Search results

  1. O

    Wakuu msaada account yangu ya adsense imepigwa limit

    Endelea na mambo mengine hiyo ad limit haitoki leo wala kesho na ikitoka kibongo bongo haina muda mrefu itarud mzee.... anza kutafuta adsense alternative mapema tu.... ukipuuza utakuja nikumbuka siku unakula ban hlf umefikisha dola 1000...
  2. O

    Naenda Kongwa kumbe Dhahabu ya Kusini iko kule

    Mi mwenyewe nimeshangaa Manyoni ndio mashamba makubwa kuliko Lindi na Mtwara
  3. O

    Wajuvi Naomba Mnifahamishe.. Hivi Ranchi ya Kongwa bado iko chini ya Serikali au Wakala wake au ilishabinafishwa

    Wajumbe Natumai Wazima Nimemuona Juzi Mkuu wa Wilaya Kongwa Dkt. Serera akiwa na wasanii wa filamu na bongo fleva akiwemo lucy na baby madaha wakiwa Kongwa Ranch.. Nakumbuka Mzee wangu Alikua akiagiza sana nyama miaka hiyo walikua na nyama tamu sana... hapa katikati wakapotea kabisa... sasa...
  4. O

    Naomba Kufahamishwa Hivi Kongwa Ranch iko bado chini ya Serikali au inajitegemea kama wakala au imesha binafishwa

    kumbe ilipigwa mueleka hapa katikat... Ndo maana nimemuona DC Serera pale na watu wake... sasa nikawa najiuliza Mkuu wa Wilaya tena ana ishu gan.... kumbe JPM kashaurudisha mzigo serikalini.... aaaaah bas tujiandae kula.nyama Sent from my Redmi 6 Pro using JamiiForums mobile app
  5. O

    Naomba Kufahamishwa Hivi Kongwa Ranch iko bado chini ya Serikali au inajitegemea kama wakala au imesha binafishwa

    Wajumbe Natumai Wazima Nimemuona Juzi Mkuu wa Wilaya Kongwa Dkt. Serera akiwa na wasanii wa filamu na bongo fleva akiwemo lucy na baby madaha wakiwa Kongwa Ranch.. Nakumbuka Mzee wangu Alikua akiagiza sana nyama miaka hiyo walikua na nyama tamu sana... hapa katikati wakapotea kabisa... sasa...
  6. O

    Naenda Kongwa Kumbe Dhahabu Ya Kusini Ipo kule

    mazingira ya simiyu na dodoma yanafanana kidogo sina hakika... ngoja wajuzi waje watupe mrejesho Sent from my Redmi 6 Pro using JamiiForums mobile app
  7. O

    Naenda Kongwa Kumbe Dhahabu Ya Kusini Ipo kule

    Aisee... Jamaa anapatikanaje Sent from my Redmi 6 Pro using JamiiForums mobile app
  8. O

    Naenda Kongwa Kumbe Dhahabu Ya Kusini Ipo Pale

    Ofcourse ni kwel.. Sema kwa Dodoma mi nimeshangaa kwel.. Nataka nikifika pale Kongwa nifanye mpango nionane na DC Dkt. Serera Au watu wa ofisin kwake kwa maelezo zaidi.... Niende na hivyo vijiji nikaone... ila kwa kongwa pale safi sana... Si unajua mambo yetu ya mazao ya kilimo ukaribu na Soko...
  9. O

    Naenda Kongwa Kumbe Dhahabu Ya Kusini Ipo Pale

    Mzee mi mwenyewe nimeshangaa ila jamaa wana mikorosho hapo na wanavuna huu mwaka wa 3 ndo nataka niende nikaone mzee Sent from my Redmi 6 Pro using JamiiForums mobile app
  10. O

    Naenda Kongwa kumbe Dhahabu ya Kusini iko kule

    Wadau kwema Katika pita pita zangu nimekuta mahala makala Mkuu wa Wilaya wa Kongwa Dkt. Serera na KM Kilimo Wakiwa wanafanya ukaguzi kwenye mashamba ya Korosho Vijiji vya Mkutani na Msunjilile. Kumbe show inaendelea Dodoma halafu watu wamekausha muda huo watu tumekazana na lindi na mtwara dah...
  11. O

