Search results

  1. MgonjwaUkimwi

    Narudia tena, tusije kurudia kufanya kosa kama la 2015. Nchi ilikuwa inaenda kufa

    MANY "traitors are now known by their names". Well said! We can name them herein; Bashiru, Polepole, Sabaya and the likes.
  2. MgonjwaUkimwi

    Bernard Kamilius Membe, aingia 18 za Genge la Cyprian Musiba. Nini tutarajie?

    Unakesha ukisali kwamba Simba wa Rondo, Membe amsamehe Musiba. Umebugi....Musiba jino limevunjikia.
  3. MgonjwaUkimwi

    Makosa ya Musiba, hayalingani na tamaa ya Membe!

    Ndugu wakati mwingine tukubali kwamba yapo mambo hatuyajui na hivyo kuwa watazamaji au tuulize ili tupate kuelimishwa. Ningekushauri ujikite katika kujua nini maana ya Fidia, na kwa kesi hii kinachofidiwa haswa ni nini. Je mshahara wa Membe? Thamani ya Biashara ya kimataifa ya Membe...
  4. MgonjwaUkimwi

    Makosa ya Musiba, hayalingani na tamaa ya Membe!

    Wamejitokeza, Bashiru na wale waliojaribu kuingilia kazi ya Yono.
  5. MgonjwaUkimwi

    Makosa ya Musiba, hayalingani na tamaa ya Membe!

    Mtahangaika sana ila mtu wenu atalipa na atafungwa kwenye gereza atakalochagua Membe na familia yake. Musiba alisababisha biashara ya Membe na familia yake kufungwa. Membe alipokonywa hadi properties alizowekeza na fedha ya pension yake. Ndugu wa Membe walitekwa na rafiki zake wakalazimishwa...
  6. MgonjwaUkimwi

    Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

    Mstari Mstari Hujanielewa vizuri kama ulivyohisi kwenye mstari wako wa mwisho. Soma swali la mtoa mada Kisha soma jibu langu. Kiufupi shetani hayuko na malaika mbinguni, huko alishafukuzwa na hana nguvu mbele ya Mungu kama mtoa mada anavyodhani. Nguvu ya shetani iko duniani anakojaribu...
  7. MgonjwaUkimwi

    Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

    Hakuna zawadi ya kuishi bila kuiba? Amri ya usiibe ina maana gani kama usipoiba hakuna adhabu. By the way sijasema kila kitu lazima kiwe na zawadi na adhabu. Jibu kufuatana na kinachoongelewa, tafadhali. Tusianze mada juu ya mada.
  8. MgonjwaUkimwi

    Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

    Nijaribu kukujibu. Kabla sijafanya hivyo nitoe angalizo kwamba maswali juu ya Mungu hayana empirical answers, isipokuwa logical answers. Ukilazimisha logical iwe empirical na kinyume chake basi ni vyema ukaacha kuamini uwapo wa Mungu na nguvu zake. Swali lako juu ya shetani na nguvu zake: Uwapo...
  9. MgonjwaUkimwi

    Mali za Cyprian Musiba zitakazopigwa mnada

    Hapana wala huelewi damage aliyofanya Musiba kwa wanafamilia wa Membe ambao hawana hatia na leo wapo masikini kwa kauli za Musiba. Wanafamilia wa Membe wengine hadi leo wanariport Polisi na mahakamani kwa kesi za kutunga alizotunga Musiba na Bashiru. Musiba alisababisha ofisi ya Membe ya...
  10. MgonjwaUkimwi

    Tetesi: Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba

    Ungemuuliza Membe swali hili wakati kesi inaendelea. Lakini kama walivyofanya maaskofu ukaacha sheria ichukue njia yake kisha unatafuta dini ya Membe.!! Angeshindwa kesi hii bado ungetaka kujua dini ya Membe? Lakini ningependa kukusaidia jibu. Membe ni mfuasi wa dini ya ukristo dhehebu la Roma...
  11. MgonjwaUkimwi

