Search results

  1. BigTime

    Bei za Mabelo ya mitumba zikoje Bongo? Nataka kusafirisha kutokea huku USA

    Kiongozi tutafutane tufanye biashara,Inalipa sana.+255 689 821 212
  2. BigTime

    Acid attack on 2 British women in Zanzibar!

    Mkuu nadhani somo langu la kukutaka ufatilie zaidi habari limeeleweka vema, majibu uliyoleta hapa inaonesha ni jinsi gani umetendea kazi ushauri wangu. Ila uwe unasoma habari ya mtu na kuilewa kiundani; mimi kuandika kuwa gazeti linaloheshimika hakufanyi magazeti mengine kutoheshimika (orodha...
  3. BigTime

    Acid attack on 2 British women in Zanzibar!

    Braza basi usiwe mvivu walau hata wa kufanya research ya habari unazozisoma hapa mtandaoni na kujua kama umepelekwa chaka au la....nakupa habari kamilifu kaifanyie kazi "Daily Mail is the United Kingdom's second biggest-selling daily newspaper after The Sun". kama kimauzo linaongoza na habari...
  4. BigTime

    Acid attack on 2 British women in Zanzibar!

    Braza basi usiwe mvivu walau hata wa kufanya research ya habari unazozisoma hapa mtandaoni na kujua kama umepelekwa chaka au la....nakupa habari kamilifu kaifanyie kazi "Daily Mail is the United Kingdom's second biggest-selling daily newspaper after The Sun". kama kimauzo linaongoza na habari...
  5. BigTime

    Acid attack on 2 British women in Zanzibar!

    Wadau, Gazeti na mtandano unaoheshimika UK na US (Dailymail) wametoa hii habari kinagaubaga. Hili swala la hawa mabinti linazidi kututia doa kimataifa....ukisoma comments za wachangiaji kwa huu mtandao utagundua ni jinsi gani tunazidi kupoteza ile picha ya kisiwa cha amani. Jisomee...
  6. BigTime

    Jamani hii imekaaje? Rais wetu kupokea dola 10,000 zilizochangishwa na kahaba mkuu

    Hivi Anne Makinda mume wake nani vile!!!?
  7. BigTime

    Mulika: Hali ya usalama Dar es Salaam ni tete, Kova amelala fofofo

    Mkuu mbona wizi wa vifaa vya magari upo siku nyingi!!! Me nilipigwa vifaa vyote vidogo vidogo vinavyoweza kuchomoka hadi taa ya ndani and spare tire mwaka 2009. Nilivyooenda Ununio Street (ndo hapo karibu na Karume) nikavipata freeesh, nilivinunua tena, sikutaka hata kufatilia polisi wala nini...
  8. BigTime

    Je JMT ichukue hatua gani kufuatia kauli hizi za General Kagame dhidi ya Rais Kikwete?

    Mbona mnakimbilia kwenye vita....si tumuite Kagame tuzungumzane amani iwepo....kama mheshimiwa alivyomshauri rais Kagame akae na maadui zake basi na siye ndo itakuwa best practice kwetu pia....!
  9. BigTime

    Watu wauawa, Ofisi zachomwa Mtwara | Bunge la jioni lasitishwa - Hali ni tete...

    . Spika Anne Makinda majuzi hapa alitamka kuwa ofisi yake/bunge halifanyi kazi kwa kutegemea vyombo vya habari! Leo iweje kaviamini hadi kutaka serikali ije na majibu ya kueleweka!!!?
  10. BigTime

    Hivi Jenista Muhagama ni Uwaziri anataka??

