Search results

  1. S

    Lema aongoza red briged kung'oa mashina ya uvccm leo usiku kata ya sombetini

    Mkuu shida ya hawa watu sio tu hawaishi kumueka Lema midomoni na makalioni? Tatizo lao kubwa wanadhani kuwa M.sen.ge ni lazima kushikwa makalio! Kumbe hata kutunisha Makalio km Amina Ngalo nako ni use.nge. Lema na Mabango wapi na wapi ndugu yangu. Dhambi ya Ukabila itawatafuna sana mwaka huu...
  2. S

    RFA mnakera mnafikiri WANANCHI hawajui kinachoendelea kati ya CCM na CDM

    Ninatamani sana pale panapotokea vurugu na watu kupoteza maisha,,,watu wa jamii ya aina yako ndio wapoteze maisha. Unajua kua senge sio lazima uwe unapumuliwa kisogoni km wewe,lakini hata tu tabia ya kutunisha makalio kama unavyofanya wewe ni Us..en.ge pia! Anachozungumzia mleta mada ni...
  3. S

    Kinana awataka wananchi kuwapuuza wapinzani

    Upi sasa Udaku? Kinana hana uwezo wa kutuambia tuipuuze Chadema! Ingekua vema zaidi km tungempuuza yeye na Ccm yake kwanza kwa kushindwa kusimamia kauli yake ya MAWAZIRI MIZIGO! Leo akitujia na NGONJERA za CDM hatuwezi kumuelewa kabisa. Tuipuuze Cdm kwa makosa gani? Jamani...
  4. S

    Mhe.Tundu Lissu ndani ITV

    Mbunge wa Singida Mashariki na Waziri kivuli wa sheria na katiba, mh Tundu Lissu amedai kuwa 100% ya Watanzania wanazungumza Kiswahili na hawajui kingereza. Anasema kwamba Sheria za nchi zinazotungwa na bunge huandikwa kwa kingereza wakati WABUNGE walio wengi ndani ya bunge hawajui kingereza...
  5. S

    Mwenyekiti wangu CCM Jakaya Kikwete: Lowassa's buck stops with you!

    Baada ya CHADEMA kumsimamisha Msaliti wao Zitto Zuberi Kabwe na wenzake wawili Samson Mwigamba na Kitilla Mkumbo kwa kosa la kuandaa Waraka wa kukivuruga Chama,,baadhi ya wana Ccm walishabikia na kushadadia kwa kusema kuwa Zitto kaonewa. Walienda mbali zaidi na kuja na matamko km ZITTO KWANZA...
  6. S

    Lowassa apata za uso jijini Mbeya kutoka kwa JK

    Mi nadhani wewe ndio hijui alichokiandika mleta mada,wala sio Mipasho. Ni kweli leo Kikwete kamtolea Uvivu Lowassa,zile stori za kusema hatukukutana barabarani leo zimedhihirika kwamba bora hata wangekutana barabarani kuliko Vichochoroni. Mh Rais na mwenyekiti wa Ccm taifa amesema kuwa watu...
  7. S

    Kura ya Maoni inayoendeshwa na Nipashe, Lowasa awaacha wenzange mbali sana.

    Akiwa Waziri mkuu,mtu wa tatu kutoka kwa Rais alijitafutia mradi wa kumuingizia Tsh 152 Milioni kwa siku! Je akiwa ndie Rais si atajitengenezea mradi wa kumuingizia mara 10 ya Richmond!? Ufike wakati watu waache kuwafanya wengine ni Mandondocha! Yaani mtu katuibia na bado anatuibia eti ndio...
  8. S

    Tamko la M/kiti CCM MKoa wa Shinyanga dhidi ya Malecela, Makonda

    Umejitokeza mafichoni sio? Haya sasa embu niambie nani kakuambia mimi ni mfuasi wa Lowassa? Fwatilia mada na michango yangu humu km kuna siku niliwahi kuisifu Ccm na Vibaraka wake. Mimi ni CHADEMA DAIMA DUMU, ila nafurahishwa sana na hizi nguvu za Lowassa ndani yenu nyie Magamba, kwani ndizo...
  9. S

    Tamko la M/kiti CCM MKoa wa Shinyanga dhidi ya Malecela, Makonda

    Ndugu naomba tuheshimiane sana! Kama wewe unatumia Makalio kufikiri,basi mimi natumia kichwa! Nani kakuambia Lowassa ni mgombea wangu? Sinaga tabia ya kisengelenyuma ila labda wewe ndie unae. Nimemtaja Lemutuz kwa kuwa wakati Cdm inawashuulikia Wasaliti na Wahaini, yeye alikua mstari wa mbele...
  10. S

    Tamko la M/kiti CCM MKoa wa Shinyanga dhidi ya Malecela, Makonda

    Wewe unaharisha kabla ya Kujamba sio? Swala la Chadema hapa limeingiaje? Mgeja ni wa Ccm.Malecela na Makonda wote ni Ccm! Je unapoihusisha CHADEMA na mada au tamko hili ni ili iweje labda? Viongozi wa Ccm wenye akili timamu na sio km wewe wanajua fika kwamba Furaha ya Chadema na huzuni kwa...
  11. S