    Naenda Kongwa Kumbe Dhahabu Ya Kusini Ipo Pale

    Wadau kwema Katika pita pita zangu nimekuta mahala makala Mkuu wa Wilaya wa Kongwa Dkt. Serera na KM Kilimo Wakiwa wanafanya ukaguzi kwenye mashamba ya Korosho Vijiji vya Mkutani na Msunjilile. Kumbe show inaendelea Dodoma hlf watu wamekausha muda huo watu tumekazana na lindi na mtwara...
  12. O

    Naenda Kongwa Kumbe Dhahabu Ya Kusini Ipo kule

    Wadau kwema Katika pita pita zangu nimekuta mahala makala Mkuu wa Wilaya wa Kongwa Dkt. Serera na KM Kilimo Wakiwa wanafanya ukaguzi kwenye mashamba ya Korosho Vijiji vya Mkutani na Msunjilile. Kumbe show inaendelea Dodoma hlf watu wamekausha muda huo watu tumekazana na lindi na mtwara...
  13. O

    Mpya.... Jijini.....Badilisha Muonekano wa Nyumbani kwako,.. Weka vitu vya kipekee

    Pick Zone Dodoma Tunakuletea Bidhaa zenye ubora na upekee wa hali ya juu kuanzia mapazia , vyombo, maua, mapambo n.k kwa bei nafuu kabisa. Tunaambatanisha picha ya baadhi ya bidhaa kukuonyesha utofaut na ubora wetu.... Tupo Barabara ya 11, Jijini Dodoma, Bidhaa zetu zinatumwa popote ndani ya...
  14. O

    TiGo a disgrace to communication industry so far

    Hata wewe pia unafaa... Kwan pale juu unadhan waliokaa ni Miungu ni watu tu kama wewe Sent using Jamii Forums mobile app
  15. O

    TiGo a disgrace to communication industry so far

    Habari Wajumbe Kampuni ya Tigo imekua ni kampuni inayoongoza kwa kulalamikiwa kwenye sekta ya mawasiliano Tanzania. Kwa uzembe, Utapeli, Uwongo, huduma mbovu na ni kampuni yenye majibu mepesi kwenye maswali magumu. Kila mtumiaji wa tigo ana kisanga chake na hii kampuni ila kwa mimi... Hawa...
  16. O

    Kupunguza tatizo la ajira serikali iruhusu huduma ya kupokea pesa kupitia PayPal

    Tuko busy na Chadema,... Habari ya uchumi siyo kipaumbele chetu we kama unataka turuhusu paypal... Sema hivi SERIKALI ITUMIE PAYPAL KAMA NJIA MBADALA YA KUIDHIBITI CHADEMA.... Kesho asubuh BOT wanaruhusu mchakato
  17. O

    Mwanza: Mdada kwa ajili ya pub yenye duka la vinywaji anahitajika

    Salama wandugu Anahitajika mdada mrembo kwa ajili ya kuuza duka la vinywaji vya rejareja na kuhudumia wateja wanaofika dukani kwa ajili ya kunywa. Ofisi ipo opposite na Rock city mall. Umri miaka 20 hadi 25. Anayekaa maeneo ya karibu na ofisi atapewa kipaumbele zaidi. Mawasiliano 0718 580...
  18. O

    Ingawa Mark X na Crown zinatumia engine moja, Mark X inatumia mafuta vizuri zaidi

    mkuu labda 15 aisee tena nayo usivuke 100.... 18 hata IST HAIJAFIKA
  19. O

    Ingawa Mark X na Crown zinatumia engine moja, Mark X inatumia mafuta vizuri zaidi

    ofcoz 110 kwenye mafuta safi sana... ila si unajua mambo ya teknolojia na fashion... mi nilikua mwanachama sana wa 1G......
Back
Top Bottom