Search results

  1. BigTime

    Daraja la kati ni wale waendesha ma-baloon - Dr. Jakaya Kikwete

    Jana nilikuwa naangalia taarifa ya habari TBC nikamuona Mh.Dr.Dr.Kikwete akizindua rasmi awamu ya pili ya mpango wa elimu ya sekondari katika kutekeleza MDGs. Katika hotuba yake alisisitiza kuwa ili nchi yeyote ile duniani iendelee kimaendeleo inahitaji watu wa daraja la pili...na kwa Tanzania...
  2. BigTime

    Hii ndo inaitwa "mwana ukome"

    Dah, wana JF wenzangu; kwa kweli hii hali ya maisha ya Mtized wa kawaida inazidi kuwa ngumu kama vile hatukupendelewa na Mwenyezi Mungu nchi yenye neema ya mali asilia na utulivu uliokuwepo toka mwanzo.. Mimi ni mtanzania wa hali ya kati kabisa, nisiyekuwepo katika chain wala sina damu ya...
  3. BigTime

    Lau masha kurudi bungeni 2010 na kuwa waziri

    Wadau nimesikia hizi habari kitaa (not from a valid source) kuwa Kikwete kikatiba ana nafasi kumi za kuteua wabunge awatakao, kumbuka mwaka 2005 alimteua Kingunge Ngomable Mwiru kuwa mbunge. Kwa hiyo katika hao wateuliwao this time na Lawrence Masha yumo, ukistaajabu ya Musa...... Habari ndo...
Back
Top Bottom