    Mali za Cyprian Musiba zitakazopigwa mnada

    Kwani mwenzetu unaposema mfumo una maana gani? Usichanganye mfumo na usalama wa taifa kama ilivyozoeleka na wasioelewa hasa neno hili lina maana gani. Hata wewe unaweza kutengeneza mfumo wako.
  12. MgonjwaUkimwi

    Mali za Cyprian Musiba zitakazopigwa mnada

    Ujinga mtupu, unadhani Membe ni wakutishwa na miba za nungunungu? Membe ni taasisi, Membe ni mfumo. Muulize Musiba kilichompata katika jaribio lake la kumteka Membe kijijini kwake. Mali za Musiba zitapigwa mnada na Musiba atakuwa "bodyguard" wa Membe na familia yake. He will never do a thing to...
  13. MgonjwaUkimwi

    Dkt. Mwigulu: Nilimwambia Shemeji yangu Lema asiwe na wasiwasi atarudi nyumbani na kweli amerudi. Nchi ina tatizo la Umaskini, Ajira na Maadili hasi!

    Waziri anaeleza matatizo ya nchi, wananchi wanategemea yeye atatue. Hajatatua, maanake kuna kinachomzuia asitatue. Sasa ameamua amueleze bosi wake kupitia wananchi kwamba akipewa dhamana ya juu kuliko aliyonayo sasa matatizo yote aliyoeleza atayatatua. Ukiona Waziri analalamika anamlalamikia...
  14. MgonjwaUkimwi

    Bernard Membe: Sitamsamehe Musiba, nilimpa nafasi mara 3 kuomba msamaha, na kutaka kumaliza kesi nje ya Mahakama akakataa

    Kazi ya Askofu ni kuomba upatanisho kati ya binadamu na Mungu. Upatanisho wa kesi za madai sio kazi ya za maaskofu. Hiyo ni kazi ya Kaisari ambayo hata Bibilia imeandika.
  15. MgonjwaUkimwi

    Tanzania sasa ina uchumi mkubwa kuliko baadhi ya nchi za Ulaya

    Wakati mwingine ukisoma posts Kama hizi unaweza kudhani nchi inawatu na viongozi waliolaaniwa. Nchi ya watu wasiofikiri na kama wanafikiria basi wanafikirishwa na wanaotaka sifa au wameamua kusifia wafikie kusudio lao. Uchumi wa nchi unapimwa kwa ongezeko la kila mwaka la ASILIMIA na sio...
  16. MgonjwaUkimwi

    Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Membe Tsh. Bilioni 9 ndani ya siku 14

    Askofu Mwamakula ndio aliyetumwa na mtu huyu akamuombee radhi kwa Membe. Askofu huyu sijui alikuwa upande gani wakati wa "utawala" wa mtu huyu. Askofu Mwamakula sijui alikuwa wapi mtu huyu alipokamatwa akiwa na silaha kali akiambatana na kundi la "wasiojulikana" kilometa chache kabla ya...
  17. MgonjwaUkimwi

    Halima Mdee na wenzako bado milango iko wazi, ‘msinyee kambi’

    Kuomba radhi wakati haujafanya kosa ni utumwa na ndio kinachoitesa nchi yetu tangu awamu ya tano ianze. Kila anayeupinga utawala anatakiwa awe apologetic na approve inferior kwa mtawala. Ukomavu ni kusimamia kile unachokiamini hata kama dunia mzima itakupigia kelele ukibadirishe, ukomavu ni...
  18. MgonjwaUkimwi

    Halima Mdee na wenzako bado milango iko wazi, ‘msinyee kambi’

    Ebu nikumbushe bado Kafulila yupo NCCR, nini kilimuondoa baada ya radhi yake?
  19. MgonjwaUkimwi

    Halima Mdee na wenzako bado milango iko wazi, ‘msinyee kambi’

    Kati ya hao nani anavuma leo hii na kuishi bila woga? Nani kati yao anaweza kusimama akasema na kuheshimika? Nape aliyekimbia na kura zilizobeba maamuzi ya wananchi? Kinana au Makamba waliokaa kimya huku wakiacha mtu moja avunje kila msingi wa katiba ya nchi?
Back
Top Bottom