Search results

  1. UramboTabora

    Sitta/Mwakyembe mashujaa kwenye hili

    Kwa hili ninaimani kila mtanzania analijua ni viongozi wawili tu katika serikali ya jk waliogoma na kubishia malipo ya dowans na wakiwa kwenye ya baraza la mawaziri la sasa ambapo mwanzo walisemwa saana na viongozi wengine. haya sasa mme yaona kwa msimamo wao mpaka jk anaibuka nakuyakataa malipo...
  2. UramboTabora

    Kizungumkuti Dowans

    Duh ! Haha. Ah ha kweli. Haswa. Huyo mjumbe. Alikua kalala. Ama anandoto. Za mchana. Hata huyu. Alie post. Siajabu. Ni wale wale. Ambao wako kwenye. Mgao damn it
  3. UramboTabora

    Sitta mzoefu wa kuvuruga Bunge?

    Majungu kibao hakuna lolote hapo mtu atavuruga vipi bunge ? Bunge hilo hilo likiongozwa na Sitta ndilo lilofanya kwa mara ya kwanza waziri mkuu na mawaziri kuanchia ngazi sasa sijui mnaandika nini ?na lazima mkumbuke hakuna mtu perfect ndio maana kila mtu...
  4. UramboTabora

    Chama ni chetu, serikali ni yetu, bunge letu, na spika ni wetu

    GKUNDI Tunaomba source ya hii habari maana naona imeanza kujadiliwa bila kujua source yake.Hebu weka mezani ili tuchambue kiundani inabidi tujue alikua anaongea na nani ?
  5. UramboTabora

    Spika Sitta Kung'olewa?

    he he nhe he nhe he yani humu ndani unaweza cheka mpaka kufa lol
  6. UramboTabora

    Rostam aanza kutikiswa

    Duh !! babylon Ndio umetuambia nini hapo labda uandike tena lol Hivi kweli wewe ni mtanzania na unaeishi bongo? Na hata kama huishi bongo basi tueleze unajua anayo yafanya mshikaji wako RA ? ama unaishi planet nyingine. kama huishi bongo basi waonee huruma ndugu zako waliopo bongo...
  7. UramboTabora

    Spika Sitta Kung'olewa?

    yomba yomba ha ha ha ha ,kaka kiluga kimenikaa kushoto ila nahamu nijue saana , haya mambo ya kuishi mijini mhh mpaka lugha tunaharibu lakinni moto gwa nsanzu ni moto wa kuachia mbali unaonukia, si unajua ukimjerui simba inakuaje mmmh macho yetu
  8. UramboTabora

    Safari ya Spika Sitta Urambo baada ya NEC August 2009

    He he he kazi ipo bunge lijalo huo mkuki utawatoa mafisadi wote mbio ngoja nisafishe masikio tusikie yajayo
  9. UramboTabora

    Spika Sitta Kung'olewa?

    Nimepata kahabari kutoka watu waliokua huko wanasema jamaa s.s anasema subiri muone bunge lijalo kuna watu watakimbia nchi moto gwansanzu lol ukiuchokonoa moto lazima ujue jinsi ya kuuzima mafisadi alikua anawaedea na speeed ndogo inasemekana tusubiri mwezi wa...
  10. UramboTabora

    Safari ya Spika Sitta Urambo baada ya NEC August 2009

    Mliopo bongo jamani rekodini taarifa ya habari ya saa mbili usiku nasikia ITV wataonyesha mapokezi hayo ,tumieni hata hizo simu zenu kurekodi mturushie tuone mambo yalikuaje kwa sisi tuliombali
  11. UramboTabora

    Barua ya wazi kwa Lowassa na Rostam

    Skasuku acha blaaaaaaaaah blaaah,humu hatuongelei kudandia gari.Lete maoni yako kama mtu mzima ya jinsi gani ya kupambana na hawa jamaa mafisadi watu usiku kucha wanakuna vichwa kujua jinsi gani ya kuwamaliza kisiasa, hilo ndilotunataka kusikia. kwa upande wangu mimi naona jinsi ya...
  12. UramboTabora

    Safari ya Spika Sitta Urambo baada ya NEC August 2009

    Niko na wewe mwikimbi, Mungu ni mwisho !! hapo ndio sehemu ya mwisho na mwanzo kukimbilia. maana inavyoonekana mijibaba kibao kwenye c.c.m wamesha hongwa vijisenti vya pilau,basi wamekua upande wa mafisadi kumbe hawatambui kua wananchi wameona picha nzima ilivyokua...
  13. UramboTabora

    Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

    Jamani wana JF hivi hawa jamaaa mafisadi wanataka nini kwenye nchi yetu ?yani mtu anatetea haki ya watanzania wao wanaona hafai duh !! Nyerere Baba yetu ona upuuuzi huu !! lakini yote yanamwisho. It looks so surreal, but it’s true. The Speaker of the Parliament of the United Republic of...
  14. UramboTabora

    Tambwe Hizza amshambulia Mwanakijiji

    njaaa kweli kitu kibaya saaana naunga mkono hapo, hili jinga jinga sijui linaongea nini tumbo kubwa limejaa pilau tu
  15. UramboTabora

    Chiluba found "Not Guilty" in All Counts.

    Zambia’s ex-President Frederick Chiluba has been acquitted of six counts of theft and corruption The 'not guilty' verdict handed down by a Lusaka court yesterday, Monday, to ex-President Frederick Chiluba of Zambia, who had been accused on six counts of theft, corruption and general financial...
  16. UramboTabora

    Spika Sitta Kupewa Tuzo na Maaskofu

    na Prisca Nsemwa MAASKOFU na wachungaji wa makanisa ya Pentekoste hapa nchini, wameandaa tuzo ya uongozi bora kwa ajili ya kumtunuku Spika wa Bunge, Samuel Sitta kwa kuuongoza vema mhimili huo tofauti na wakati mwingine wowote. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana...
  17. UramboTabora

    Link ya hizi movies

    mkuu kongoli link hapo chini uangalie ma movie yote unayotaka bureeeeee ok enjoy http://www.watch-movies-links.net/
  18. UramboTabora

    Hukumu ya Zombe: Aachiwa!

    Aliyekuwa Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Dar es Salaam, Abdallah Zombe akiwa nje ya jengo la Mahakama Kuu mkoani humo muda mfupi baada ya mahakama hiyo kumuachia huru yeye na wenzake wanane. VIDEO | PODCASTSVIDEO ZAIDI | MAONI
  19. UramboTabora

    Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

    majungu kibao ,
  20. UramboTabora

    Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

    watu wajungu utajua tu jamaani mue na ma documento sio mna weka tu vitu ama tuseme muache Tabia ya ku copy na ku paste vihadisi mnavyo okota kama alivyo andika HOFSTEDE ,mimi naona hapa watu wanapakana matope tu kwa ajili ya uchaguzi mwakani 2010...
Back
Top Bottom