. CleaOS

    Kampuni La Hosting Tafadhali.

    Mkuu tunahost website www.tryben.co tz piga simu 0767826162
  2. CleaOS

    Paul Makonda: Nitawashitaki TRA na Wizara ya Fedha kwa Rais Magufuli

    Shida kubwa naiona kwenye sheria tu maana hawaweza kupindisha sheria kumfavor mtu tena binafsi maana mzigo umeandikwa jina la mtu sio Ofs ya RC wa tahasisi ya kusaidia.
  3. CleaOS

    Special Treads for USM ALGER VS Dar es Salaam Young Africa

    Dak 55.. Yange keshalamba 3 bila
  4. CleaOS

    Special Treads for USM ALGER VS Dar es Salaam Young Africa

    Dakika ya 47 kipindi cha pili kimeanza
  5. CleaOS

    Special Treads for USM ALGER VS Dar es Salaam Young Africa

    Mwarabu keshatugonga Mbili kwao...
  6. CleaOS

    Waziri Mwigulu: Baadhi ya waliopotea wanahusika na uhalifu

    Mmmmmmmmm nimeona pia habari ya saa7 nikaogopa sana
  7. CleaOS

    Sijaona popote pale wanajeshi wa Rwanda wakilinda Ikulu ya Tanzania wala Ukuta wa Mererani

    Mkuu uko makini sana.. Ahsante kwa kutupa haya madini sisi vijana wa FB na twiter
  8. CleaOS

    Juventus Special Thread

    Confirmed... Referee ni member wa mikeka..Alibet pia
  9. CleaOS

    Juventus Special Thread

    Kama na Ulaya kuna haya mambo soka haliwezi kuendelea kamwe
  10. CleaOS

    Huyu mtoto asipelekwe kwa Makonda, apelekwe ubalozi wa China haraka

    Huyu mtoto katokea Mwanza namuona kwenye Bombadier sahv na mama yake wanarudi Kwao....
  11. CleaOS

    Rest In Peace Kizzo Gunz

    Wadada wa mjini wote wanaombeleza Twiter...RIP
  12. CleaOS

    Tetesi: TUNAPITA WAKATI MGUMU KAMA TAIFA ILA BADO MUNGU YUPO

    Tanganyika nakupenda sana!! RiP Mch Mtikila
  13. CleaOS

    Yaliyojiri: Mazishi ya Mohamedi Mtoi, Lushoto - Tanga

    Kaka Pumzika kwa amani, umefikia kwenye uwanja wa mapambano....nchi inapoteza hazina yake...Tuzidi kuombeana!
  14. CleaOS

    Mazishi ya Mohamedi Mtoi: Kesho tutaelekea Lushoto, karibuni

    RIP Braza....mapambano yanaendelea!
  15. CleaOS

    TOYOTA RAV 4 YA MWAKA 2005 bado jipya kabisa namba D

    Manual? :mad2::mad2::mad2::mad2:
  16. CleaOS

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Hali imebadirika ghafla....Cdm si shwali..ukawa si shwali...ngoja tuone wakikosa na viti vya ubunge itakuwaje maana Urais wameishakosa
  17. CleaOS

    Yericko Nyerere acha kuchochea mapinduzi ya kumwaga DAMU

    Huyo mhuni mwongo tunamjua..ajira yake ni mtandaoni
  18. CleaOS

    Elections 2015 Huyu siyo Edward Lowassa ninayemfahamu kabla ya kujiuzulu 2008!

    Chadema wanafurahia posho na lile fungu warakalopata baada ya uchaguzi maana wanaweza kupata wabunge wengi na kupata kura zaidi zitakazowaongezea viti maalum ila kwenda Ikulu kwa nguvu za umma sio rahisi...maana hizi nguvu za umma hazikushawishiwa kujiandikisha...uko mikoani
Back
Top Bottom