Unadhani kuingia na kuconfirm kwnye account ya mtu ni virahisi?na mnauhakika wamefanya au maneno tu?Mnajua kuhusu constraints,database na mengine,na hyo habari imekanushwa,No search,no data,no right to speak
Hellow guys kwema?
Ninauza laptop ya Samsung, Ram 4GB, processor 1.5ghz, HDD ~500 GB, haikai sana na chaji unachomeka moja kwa moja ukutani, Price ni 200,000/
Contacts: 0759~124378
Nipo Mbezi ya Kimara
Hellow jf,nadhan mpo poa..Ninataka nitengeneze project ikifika mwez wa 12,mara ya kwanza niliunda android school app ambayo ilikuwa inasaidia wanachuo wa chuoni kwetu wakitafuta hostels,hospitals,church and mosques lakin kwa sasa nataka nije na project ingine ambayo tu haitabak chuoni lakin...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.