Search results

  1. Kaizer

    BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

    Nilitaka niseme the same thing..
  2. Kaizer

    Uamuzi wa kujenga Majengo ya Serikali Dodoma ni Uamuzi wa Kipuuzi, wanaoshangilia ni wajinga

    Yeye anaona ametoa hoja mujarab[emoji1787]
  3. Kaizer

    Achana na mapungufu ya mtu angalia umuhimu wake kwako

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  4. Kaizer

    Achana na mapungufu ya mtu angalia umuhimu wake kwako

    Kufanya kazi ni jambo jemaz una heri una uwezo na nafasi ya kufanya hivyo. Hata hivyo hii ni kazi pia. Unanipa dakika ngapi za faragha?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  5. Kaizer

    Achana na mapungufu ya mtu angalia umuhimu wake kwako

    Njoo ivo ivo, upo mikono salama. Mbona mapema ivo kulala?
  6. Kaizer

    Achana na mapungufu ya mtu angalia umuhimu wake kwako

    No woman on top, njoo tu
  7. Kaizer

    Achana na mapungufu ya mtu angalia umuhimu wake kwako

    Walikupa maua yako? Njoo bobo.
  8. Kaizer

    Kuikalia na ‘mbuzi kagoma’ ni ukatili kwa wanawake

    Sawa. [emoji1787][emoji1787]
  9. Kaizer

    Kuikalia na ‘mbuzi kagoma’ ni ukatili kwa wanawake

    Mtoa mada ni Ke au Me? Tuanzie hapo Cc Asprin
  10. Kaizer

    Mke wangu ndio kasababisha nimsaliti

    Ukristo umeingiaje hapa mkuu? Kuna sehem kasema yeye mkristo?
  11. Kaizer

    TBC yakata matangazo wakati majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na uchukuzi, nini kinafichwa?

    Ooh..then I rest my case. But spreading misinformation is not healthy.
  12. Kaizer

    TBC yakata matangazo wakati majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na uchukuzi, nini kinafichwa?

    My point is, haijajadiliwa gizani, maana vituo vingine visingeonyesha. Kwa nini tunatanguliza neno gizani il hali kuna mwanga? Kama kuna mtu ana hoja kwamba mambo hayapo sawa, aiweke tujadili. Plus, bunge linaendelea jioni na mjadala utaendelea . Hilo giza liko wapi?
  13. Kaizer

    TBC yakata matangazo wakati majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na uchukuzi, nini kinafichwa?

    Chombo cha umma to what extent? Maana wanachoonyesha Arusha pia ni issue za umma! Mara ngapi wamekata matangazo ya bunge kuonyesha shughuli nyingine? Majuzi hapa walikata kuonyesha Makamu wa Rais akifungua Barabara huko Arusha. Mbona hukuweka uzi?
  14. Kaizer

    TBC yakata matangazo wakati majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na uchukuzi, nini kinafichwa?

    Sioni mantiki ya hoja yako. Mosi, bajeti haijapitishwa bado inajadiliwa. Pili, sio TBC pekee inayoonyesha Live. Mfano Star TV wanaonyesha bunge live. Sasa kwa nini unahisi kuna jambo linafichwa?
  15. Kaizer

    Tufanye nini kama taifa na hawa mawaziri wanao ongopa bungeni?

    Mi mwenyewe nilishangaa
  16. Kaizer

    Tufanye nini kama taifa na hawa mawaziri wanao ongopa bungeni?

    Kama mti mbichi ndio hivi, mti mkavu itakuwaje?
Back
Top Bottom