Search results

  1. magnifico

    Chadema mnavyokumbatia watu wanaotukana mtandaoni inawafanya muonekane chama cha kihuni

    Kipindi Mange anamtukana Lowasa alikumbatiwa na nani?
  2. magnifico

    Benchika: wachezaji wa Simba ni wagumu sijawahi kuona, nisilaumiwe mimi

    Source : Kwa Muuza Mahindi Ya Kuchoma Gongolamboto.
  3. magnifico

    Fahamu gunduzi kubwa zilizoanza kuvumbuliwa Afrika (Misri) kabla ya Wazungu

    Aisee, kumbe huwa mnaanza kuwakataa wenyewe?
  4. magnifico

    Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Bara hawataki au CCM hawataki?! CCM inawalea sana hao jamaa.
  5. magnifico

    Nini kinakuongoza kuzipenda ama kuzichukia Marekani na Israel?

    Kama kawaida, Lawama zote kwa John.
  6. magnifico

    Rushwa kwenye Serikali za Mitaa

    Hao jamaa hawalipwi na serikali. Wakiacha ofisi kwenda kufanya vibarua watoto wapate kula mnalalamika hawashindi ofisini.
  7. magnifico

    Mlinda mlango wa Iran kuadhibiwa kwa kumkumbatia shabiki mwanamke

    Narudia tena kuuliza ni nchi mnapenda kuishi kati ya Saudi Arabia na Canada? Ndio, nyie hapo nawauliza.
  8. magnifico

    Kwanini Diamond platnumz anajitenga sana na wasanii wenzie

    Wewe tayari ushakutana na Pdidy?
  9. magnifico

    Askari Polisi aliyestaafu baada ya kufanya kazi miaka 30 analipwa kiinua mgongo Tsh. 18M ambacho ni sawa na mshahara wa mwezi mmoja wa Mbunge?

    Cha ajabu Wapinzani wakiandamana kutetea maslahi yao wanakuja kuwapiga mabomu ya machozi.
  10. magnifico

    Askofu TD Jakes ajiuzulu baada ya kashfa ya kutembea na muumini wake....

    Source : Gulioni Nyamagana.
  11. magnifico

    Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

    Hahaha Hapo Kihasibu dogo alikua anakutia hasara.
  12. magnifico

    Tunaombeni mrudisheni fast Jet ya kipato rafiki kwa Mtanzania, Air Tanzania sio huduma ya kijamii ni huduma ya Watanzania wachache matawi ya juu

    Hapo utaumiza kichwa. Huyo akili yako iko programmed na ma-IT wa Lumumba.
  13. magnifico

    Nyumba ni kaburi lililojengwa juu ya ardhi

    Kama tunafata akili za Wanyama ina maana hatutakiwi kuvaa nguo, tukae uchi?
  14. magnifico

    Waziri Hamza: Serikali Ijenge Daraja Kuunganisha Dar-Zanzibar

    Hao jamaa si wamezungukwa na maji kila pande?
  15. magnifico

    RC Halima Dedengo: Mwanafunzi ukipata mimba mshitakiwa wa kwanza unakuwa ni wewe

    Hicho itakua ni kifungu cha sheria cha mwaka 2006 kilichofanyiwa marekebisho mwaka 2001.
  16. magnifico

    Mwenezi CCM Arusha: Kama huna Kadi ya CCM umemsaliti Mungu

    Wameanza tena kumchokoza Mungu?
Back
Top Bottom