Search results

  1. hopaje

    Massage ni danguro lililochangamka

    Ko ukiwa na 60 freshh
  2. hopaje

    Mji mzito huu

    Daaa RIP humu ndani watu wanafariki hatujui...
  3. hopaje

    Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

    Hata akikata rufaa issue ya sahihi kufojiwa itamsumbua...
  4. hopaje

    Mbowe, mkanye Lissu

    Mleteni kwanza aliyejaribu kumuua..
  5. hopaje

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna hii jackpot ya meredian wao wanataka kwa ussd tu sijui kwann hawataki iwe online kama zingne..
  6. hopaje

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Duuuh inawezekana hii kitu...
  7. hopaje

    Ukweli mchungu: Wahafidhina wa CHADEMA mjiandae kisaikolojia

    Uteuzi bado hawajakuona..?
  8. hopaje

    Natabiri jaribio lolote la kubadilisha Katiba na ukomo wa Rais litaibua mazito

    Hakuna chochote kitatokea mambo yataenda kama kawaida magufuli 30 tena....
  9. hopaje

    Hatimae Kelvin Twisa afunga ndoa

    Nilikuwa napita Google kumchek jamaa ni kama anakrbia 40 hivi acha niendelee kupambana pressure za kwamba nioe zitulie kwanza...
  10. hopaje

    Lissu: Naishi kwenye makazi ya balozi(Ujerumani) kwa sababu maisha yangu hayako salama, nitarejea Ubelgiji

    Sehemu ya genge ambao hawakukubaliana na hicho kitendo ndoa walitoa taarifa kama wasamalia wema tu
  11. hopaje

    Lissu: Naishi kwenye makazi ya balozi(Ujerumani) kwa sababu maisha yangu hayako salama, nitarejea Ubelgiji

    Alipigwa risasi na mpka leo hakuna aliyekamatwa lissu ana haki ya kuogopa kila kitisho juu ya maisha yake yeyote anayekebehi hili ndo nyie mshazoea kumwaga damu...
  12. hopaje

    Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?

    Yaani mmetumia mguvu kupora wakati wa uchaguzi afu mnataka muanze kutoa ubunge kwa hisani yenu kaeni tu wenyewe.
  13. hopaje

    Askofu Mwamakula: Tundu Lissu aomba hifadhi Ubalozi wa Ujerumani baada ya vitisho vya uhai wake

    Na misaada mtafuta??sisi ni omba omba tuwe wapole tu
  14. hopaje

    Askofu Mwamakula: Tundu Lissu aomba hifadhi Ubalozi wa Ujerumani baada ya vitisho vya uhai wake

    Lissu atoe ushahidi mara ngapi?mara ya kwanza alisema hvi hvi na akipigwa risasi
Back
Top Bottom