Search results

  1. O

    Wajuvi Naomba Mnifahamishe.. Hivi Ranchi ya Kongwa bado iko chini ya Serikali au Wakala wake au ilishabinafishwa

    Wajumbe Natumai Wazima Nimemuona Juzi Mkuu wa Wilaya Kongwa Dkt. Serera akiwa na wasanii wa filamu na bongo fleva akiwemo lucy na baby madaha wakiwa Kongwa Ranch.. Nakumbuka Mzee wangu Alikua akiagiza sana nyama miaka hiyo walikua na nyama tamu sana... hapa katikati wakapotea kabisa... sasa...
  2. O

    Naomba Kufahamishwa Hivi Kongwa Ranch iko bado chini ya Serikali au inajitegemea kama wakala au imesha binafishwa

    Wajumbe Natumai Wazima Nimemuona Juzi Mkuu wa Wilaya Kongwa Dkt. Serera akiwa na wasanii wa filamu na bongo fleva akiwemo lucy na baby madaha wakiwa Kongwa Ranch.. Nakumbuka Mzee wangu Alikua akiagiza sana nyama miaka hiyo walikua na nyama tamu sana... hapa katikati wakapotea kabisa... sasa...
  3. O

    Naenda Kongwa kumbe Dhahabu ya Kusini iko kule

    Wadau kwema Katika pita pita zangu nimekuta mahala makala Mkuu wa Wilaya wa Kongwa Dkt. Serera na KM Kilimo Wakiwa wanafanya ukaguzi kwenye mashamba ya Korosho Vijiji vya Mkutani na Msunjilile. Kumbe show inaendelea Dodoma halafu watu wamekausha muda huo watu tumekazana na lindi na mtwara dah...
  4. O

    Naenda Kongwa Kumbe Dhahabu Ya Kusini Ipo Pale

    Wadau kwema Katika pita pita zangu nimekuta mahala makala Mkuu wa Wilaya wa Kongwa Dkt. Serera na KM Kilimo Wakiwa wanafanya ukaguzi kwenye mashamba ya Korosho Vijiji vya Mkutani na Msunjilile. Kumbe show inaendelea Dodoma hlf watu wamekausha muda huo watu tumekazana na lindi na mtwara...
  5. O

    Naenda Kongwa Kumbe Dhahabu Ya Kusini Ipo kule

    Wadau kwema Katika pita pita zangu nimekuta mahala makala Mkuu wa Wilaya wa Kongwa Dkt. Serera na KM Kilimo Wakiwa wanafanya ukaguzi kwenye mashamba ya Korosho Vijiji vya Mkutani na Msunjilile. Kumbe show inaendelea Dodoma hlf watu wamekausha muda huo watu tumekazana na lindi na mtwara...
  6. O

    Mpya.... Jijini.....Badilisha Muonekano wa Nyumbani kwako,.. Weka vitu vya kipekee

    Pick Zone Dodoma Tunakuletea Bidhaa zenye ubora na upekee wa hali ya juu kuanzia mapazia , vyombo, maua, mapambo n.k kwa bei nafuu kabisa. Tunaambatanisha picha ya baadhi ya bidhaa kukuonyesha utofaut na ubora wetu.... Tupo Barabara ya 11, Jijini Dodoma, Bidhaa zetu zinatumwa popote ndani ya...
  7. O

    TiGo a disgrace to communication industry so far

    Habari Wajumbe Kampuni ya Tigo imekua ni kampuni inayoongoza kwa kulalamikiwa kwenye sekta ya mawasiliano Tanzania. Kwa uzembe, Utapeli, Uwongo, huduma mbovu na ni kampuni yenye majibu mepesi kwenye maswali magumu. Kila mtumiaji wa tigo ana kisanga chake na hii kampuni ila kwa mimi... Hawa...
  8. O

    Mwanza: Mdada kwa ajili ya pub yenye duka la vinywaji anahitajika

    Salama wandugu Anahitajika mdada mrembo kwa ajili ya kuuza duka la vinywaji vya rejareja na kuhudumia wateja wanaofika dukani kwa ajili ya kunywa. Ofisi ipo opposite na Rock city mall. Umri miaka 20 hadi 25. Anayekaa maeneo ya karibu na ofisi atapewa kipaumbele zaidi. Mawasiliano 0718 580...
  9. O

    Ingawa Mark X na Crown zinatumia engine moja, Mark X inatumia mafuta vizuri zaidi

    kwema wajumbe.... Nimetumia crown ambayo iko order kabisa nilikua nikiweka full tank computer dashboard inaniambia nna km 520 had 545 maxmum kwa safari ndefu. ila nimenunua mark x engine ile ile 4GR.... lakini nimepiga km. 710 ndo zile bar (gauge meter) zikafutika zote... Wadau wanadai ni...
  10. O

    Tapeli: Manase Jackson, kuweni makini

    Wajumbe salaam, Kuna mtu anaenda kwa jina la Manase Jackson anatumia tigo no. 0717915787 na no. 0676358855 ( mpk jana no. Zote zilikua hewani). Anatapeli watu kwa kudai anawaunganishia vifurushi vya dstv kwa gharama nafuu. Anafanya configuration za channel mbalimbali kwenye dish lako ikiwemo...
  11. O

    Hivi watanzania kuikacha 'accent' yetu wakati wa kuongea kingereza ni umbumbumbu au ndo ujanja?

    Wakuu salam Watanzania wengi especially wasanii na vijana mbalimbali huwa wakiongea kizungu wanajitahidi sana kuonyesha kuwa wao ni USA born. Nchi nyingine nyingi wakiongea Kiingereza wanaongea kwa uhuru na kifua mbele tena by embracing their mother tongue. Mfano Mrusi akiongea Kiingereza...
  12. O

    80 kph kwa dunia ya leo ni realiastic?

    50 kph kwa maeneo ya miji na 80 kph kwa highway kwa magari makubwa. Nikiangalia dunia ya leo na maendeleo ya teknolojia hasa upande wa braking teknolojia tuna abs systems. Disc brakes etc. Etc hivyo stoping power imekua ya hali. Wadau nahisi tukiweka hata angalau 120 kph as maxmum on highways...
Back
Top Bottom