Search results

  1. B

    Jery Muro wa TBC anusurika kupata kichapo mjini Mtwara kutokana na sakata la gas.

    Murro anatumika vibaya, anapaswa kuwa makini sana maana hapa Mtwara anaandaliwa mtego ambao akinaswa atafanyiwa kitu mbaya sana ambayo hataisahau mishani mweka ampaka aniaga dunia. awe makini.
  2. B

    Afrika Mashariki: Tanzania tajiri wa madini, Gesi lakini watu wake maskini

    Mambo matatu ni lazima yafanyike ili Tanzania iweze kutoka katika lindi la umasikini tulionao. 1. Ni lazima mfumo wa elimu ubadilike kutoka mfumo wa kuaandaa watu kuajiriwa kwenda kwenye mfumo wa kuaandaa watu kujiari. Hii ni pamoja na kulifanya somo la ujasiriamali ni la lazima kwa viwango...
  3. B

    Wanaume kazi kwenu(bachelors)!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!!!

    Mie nimeku- mind, nakupataje tuwasiliane?
  4. B

    Mhe. Habibu Mnyaa alifumua upya suala la gesi

    Usafirishaji wa gesi asilia kwa njia ya bomba una hatua tisa, ambazo ni lazima zifuatwe zote bila kuiruka hata moja. Mojawapo ni wananchi wanaoishi maeneo ambayo bomba litapita ni lazima waridhie. Na hii ni sheria ya kimataifa, hivyo kiwete hawezi kuipeleka gesi hii bagamoyo. Sisi hatutoridhia...
  5. B

    Kukosekana kwa Mfumo wa Uchumi kwatupelekea kuwa na 'Mtwara Corridor' vs 'Bagamoyo Corridor'

    Wanajamvi, naomba niweke sawa hapa kuhusu Mtwara Coridor. Ukweli ni huu, Mkapa ameikuta Mtwara corridor, Mwalim Nyerere ndiye asiiasisi Mtwara corridor tangu miaka ya sitini maandiko ya Mtwara Corridor yanapatikana katika maktaba ya mkoa wa Mtwara ya tangu wakati huo, ikataka kulihakikisha hili...
  6. B

    Kwanini CHADEMA inasimama na Lwakatare, maamuzi ya Kamati Kuu

    Kamanda mkakati wa kuidhoofisha CDM ni mkubwa sana, bora makamanda mmeligundua mapema. Sikiliza kisa hiki cha kweli kimetokea hivi karibuni hapa Mtwara. Viongozi wa SHURA YA MAIMAM MKOA wa Mtwara wameitwa mmoja mmoja na kuhojiwa juu ya sakata la gesia asilia kusafirishwa kwa njia ya bomba kwenda...
  7. B

    Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

    Zitto, we kamanda na kichwa. nimekukubali songa mbele kamanda. Umewapa ushauri wa bure kama hawatautumia hasara ni yao hao vijana wadogo kiumri na kisiasa. Pia Clous FM - Kibanda na Gerad mlikuwa mnaheshimiwa na jamii sasa Clous FM ilikuwa redio ya watu lakini kwa mwelekeo huu nadhani mmiliki...
  8. B

    Bagamoyo na Katavi: Are they New Centres of Gravity ya Uchumi wa Tanzania?

    Mtwara wameapa gesi asilia haitoki mpaka mtu wa mwisho kupigwa risasi ndipo gesi iondoke kwa sasa wasahau.
  9. B

    Statoil plans East Africa LNG plant after Tanzania gas find

    Habari za faida za gesi asilia zinapatiakana kwenye mtandao wa internet. angalia www.angas.us na www.albertaenergy.gov. hebu achani uvivu. Kama unadhani madai ya wanaMtwara yanatokana na unaowaita vyama vya upinzani umekosea. WanaMtwara wanaunganishwa na umasikini wao kutokana na serikali...
  10. B

    uongo wa CCM na matumizi mabaya ya vyombo vya habari Chato

    Wajinga ndiyo wakutawaliwa milele, kwao kufikiri ni mzigo. wanataka cdm iwafanyie kitu ilihali wanajua kuwa wakusanya kodi kutoka kwao kwa wafanya biashara ni ccm. Watumiaji wa mapato kutoka kwenye raslimali za taifa ni ccm. waache watumike kufanya propaganda watanunuliwa bodaboda na kupewa jezi...
  11. B

