Search results

  1. MawazoMatatu

    Maria Sarungi: Katika Siasa hakuna Malaika wala Shetani

    Naam... pengine kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania tumempata mwanasiasa "malaika". Mwanasiasa huyu asiye na mawaa ni mwerevu kupita wanasiasa wote ndani ya chama chake na Taifa kwa ujumla wake. Mwanasiasa huyu ni kijana na mara zote amekuwa kwenye migogoro na wenzie chamani kutokana...
  2. MawazoMatatu

    Kikao cha KUB Kukutana Wiki Hii Kumvua Rasmi ZZK Nafasi ya Naibu KUB!-Busara Zaidi Itumike!.

    Hoja zilizojaa kejeli,matusi, dharau na lugha za kuudhi huwa ni ngumu sana kuzijibu..!!
  3. MawazoMatatu

    Kwa NEC hii mpya, CCM inakwenda kufa - Dr. Slaa

    Usimkimbilie muongeze wa pili....!
  4. MawazoMatatu

    Video Clip: Alichokisema Mhe. Joshua Nassari huko Kigoma

    Gazeti limeandika hivi: "Leo, ni mara yangu ya kwanza kufika Kigoma, lakini kwa jinsi ninavyoona mpangilio mzuri wa shughuli hii, naamini kabisa kuwa, Zitto Kabwe aliyeandaa hafla hii na kuwakusanya wasanii wa Kigoma kuwa kitu kimoja anafaa kabisa kuwa rais ajaye wa Taifa letu. Na haya...
  5. MawazoMatatu

    Video Clip: Alichokisema Mhe. Joshua Nassari huko Kigoma

    Sasa kwani nini maana ya "quote"? Ukim quote mtu lazima utumie maneno yake halisi, ni wapi alimtaja Zitto kuwa rais?
  6. MawazoMatatu

    Is Zitto Kabwe naive or a dangerous populist?

    @Mzee Mwanakijiji Sijui kwanini umeamua kumsemea Zitto lakini mwenyewe amekiri kuwa hili ni lake binafsi kwenye utetezi wake (ndani ya uzi huu) amesema anaamini mafuta si suala la Muungano toka mwaka 2009, sasa wewe kuja na Ilani ya CDM ya mwaka 2010 sijui unamaana gani wakati ni dhahiri kuwa...
  7. MawazoMatatu

    Mtei yuko right - AN NUUR

    Huyu Mzee wangu kalizua..mana watu watataka uwiano wa Kidini na haiishii kwa Ukristu na Uislam tu...twende mbali mpaka kwenye Ukatoriki, Anglikana na Ulutheri, kwenye Usuni na Ushia, kwenye dini za asili, Butha na Uhindu. Tukimaliza hapo tuje kwenye uwiano wa kijinsia. Tukimaliza hayo uwiano wa...
  8. MawazoMatatu

    Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA)

    Nakupata Mkuu Kilewo, safi sana
  9. MawazoMatatu

    Pingamizi la CHADEMA juu ya Siyoi na uthibitisho kuwa Siyoi si Mtanzania

    a. Yeye mwenyewe kwenye fomu kaandika kazaliwa Thika-Kenya "ataonesha" vipi kuwa hakuzaliwa Kenya? b. Kama alizaliwa Kenya na akaukana uraia wa kenya iko wapi "renunciation certificate" ambayo ofisi ya Uhamiaji hawana?
  10. MawazoMatatu

    Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"

    Khaa...! sawa great thinker tumekusoma, ila hapo kwenye nyekundu utamtia wasiwasi Mama yetu Salma
  11. MawazoMatatu

    Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"

    Mazuri ya JK ???? Ili iwe nini?? kwa faida ya nani??...Bora kusema mabaya ili ayajue ajirekebishe bado ana miaka mitatu ya utumishi. Sasa mazuri halafu....??? msonyoo...!
  12. MawazoMatatu

    "JF M & F Politician Of The Year 2011" Competition

    Mkuu Superman mi naona kuna mgongano wa kikatiba (Katiba ya JF), Humu JF hatujuani kijinsia (ukiondoa member wanaotumia majina halisi) sasa tutakua na uhakika gani fulani ni MALE au FEMALE ?? Mf. Mi naweza kusema bila shaka yoyote kuwa Faizafox ni kidume. Kama sisi ni Great Thinker basi tuishi...
  13. MawazoMatatu

    Mauaji Kigoma kusini baada ya uamuzi wa Mbatia na genge lake

    Mkuu nashukuru umo humu, binafsi ningependa kujua maoni yako kuhusu kufukuzwa kwa Kafulila na Mzee Rungwe chamani?
  14. MawazoMatatu

    Rais Kikwete asaini Muswada wa Katiba

    Mkuu mbona unang'ang'ania tuipe ushirikiano Tume..Kwani hatuwezi kupeleka muswada wa kuirekebisha sheria hii kabla ya Tume kuundwa..?
  15. MawazoMatatu

    Our time is now: CHADEMA msirudi bungeni mpaka 2015!

    Hivi nyinyi mnajua madhara ya hawa jamaa kutorudi Bungeni au kutohudhuria vikao vya Bunge mfululizo? au mnaongea tu..?
  16. MawazoMatatu

    Disemba 9 kila mwaka: Tunasherehekea uhuru wa nchi ipi?

    Equation za wanasiasa zinasema: Zanzibar + Tanganyika = Tanzania; then Tanganyika = Tanzania bara; Zanzibar = Tanzania visiwani Ila Zanzibar ipo lakini Tanganyika haipo.
  17. MawazoMatatu

    Rais Kikwete ateua bodi mpya ya TANESCO

    Hili la wabunge kwenye Bodi za mashirika ya Umma hawajakoma tu..?
  18. MawazoMatatu

    TREND YA AFRICAN POLITICS. Historia Itajirudia Tanzania?

    Mkuu AJ hebu cheki posti namba 78 nimejaribu kuelezea kwanini Tanzania haifai kuwekwa kwenye kapu moja na hizo nchi za Afrika ambazo madadiliko hayakuzaa matunda.
Back
Top Bottom