Search results

  1. N

    CHADEMA yajitosa kwa kupigwa risasi Sheikh Ponda

    Mlengo wa kati, nadhani jambo la muhimu kwa sasa ni hilo walilolifanya CHADEMA. Hayo mengine sio muktadha wake...wahenga walisema 'tenda wema uende zako usingoje shukurani' nawapongeza chadema kwa hatua hiyo na endeleeni kuwatetea wanyonge - ili wale wanao'wazushia' kwamba nyie ni hivi au vile...
  2. N

    Waislam wa misri wazuia kanisa lisichomwe motomjini Cairo maajabu hayoooo

    Jamani katika jamii wapo watu wema na watu waovu. Katika dini zote wapo 'wana wa Mungu aliye hai' na wana wa yule mwovu. kwa hiyo mtu wa dini yoyote anayechukia 'uovu' au 'mabaya' hatafurahia uovu hata siku moja tusipofushwe kwa 'dini' tukidhani watu wa dini fulani 'wote ' ni waovu au watu wa...
  3. N

    Mwakyembe aagiza wafanyakazi wa Uwanja wa Ndege wakamatwe!

    Vidagaa si wanao mapapa wao wanaowatuma... Wawataje. Ila kama usemavyo christiane nakubaliana nawe,..tunahitaji mfumo mpya ili tuijenga tanzania mpya, ile ya mwalimu nyerere iliyokuwa ikimwajibisha kila mkosaji bila kulenga vidagaa na kuwaacha mapapa. Mwalimu nyerere alikuwa akiagiza sheria...
  4. N

    Picha: Foleni ya kwenda kumuona Sheikh Ponda Hospitali ya Muhimbili

    usimdharau mtu kwa kumwangalia kutazama wagonjwa na kuwafariji ni jambo jema na la heri ambalo Mungu analifurahia- kwa sababu unapomfariji mgonjwa anapata matumanini kuwa kuna Mungu na atamjalia afya njema. SIJAONA UBAYA KWA WATU KWENDA KUMTAZAMA MGONJWA WAO AU MPENDWA WAO!!!
  5. N

    Mbowe anusurika kifo mara tatu

    Mungu akiwa upande wako Mbowe ni nani aliye juu yako? La msingi ni kuzidi kumlilia yeye. Yeye ni mtetezi wa wanyonge. Wanyonge wanapopaza sauti zao za kudai haki kutokana na kukandamizwa, kuonewa na kadhalika...mungu anakuwa upande wao. Kwa kuwa 'sauti ya wengi ni sauti ya MUNGU'. Aluta kontinyua...
  6. N

    Daktari aliyemtibu sheikh Ponda Morogoro atiwa mbaroni.. chama cha madaktari chapinga

    Chazal, MUNGU HASHINDWI NA JAMBO. TUMLILIE TU MCHANA NA USIKU, KWA WAKATI WAKE ATAJIBU MAOMBI YA WANYONGE. Mimi nina swali jamani: Hivi mtu akiwa mgonjwa kalazwa hospitali si inatakiwa apone ndipo mambo mengine yafuate? Mbona nimekuwa nikiona watu wakilindwa hospitali hadi wanapopona ndipo...
  7. N

    Mwakyembe aagiza wafanyakazi wa Uwanja wa Ndege wakamatwe!

    HONGERA MWAKYEMBE yeyote asiyeitakia mema nchi hii ATABEZA JUHUDI ZA WATETEZI KAMA MWAKYEMBE. Yoyote ASIYEWATAKIA MEMA WATOTO WA WALALAHIO/MAKABWELA/WANYONGE WA NCHI HII/WASIKINI watabeza juhudi za viongozi wanaokemea maovu. LAKINI MTETEZI WA WANYONGE YUPO...KILA SIKU WANYONGE WANAMLILIA SUBUHI...
  8. N

    Mwakyembe aagiza wafanyakazi wa Uwanja wa Ndege wakamatwe!

    hongera Mwakyembe kwa hatua hiyo. Watanzania wengi walalahoi na makabwela wako nyuma yako. Kila siku WANAMLILIA MUUMBA WAO ILI akomeshe udhalimu unaotendeka hapa nchini. HATIMAYE MUUMBA WAO ATAJIBU MAOMBI....ALUTA KONTINYUA!!!!
  9. N

