Ana fedha kushinda serikali, kweli Askofu?
Kwa biashara gani anayofanya?? Au Sadaka tu?
Matajiri wakubwa Tanzania kama akina Mengi, Mo Dewji, Bakheresa hawana fedha kuizidi serikali yetu, lakini cha ajabu Kakobe hajawahi katajwa kuwa miongoni mwa matajiri wa Tanzania!
Hilo Kanisa lake la FGBF...
Hahahaaaa...ngwini hajui hesabu sasa ataweza vipi kuchanganua takwimu ambapo ndani yake kuna hesabu?
Ole wake ngwini atakayejifanya kuchambua takwimu za BOT, NBS.... onyo ndo limetolewa hivyo.
Lakini hata kama ana itelegensia ya kumletea taarifa kwanini akizipata hizo taarifa asimuite waziri mhusika na kumwelekeza au kum-minyia hizo itelegensia? Kwani lazima ajitokeze yeye mwenyewe? Chain of command iko wapi? Collective responsility iko wapi? Ni vizuri mfumo ufanye kazi...
Hakika umenena vyema... Chadema lazima warudie misingi yao kama ilivyokuwa wakati wa Dr. Slaa. Ni miujiza kuamini Lowasa, Sumaye, Nyalandu na wafuasi wao wateleta mageuzi ya kweli.
Sasa wewe inakuhusu nini? kwanza ulishawahi kumkuta akijiuza...? Kama peformance yake kazini ni nzuri na inampendeza aliyemwajiri hayo maisha yake binafsi nje ya kazi hayakuhusu... by the way kila mtu ana maisha yake nje ya kazi ya kuajiriwa.... mind your business please.
Wawekezaji hawajitokezi tu kama maji ya chemchem, Serikali inapaswa kuandaa mazingira mazuri ya kuvutia wawekezaji pia ni jukumu la serikali kufanya mazungumzo na wawekezaji mbalimbali na kujenga hoja ya private and public partnership.
I can't believe my ayiz kama hii kauli imetolewa na NEC....! Hivi unawezaje kuwambia wanasiasa wasifanye siasa kwenye mikutano ya siasa???
Wanaogopa nini? By the way uchaguzi wenye ni tarehe 26 Nov baada ya hapo mmewafunga midomo wasiongee.... hii siyo salama kabisa kwa mustakabali wa Tanzania...
Sifahamu professional za hao Wakurugenzi lakini nijuavyo baadhi ya professional ni vigumu kukariri namba mpaka wazifanyie rehersal za kutosha. Hao wangekuwa ni Wahasibu au Mainjia ungeshangaa ambavyo wangezikumbukua hizo takwimu hadi nukta. Hii imwamushe hata Mh. JPM mwenyewe ili azingatie...
Mawazo potofu kabisa..... uwanja una jaa watu elfu 60, Dar ina watu Mil 5.
Kuna wafanyabiasha walioajiri, wenye kazi za shift, walioajiriwa na wapo likizo, wasio na kazi, waliomba ruhusa kazini, nk..... sasa hapo unashangaa nini uwanja kujaa siku ya kazi???
Na hapo fedha inayoweza kutoka ni 20% tu. Sasa sijui kuna haja gani ya kuwa na bajeti kubwa ambayo haitekelezeki. Nafikiri wabunge wanatakiwa pia wasimamie ili hizo fedha za bajeti ziwe zinatoka.
Piga shule ongeza maarifa, hiyo elimu ya chuo kikuu itakusaidia kwenye mishe zako mtaani... maisha siyo lazima uajiriwe, lakini pia unaweza ukaajiriwa na sector binafsi, shida unafikiria ni lazima uajiriwe na serikali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.