Search results

  1. K

    Govt bans permits to foreign petty traders

    mimi nashauri isiishie kwa petty traders tu, bali iende zaidi kwa foreigners wanaofanya kazi ambazo watanzania wanaweza kuzifanya.Kuna kundi kubwa sana la kazi za kada ya chini na kati katika sekta binafsi ambazo zinafanywa na wageni wakati watanzania wenye uwezo wapo. Tz tuna nini, mimi...
  2. K

    Govt bans permits to foreign petty traders

    Press yetu inashida sana hata kwa waandishi ambao ni wakongwe, kuna host mmoja wa kipindi katika Tv ya channel ten-DSM, yeye huongea zaidi kuliko wale aliowaalika, swali mmoja huuliza dakika tatu kisha hutaka wageni wake wajibu kwa dakika moja maana huwa anawainterrupt sana. Sasa kama huyo ni...
  3. K

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Tujiunge OIC itatusaidia kupata misaada mingi, mfano; nyama ya mbyzi, tende na pia itatusaidia kuimarisha chuo kikuu morogoro
  4. K

    Asiyewahi kucheat na ataje jina kamili humu

    wewe ndiye umesema kweli na maneno yako yatakuwa msaada kwa watu wengi, umenisaidia sana
Back
Top Bottom