    JK for Mtwara

    Nyie mnaoongea nyote mpo dar wala hajui kinachoendelea Mtwara, mwache aje ajionee mwenyewe kama ulikuwa upepo unaopita au la. Ukweli ni kwamba watu wanalishughulikia hili kwa hoja. Hivi nyie mnajua gesi asilia ni nini? na kwa nini watu wa Mtwara tuonaoijua tunasema gesi asilia ya Mtwara itakuja...
  12. B

    IGP Mwema, Please, Please, Please, Stop This Police Brutality!. Utampeleka JK The Hague-Part II!

    Mkuu Pasco, jiandae kutembelea Mtwara maana huku nako hakuna wanasheria wakutusaidia kwani inavyoonekana serikali inajiandaa kuichukuwa gesi asilia kwa nguvu ila balaa kubwa litokea ambalo halijawahi kushuhudia katika nchi hii, na kwa hili njia ni nyeupe kwa shemeji kuelekea the Hague maana...
  13. B

    CHADEMA na uzinduzi wa kanda mashariki

    Hivi ccm mnaweza kujenga uhalali wenu kwa wananchi kwa kutumia njia hii ya kipuuzi na kijinga. Mkumbuke kuwa humu JF hakuna wajinga wa kunaswa kwa propaganda za kijinga na kitisho. jipange tena.
  14. B

    Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

    Ukweli utajulikana. Hii fabrication itajieleza tu
  15. B

    Picha na matukio: Ziara ya Kinana China, akifanya mazungumzo na viongozi wa CPC

    China utawala wao ni wa majimbo aina hii ya utawala imeimalisha maendeleo ya china. ingekuwa vema magamba wakajifunza aina hii ya utawala, lakini kwa kawaida magamba hawaigi mambo mazuri. ingekuwa ufisadi wangetumia nguvu nyingi kujifunza
  16. B

    Kuteswa kwa Kibanda: Kubenea aliumbua Jukwaa la Wahariri (TEF)

    Kubenea ni mwandishi asiyeyumba, anaandika anachokiamini kwa sababu anafanya uchunguzi na kupata uhakika wa habari anyoiandika. Mwanahalisi ni gezeti pekee ambalo liliandika hahari kuhusu 11 shame names na kuwataja kwa majina baada ya mkutano ule wa mwembe yanga. kwakweli nalikosa sana...
  17. B

    Mkapa ajitosa sakata la gesi, apendekeza njia ya mazungumzo kutafuta muafaka!

    Kaka gesi haitoki Mtwara. Tumeshaiambia serikali ya kikwete na ccm kwamba GESI KWANZA MAISHA BAADAYE. Rejea TAMKO LA SHURA YA MAIMAMU MKOA WA MTWARA LA TAREHA 18/01/2013 pia tamko la MAASKOFU, TAMKO LA muungano wa vyama 9 vya upinzani lenye kauli mbio GESI KWANZA VYAMA BAADAYE, na tamko la ASIZE...
  18. B

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Thomas A.Edson had only three months of formal education during his entire life. Yet he did not lack education, nor did he die poor. Henry Ford had less than a sixth grade schooling, but he managed to do pretty well by himself financially. As knowledge is acquired, it must be organized and put...
  19. B

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Ati jamaa kaulizia kidato cha sita ilikuwaje pale Tambaza, hajasoma uzi wote, kiongozi amesema, Tambaza kidato cha sita aliibuka na div 2 murua hata alipoamua kujiunga BBA PALE DAR COLLEGE jamaa walisema he! kwa nini usijiunge kwa muda wa kawaida kulingana na umri wako? Kiongozi akawaambia...
  20. B

    NSSF kuiokoa serikali Mtwara...? Kujenga kiwanda cha Korosho

    Kuhusu gesi asilia ya Mtwara, hatudanganyiki ng'ooooooooooooooooooooooooooooooooooooo sisi tunajua faida ya kuwa na gesi na tunajua mtwara ya miaka 15 had 20 ijayo itakavyokuwa kutokana na utajiri wa gesi. ccm hii gesi wameikosa, tunasubiri CDM ushike utawala na sera mzuri ya majimbo tuanze...
Back
Top Bottom