    Tamko la M/kiti CCM MKoa wa Shinyanga dhidi ya Malecela, Makonda

    Wacha Matisho wewe! Wenzako wamewahi kutishiwa kwa Bunduki wala hawajashtuka sembuse wewe unatoa vitisho vya maneno?? Jibu hoja wacha viroja! Ben saa nane anaulixa kuwa km Mgeja anawatuhumu wenzake kwa kutofuata taratibu za Chama,,yeye leo alichokifanya ndio utaratibu wa chama au kafuata...
  12. S

    Tamko la M/kiti CCM MKoa wa Shinyanga dhidi ya Malecela, Makonda

    Teh,teh,teh,teh,,,,ha ha ha ha ha ha ha ha! Jamani mbavu zangu mie! Kumbe Lemutuz ujinga alionao amekopi kwa baba? Kweli nimeamini ukiwa Mzigo lazima uzae mtoto MZIGO! Mzee Malecela ni Mzigo ila Lemutuz ni MZIGO zaidi.Huu ndio mwisho wa Ccm baada ya Chadema kuvuka salama kwa Wasaliti sasa...
  13. S

    Kwanini kila mwana CCM anayehisi kunyimwa nafasi kugombea ukimbilia CHADEMA?

    Mwaka 2005 wakati Rais Mstaafu Mkapa anaenda kumaliza muda wake.kulikua na msuguano mkubwa sana kati ya kambi zinazopingana ndani ya chama cha mapinduzi,ikiwemo kundi lililomungiza mh. Kikwete madarakani na lile lililokua kundi la Waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye! Wakati wa mchakato wa...
  14. S

    CHADEMA yasogeza mbele Mkutano wa Jangwani

    Sijapata kuwa na wasiwasi na uwelewa wako kaka Pasco! Kikubwa ambacho watu wengi wanashindwa kugundua kwako ni kwamba wewe ni mkweli na husukumwi na ushabiki. Chadema kuacha kufanya mkutano wao Jangwani siku ya jumapili na badala yake wamepngia siku nyingine,sio kuwa ni wajinga! Ni ukweli...
  15. S

    LOWASSA hajatangaza kuwa atagombea Urais,tayari Msuguano umeanza! siku akitangaza!??

    Ni kweli kwa mwonekano wa kawauda ni sawa kesha tangaza ijapo sio rasmi,lakini tunajua kwamba kuna baadhi ya viongozi wengine wa Ccm km.Samwel Sitta,,Bernad Membe,,Fredrick Sumay nk ambao nao pia wameshaonyesha nia pia ya kugombea kupitia chama cha mapinduzi! Lakini hatusikii hawa wengine...
  16. S

    LOWASSA hajatangaza kuwa atagombea Urais,tayari Msuguano umeanza! siku akitangaza!??

    Waziri mkuu wa zamani aliejiuzulu kwa kashfa ya Richmond na mbunge wa Monduli mh Edward Ngoyai Lowassa,ndie mwanasiasa ambae amekuwa akitajwa sana na kuandikwa na vyombo vya habari kwa takriban wiki mbili sasa! Hii ni baada ya tar 1/1/2014 akiwa Jimboni kwake Monduli ktk sherehe za mwaka...
  17. S

    Nape Nauye;Hakuna Mgogoro Ccm..Paul Makonda Lowassa anakibomoa Chama, Yupi mkweli?

    Ni dhahiri sasa Chama cha Mapinduzi kimekumbwa na mgogoro wa kimaslahi baina ya pande mbili zinazokinzana kuhusu Mh Lowassa kutuma baadhi ya watu kumpigia kampeni kabla ya wakati maalum wa kufanya hivyo kufika. Ni juzi tu kiongozi wa UVCCM taifa Paul Christian Makonda alitoa tamko mbele ya...
  18. S

    Ole Medeye una la kujibu jimboni

    Kama kuna mwaka nimejikuta nikiwa ktk furaha kubwa,basi ni mwaka huu,baada ya mh Rais Kikwete kumtupa nje ya baraza la Mawaziri huyu Mkabila OLE MEDEYE! Kikwete amefanya janbo la busara sana kumtoa nje huyu Mkabila Ole Medeye ameambukizwa ugonjwa wa Ukabila na Lowassa ndio maana mh Kikwete...
  19. S

    Makonda: Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania wala Mwenyekiti wa CCM

    Ni sawa najua kwamba mti wenye matunda siku zote ndio hurushiwa mawe! Swali langu la msingi hapa ni kwanini makosa au madhaifu ya Kikwete na serikali yake anahusishwa Lowassa,je ni kweli nguvu ya pesa aliyonayo Lowassa yaweza kuwa ndio sababu ya serikali ya Ccm chini ya mh Kikwete kushindwa...
Back
Top Bottom