    Sheikh Ponda aanza tena kuchafua hali ya hewa

    mbona gazeti limetaja mambo mengi lakini linajadiliwa jambo moja tu la 'kuimwaga ccm'? Au mengine mwandishi kayazusha???
  10. N

    Vijana wanena! Wasema Zitto, Makamba, Mbatia na Dr Hussein wanafaa urais 2015

    Mimi namkubali zitto japokuwa na wengine waliopendekezwa pia nawakubali ila hoja kuu ni kwamba 'tuwaepuke' wanaopita kwenye nyumba za ibada...hao watataka kulipa visasi na kupendelea. Tupate watu wanaotetea 'tanzania kwanza'
  11. N

    Godbless Lema: Nimemaliza Arusha sasa nashuka Mtwara

    Amina...giza na nuru havina ushirikiano kamwe. Anayeanza na mungu na kumaliza na mungu huyo ni wa nuru nuru ilishinda giza mungu awe pamoja nanyi. Daima mungu akiwa upande wako ni nani aliye juu yako? - hakuna endeleeni kumtumia mungu na kumkimbilia yeye katika mapito yote...yeye atawashindia...
  12. N

    Mapinduzi yanakuja - bomu la ajira kwa vijana

    Mtumishi wa Mungu akisema werevu husikia na kuzingatia. Nabii TB Joshua wa SCOAN amepewa ufunuo kuhusu MAPINDUZI ambayo yatatokea kama suala la ajira kwa vijana halitatekelezwa sasa. Hili litaanza kama maandamano ya vijana kukosa ajira - vijana wenye sifa zote ie wasomi na wengineo ambapo...
  13. N

    Wanawake wawili wazuri kuliko wote duniani

    the beauty is on the eyes of the beholder. What you think is beaut to you to me is not and vice verse!
  14. N

    Uhuru,Kagame,Museveni kukutana Nairobi.

    nimependa maoni yako Ngongoseka
  15. N

    SIRI YAFICHUKA!!! CCM Wabandika namba feki kwenye Magari..... Wanakusudia kufanya nini?

    KUOMBA MUNGU ILI HIYO 'ROHO YA UOVU' IFICHULIWE! Mungu ni mkubwa na mwenye nguvu kuliko shetani. Shetani kazi na mipango yake kila dakika ni KUUA, KUANGAMIZA, KUHARIBU NA KUIBA... mtu yeyote anayefanya hayo au kuyawezesha kutendeka ni 'wakala' wa yule adui. Dawa yake ni kufichua na kumwaibisha...
  16. N

    Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare apata dhamana...

    Mungu akiwa upande wenu ni nani aliye juu yenu? Jibu ni hakuna watu wema wanaokemea maovu waongezeke kwenye jamii yetu ili kwa pamoja tukeme tabia mbaya za kionevu ambazo zinaanza kutamalaki katika jamii. Nguvu ya umma ndio suluhisho la kushinda udalimu wa aina yoyote ile. Upendo ndio kitu cha...
  17. N

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    ushauri wangu umekaa kiroho. Sijui imani yako? Ila kwa maelezo yako naona ni 'kitu cha pekee' huo unywaji wako. Hivyo anza kutazama TV EMMANUEL na utajikuta tatizo limekutoka. Kuna wengi wanashuhudia jinsi walivyoondokana na kunywa pombe kupindukia na kuvuta sigara kupindukia. Kila la heri.
  18. N

    Muundo wa Muungano: Tanganyika tunataka 'Serikali moja, nchi moja, taifa moja'!

    SERIKALI MOJA UNAITAKA WEWE SISI TUNATAKA SERIKALI TATU Tanganyika, Zanzibar na TANZANIA. Tusubiri kura ya maoni....tuone kila mmoja atapata asilimia ngapi. Atakayeshinda kwa kura nyingi tutakubaliana na matokeo kwamba ni serikali 1; au 2; au 3? Kura ndio mwamuzi!
  19. N

    Kitakacho fuatia katika serikali za Tanganyika na Zanzibar.

    liwalo na liwe TANGANYIKA OYEEE! Nitafurahi kuanza kujitambulisha kwa jina hili, Mimi ni Mtanganyika, ninatoka TANZANIA.
  20. N

    Lowassa ana dhambi nyingine zaidi ya Richmond?

    unakemea tabia ya kusema uongo wakati na wewe mwenyewe unaotumia huohuo???? Kweli Biblia imesema 'kila mtu anaongea uongo dhidi ya jirani yake'
Back
Top Bottom