    Kwa kweli Jenista leo kanishangaza sana, anatetea vitu ambavyo havina kichwa wala miguu...ati kuna bilioni 3 zitatengwa na serikali sikivu ya CCM kwa ajili ya kutatua matatizo ya ajira ya vijana milioni 16....jamani hii ratio ya 3bilions kwa 16M mbona ni ya kusadikika sana!!!
  11. BigTime

    Mchungaji Msigwa (CHADEMA) amtaka Kinana awahi kortini

    Huu ni unyama sijawahi ona...HAKUNAGA
  12. BigTime

    CHADEMA yaisambaratisha CCM Uchaguzi wa Vijiji Kilosa

    Ni kama vile wananchi wa hivyo vijiji wanasema " Diamond tutaenda kumcheki mkimleta....kanga,kofia,na hela mkitugawia tutachukua lakini kura CHADEMA" aisee kweli TANZANIA imeamka.
  13. BigTime

    Hotuba maridhawa kwenye sibuka tv

    huyu mzee wetu alikuwa ni God sent kwa kweli....sasa hivi anamzungumzia mgombea urais kwa ticket ya CCM enzi hizo mwaka 1995, lakini kwa jinsi anavyoelezea hizi sifa za mgombea rais nina uhakika hata miaka 100 ijayo kwa CCM ya sasa haiwezi kumpata. Labda CCM ijivue gamba.
  14. BigTime

    Maswali muhimu kwa JK baada ya kujivua gamba!

    wadau.....leo kwa makusudi mazima nimeamua kuangalia TBC TV kutaka kujua tumemuenzi namna gani kiongozi wetu Shupavu (hayati Moringe Sokoine, leo ni siku ya kumbukumbu ya kifo chake)..... Nimeshangazwa na habari ya kwanza, inayohusu mlolongo mzima wa mkutano mkuu wa CCM kujivua Gamba, habari...
  15. BigTime

    JK anena kupitia face book

    Kk, I saw this news yesterday evening on TBC1, I was shocked, and wondered myself; if the towns pupils are treated this way…what about the upcountry’s ones!!!!? The education system and administration is f*ck*d up, sorry to say so. The other day I was talking to one of the head teacher in towns...
  16. BigTime

    What's wrong? Wabunge waliomaliza muda wao hawajalipwa na serikalini kazi zimesimama!

    ha ha ha! Hao wabunge ka-muda kadogo tu hivi wanalalama, babu yangu alifanya EAC miaka ya 60-70 mpaka anakufa mwaka 2004 hajalipwa mafao yake, katuachia wajukuu tufatilie lakini tumeambulia patupu. wacha waionje shubiri ndo waijue serikali yao kwa mtanzania wa hali ya chini....
  17. BigTime

    Daraja la kati ni wale waendesha ma-baloon - Dr. Jakaya Kikwete

    Mkuu, Dr. Kikwete alitamka hayo maneno kama yalivyonukuliwa hapo juu, tena cha kushangaza zaidi alikuwa anasoma; design hotuba yake iliandaliwa hivyo, taarifa ya habari jana TBC walirusha hii makitu.
  18. BigTime

    Daraja la kati ni wale waendesha ma-baloon - Dr. Jakaya Kikwete

    Jana nilikuwa naangalia taarifa ya habari TBC nikamuona Mh.Dr.Dr.Kikwete akizindua rasmi awamu ya pili ya mpango wa elimu ya sekondari katika kutekeleza MDGs. Katika hotuba yake alisisitiza kuwa ili nchi yeyote ile duniani iendelee kimaendeleo inahitaji watu wa daraja la pili...na kwa Tanzania...
  19. BigTime

    CHADEMA yahusishwa na hali ya Tanzania kutotawalika

    Mkuu MCHAWI wa CCM ni CCM wenyewe...wanaendesha hii inchi kama kimwaka 1947, hawataki kuelewa kuwa zama zile za uficho zimepitwa na wakati, mikataba feki na haramu inayoiangamiza taifa muda huu wanasingizia ni siri kwa ajili ya usalama wa taifa....!!!! Ha ha ha ha....serikali yetu inaendeshwa na...
  20. BigTime

    Hii ndo inaitwa "mwana ukome"

    Dah, wana JF wenzangu; kwa kweli hii hali ya maisha ya Mtized wa kawaida inazidi kuwa ngumu kama vile hatukupendelewa na Mwenyezi Mungu nchi yenye neema ya mali asilia na utulivu uliokuwepo toka mwanzo.. Mimi ni mtanzania wa hali ya kati kabisa, nisiyekuwepo katika chain wala sina damu ya...
Back
Top Bottom