Search results

  1. W

    Zembwela acha upotoshaji...!

    Unafikiri hajui. Anataka nafasi ya Salva Rweyemamu. Hujui uchaguzi umekaribia mkuu.
  2. W

    Tundu Lissu: Wachungaji, Maaskofu na Masheikh ni wala rushwa

    Fanya marekebisho ongo iwe hongo. Unatoka povu hadi unakosea kuandika.
  3. W

    Tundu Lissu: Wachungaji, Maaskofu na Masheikh ni wala rushwa

    Kwani ni uongo. Si ukweli, waziri aliyewapa chakula si alishakubali hilo. Na hao sio wajumbe wa Mungu kama unavyosema, ni maaskofu tu. Baadhi yao wanafanya biashara ya madawa ya kulevya kama ambavyo mwenyekiti wa ccm alivyosema na wao wakakubali na ndio ukweli ulivyo. Kwako wewe ukweli ni...
  4. W

    Joram Kihango vs Willy Gamba

    Naenda kuianza leo jioni, na vitabu vyote alivyotaja hapo juu ninavyo naanza kuvisoma
  5. W

    Precision Air wamshusha Dr. Azaveli Rwaitama kwenye ndege kisa Lugha

    Dr. wa ukweli, mwalimu huyo, namkubali. Ambao hawajui kiingereza tufanyeje
  6. W

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Hivi wewe unaelewa mambo au unakurupuka tu. Zito kavuliwa gyro, nafasi za uongozi alizokuwa nazo. Uanachama bado hivyo hauwezi kuongelea uanachama hapa. Muda utafika
  7. W

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Maamuzi mazuri Kama ni kweli. Mimi sina chama ila kwa kumtoa zito CDM ni ushindi mkubwa. Tena sana. Msambaa mmoja havunji soko bwana, aende tu Lumumba.
  8. W

    Kwa waliosoma Majengo secondary Moshi

    Kwa kweli ni bonge la shule. J4 kitu ugali nyama, alhanisi Wali, pia kulikuwa na makande, full burudani. Ticha Sendoro mzee wa sofa, Mr makundi, ninja etc. Majengo sec, hongereni, ni bonge la shule
  9. W

    Kwa waliosoma Majengo secondary Moshi

    Umenikumbusha mbali sana, huu usemi mzee wa Subaru alikuwa anaupenda sana. Bro Tom alikuwa mpole sana. Haya maneno anayasema huku unalamba viboko
  10. W

    Kwa waliosoma Majengo secondary Moshi

    Heeeeeee! Nani kakuambia, majengo Acha kabisa
  11. W

    Nahitaji hizi MOVIE wakuu, msaada please...

    Wrong turn ninayo uko wapi nikupe bureeee, niko musoma
  12. W

    Gari ya JWTZ lapinduka na kuua askari kadhaa wakiwa njiani kuelekea Mtwara kuongeza nguvu

    Hivi jeshi nalo sikuhizi ni sehemu ya FFU? Toka lini wakawa wana majukumu ya kutuliza fujo? Sasa wameingizwa kwenye siasa. Wajane wa hao waliofariki wanapata manufaa gani? Wana lipi la kujivunia kwa vifo vya wapenzi, wazazi, walezi wao? Au ndio wahusika wametulia maofisini, wanaokufa ni wengine...
  13. W

    Mtu anayevunja ahadi kwa wapenzi,huwa anamana gani?

    Kaka kwani kuna chakupoteza asipokupa papuchi? Mpotezee hana jipya. Kwanza inawezekana sio papuchi orijino, imeshatumika anairingia. Tafuta mwingine wapo wengi sana
  14. W

    Bungeni: Wanne watajwa kuwa 'watovu wa nidhamu'

    Kumbe kuomba utaratibu na kusema kanuni zinabakwa ni utovu wa nidhamu? Ngwelezi na CCM mmesahau hii ahadi "nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko" mlitaka aseme kanuni zinaenda sawa? Tume ya kishenzi hiyo, maknda, ndugai ndo tatizo
  15. W

    Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

    Fundi thanks sana maana simu yangu Ideos sasa inapokea line zote na zinapiga mzigo kama kawaida. ubarikiwe
  16. W

    Anayehitaji Computer Software aina yoyote tuwasiliane!

    Mkuu gemu ni sawa na gazeti. Kama gazeti hujalisoma ni jipya kwako bila kujali ni la mwaka gani.
  17. W

    Anayehitaji Computer Software aina yoyote tuwasiliane!

    Chukua tano. Simwelewi kamanda
  18. W

    Masasi: Nyumba ya mbunge, magari 20, trekta vyachomwa moto... Watu wawili wadaiwa kuuawa!

    Mr. Vasco daGama yuko wapi jamani? Au haya mambo ni none of his business. Tanzania ya sasa sio kama ya zamani.
  19. W

    Fair Game Katika Mahusiano!!!!!!!! Kuwepo Rules na Guidelines!!!!!!

    Safi sana! Nimeipenda sana hiyo. Naanza kuitumia rasmi leo maana ninafungu la kufa mtu, sina wa kutumia nae
  20. W

    Picha: Kinana aripoti rasmi ofisi za CCM lumumba - Dar

    Kinana Jembe?!!?? Kichuli are serious? Kinana? Kazimue kwanza kisha uje kuedit post yako upya.
Back
Top Bottom